wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
Aisee mwanzoni sikukuelewa lakini nimepata kusikia maana ya neno Adam kwa waubili wakubwa,Adam lina maana ya wingi. naona kuna kitu unajua naomba nipe maelezo kidogo.wengi awata amini ilo
Maandiko yanaeleza wazi kwamba baada ya Yehova kumaliza kazi ya uumbaji wa vitu vingine vyote, Alimuumba "Mtu" yaani "Adam" neno aedam au mtu siyo jina la specific person. Kwa hiyo obviously, kulikuwa na mtu wa kwanza tena alikuwa mwanaume tena hakuzaliwa akiwa katoto kachanga. bali aliumbwa wala hakunyonya maziwa maana hakuwa na mama.
kaka kulikuwa na watu wengi sana na sio adam pekee yake hii ndio pointi yangu ya msingi
kama sio adamu tutajie unaemjua wewe sasahujaelewa nini hapo MTu wa kwanza sio adam au huelewi
Nemo "adam" maana yake "mtu" na binadam au bin adam au ibin adam maana yake ukoo wa adam au "human race". Adam na Hawa au Adam and Eve maana yake mtu mume na mtu mke...!!!
kwa hiyo tuliongezeka kwa kubanduana ndugu kwa ndugu???
sawa ila kumbuka aliwateua miongoni mwa watu wengi waliokuepo hapo kale ...swali kwako bina adamu mbona wanatofautiana rangi kama wote ni uzao wa adam?
Baada ya gharika kipindi cha Nuhu, wana watatu wa mzee Nuhu walizaa makabila tofauti wenye rangi tofauti wenye rangi ya brown, black, white na yellow. Kwa hiyo rangi si hoja wote wakimwamini Yesu wataokoka, Amen...!!!???
hapo pekundu, mkuu ulitaka kusema nini? Uamini kama baba wa ulimwengu huu ni Adam? Kazi ipo.
nadhani hujaelewa point yangu
mimi sikubaliani na kauli inayosemwa na vyanzo kuwa binaadamu wa kwanza alikuwa adam ila katika hii dunia kipindi hicho mungu aliumba watu wengi sana na tena wote walitokana na udongo ila si kweli kuwa dunia ilikuwa na watu wa wili tu yaani adamu na hawa....
Nadhani
umenielewe ndugu nilichokimaanisha
Kwa mujibu wa Biblia takatifu,
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Mwanzo 1:26-28
Huenda ukawa sahihi ila niambie unarejea chanzo gani kinachokufanya useme habari hii sio ya kweli?
.
.
.
.
.
.
kuna mahali katika Biblia kuna mtoto wa adam aitwae kaini alimuua ndugu yake abeli........baada ya tukio hilo tunaelezwa kwamba aliondoka nyumbani kwao akaenda kuungana na watu wengine.........swali ni kwamba kama adam na eva ndio waliotengeneza familia ya kwanza duniani,hawa watu wengine walitokea wapi?
.
.
.
.
mh!
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
mkuu kwe umbaji wa mungu sipingani na we ila kutoka humo humo kwenye bible na quruan utagundua kuwa hawa watu walikuepo na maisha yao ambayo hayakuwa na ukuu wa kitu chochote i mean like zombie na walikuwa akili zisizo kuwa na upambanuzi wa mambo
kaka kulikuwa na watu wengi sana na sio adam pekee yake hii ndio pointi yangu ya msingi