Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!

Aisee mwanzoni sikukuelewa lakini nimepata kusikia maana ya neno Adam kwa waubili wakubwa,Adam lina maana ya wingi. naona kuna kitu unajua naomba nipe maelezo kidogo.wengi awata amini ilo
 
unajua nini watu wananitolea mapovu ila katika kuelimishana adam alikuwa ni mwa watu waliokuwa wakiishi baada ya mungu kuotesha viumbe dunianin

kwa mtazamo wangu jamaa alikuwa mteule katika wale watu wengi waliokuwepo pale katika lile eneo
 
Maandiko yanaeleza wazi kwamba baada ya Yehova kumaliza kazi ya uumbaji wa vitu vingine vyote, Alimuumba "Mtu" yaani "Adam" neno aedam au mtu siyo jina la specific person. Kwa hiyo obviously, kulikuwa na mtu wa kwanza tena alikuwa mwanaume tena hakuzaliwa akiwa katoto kachanga. bali aliumbwa wala hakunyonya maziwa maana hakuwa na mama.

kwa hiyo tuliongezeka kwa kubanduana ndugu kwa ndugu???
 
kaka kulikuwa na watu wengi sana na sio adam pekee yake hii ndio pointi yangu ya msingi

Nemo "adam" maana yake "mtu" na binadam au bin adam au ibin adam maana yake ukoo wa adam au "human race". Adam na Hawa au Adam and Eve maana yake mtu mume na mtu mke...!!!
 
haya leta ushahidi hata wa maandiko matakatifu yanayosema mungu aliumba watu wengi ili na mimi unishawishi kuamin hizo pumba zako
 
sawa ila kumbuka aliwateua miongoni mwa watu wengi waliokuepo hapo kale ...swali kwako bina adamu mbona wanatofautiana rangi kama wote ni uzao wa adam?
 
kwa hiyo tuliongezeka kwa kubanduana ndugu kwa ndugu???

Mwanzoni ilikuwa ruksa kubanduana au kugegedana ndugu kwa ndugu hadi hapo Musa alipopewa torati iliopiga marufuku kwa wanandugu ku-do. Hasa ukisoma kitabu cha Mambo ya Walawi.
 
sawa ila kumbuka aliwateua miongoni mwa watu wengi waliokuepo hapo kale ...swali kwako bina adamu mbona wanatofautiana rangi kama wote ni uzao wa adam?

Baada ya gharika kipindi cha Nuhu, wana watatu wa mzee Nuhu walizaa makabila tofauti wenye rangi tofauti wenye rangi ya brown, black, white na yellow. Kwa hiyo rangi si hoja wote wakimwamini Yesu wataokoka, Amen...!!!???
 
haya leta ushahidi hata wa maandiko matakatifu yanayosema mungu aliumba watu wengi ili na mimi unishawishi kuamin hizo pumba zako

kutoka katika vitabu vitakatifu wameeleza ....kulikuwa na watu kibao na waliishi miaka nenda rudi!
 
Baada ya gharika kipindi cha Nuhu, wana watatu wa mzee Nuhu walizaa makabila tofauti wenye rangi tofauti wenye rangi ya brown, black, white na yellow. Kwa hiyo rangi si hoja wote wakimwamini Yesu wataokoka, Amen...!!!???

hapo na pingana nawe kidogo mungu aliwatengeneza watu wote hapo kabla ukisema hivyo utakuwa unataka kuniambia kuwa hapo kale waliku watu wa aina gani kwa mtazamo wako!
 
hapo pekundu, mkuu ulitaka kusema nini? Uamini kama baba wa ulimwengu huu ni Adam? Kazi ipo.

.
.
.

.
.
.
kuna mahali katika Biblia kuna mtoto wa adam aitwae kaini alimuua ndugu yake abeli........baada ya tukio hilo tunaelezwa kwamba aliondoka nyumbani kwao akaenda kuungana na watu wengine.........swali ni kwamba kama adam na eva ndio waliotengeneza familia ya kwanza duniani,hawa watu wengine walitokea wapi?
.
.
.
.
mh!
 
nadhani hujaelewa point yangu
mimi sikubaliani na kauli inayosemwa na vyanzo kuwa binaadamu wa kwanza alikuwa adam ila katika hii dunia kipindi hicho mungu aliumba watu wengi sana na tena wote walitokana na udongo ila si kweli kuwa dunia ilikuwa na watu wa wili tu yaani adamu na hawa....

Nadhani
umenielewe ndugu nilichokimaanisha

Kwa mujibu wa Biblia takatifu,

Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Mwanzo 1:26-28

Huenda ukawa sahihi ila niambie unarejea chanzo gani kinachokufanya useme habari hii sio ya kweli?
 
mkuu kwe umbaji wa mungu sipingani na we ila kutoka humo humo kwenye bible na quruan utagundua kuwa hawa watu walikuepo na maisha yao ambayo hayakuwa na ukuu wa kitu chochote i mean like zombie na walikuwa akili zisizo kuwa na upambanuzi wa mambo
 
.
.
.

.
.
.
kuna mahali katika Biblia kuna mtoto wa adam aitwae kaini alimuua ndugu yake abeli........baada ya tukio hilo tunaelezwa kwamba aliondoka nyumbani kwao akaenda kuungana na watu wengine.........swali ni kwamba kama adam na eva ndio waliotengeneza familia ya kwanza duniani,hawa watu wengine walitokea wapi?
.
.
.
.
mh!

hapo hapo kuna mahali wanasema alipomuua ndugu yake alitaka awekewe alama ili watu wasimzuru je unajua ni watu gani?
 
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!

mkuu sio lazima uamini sababu hakuna aliyelazimishwa kuamini we endelea tu na maisha
 
MWANZO 1:26 inasema ''Mungu
akasema, Na tufanye mtu kwa mfano
wetu, kwa sura yetu; wakatawale
samaki wa baharini, na ndege wa
angani, na wanyama, na nchi yote pia,
na kila chenye kutambaa kitambaacho
juu ya nchi''
 
mkuu kwe umbaji wa mungu sipingani na we ila kutoka humo humo kwenye bible na quruan utagundua kuwa hawa watu walikuepo na maisha yao ambayo hayakuwa na ukuu wa kitu chochote i mean like zombie na walikuwa akili zisizo kuwa na upambanuzi wa mambo

Mwanzo 3:20
Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai.

Hao watu wengine unaowasema wewe kwamba walikuwepo, mama yao alikua nani kama tunaambiwa Hawa ndio mama wa wote walio hai?
 
kaka kulikuwa na watu wengi sana na sio adam pekee yake hii ndio pointi yangu ya msingi

Watu wengi kama nani ni nini referance yako? kwa mujibu wa maandiko Adam ndiyo wa kwanza kwani hakuja kiumbe kisichokuwa na mwanzo.
 
Back
Top Bottom