The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
.
.
kuna mahali katika Biblia kuna mtoto wa adam aitwae kaini alimuua ndugu yake abeli........baada ya tukio hilo tunaelezwa kwamba aliondoka nyumbani kwao akaenda kuungana na watu wengine.........swali ni kwamba kama adam na eva ndio waliotengeneza familia ya kwanza duniani,hawa watu wengine walitokea wapi?
.
mh!
hapo hapo kuna mahali wanasema alipomuua ndugu yake alitaka awekewe alama ili watu wasimzuru je unajua ni watu gani?
Mwanzo 5:1-4
Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.