Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi hapa "sidhani"
unarudia swali lako lile lile, nilikuambia kuwa usome kitabu cha Mwanzo 1:1-31, wewe umekataa na kukimbilia kujibu hoja bila majibu, tunakuomba utupe reference hautaki, sijui na siye tudhani bila reference!
Da kaaaaaz kwelikweli kama msingi wako ndio huu manake hata nikichukua hii shule sijui nitamwelezea nani anielewe. Adamu aliishi duniani physically na alikula tunda physically na alitolewa nje ya bustani physically na ardhi ililaaniwa physically; tumepokea kifo na laana toka kwake. Sasa jamaa yangu unaposema waliokula tunda ni watu kibaaaao na walioleta kifo ni watu kibaaaao na waliotolewa ubavu kuumba mwanamke ni watu kibaaaao mbona inakuwa shida sana rafiki yangu? mwanamke ana mbavu 18 na mwanaume mbavu 17 mmoja ukiwa umetolewa kumuumba Hawa sasa unaposema waliumbwa kibao tangu mwanzo ni yupi sasa mmoja wao ubavu ulitolewa na hao kibao mbavu yao mojamoja iliyeyuka saa ngapi na kwenda kufanya nini? maandiko yanasema Adam alikuwa peke yake kwa maelfu ya miaka kabla ya kuumbwa mwanamke wewe unakuja na elimu mpya isiyo hata na mizizi mbona hili ni balaa kubwa!
kuna kitu hapa kinanitatiza.Tunaamini kuwa Mungu hakosei na anajua kabla halijatojea. sasa inawezekanaje Mungu aruhusu kitu halafu baadae akikataze. inamaana tunakiri kakosea? mnaposema zamani ilikuwa ruksa kumlala dada yako halafu then kipindi cha mussa. Mungu huyo akataze? kulitokea nini mpk akataze? so mimi nitarudi tu kwa wanaoamini kuwa duniani kulikuwa na wengi sema adamu alikuwa chaguo lake katii yao km ambavyo alichagua manabii kati yetu. kwasababu Mungu sio bunge la tanzania linalopitisha rushwa"takrima"halafu baadae linakiri lilikosea eti ilikuwa rushwa. MUNGU H AKOSEI.
Naona mkuu unataka quotes kutoka kwenye bible kuhusu Adam kua wa kwanza, ndio maana hua nasema ni bora kutoa vifungu sehemu mbalimbali kuliko kujudge kifungu kimoja afu kikakuchanganya, bible inajikamilisha kama utasoma sehemu nyingi na zote zinaendana sio kusoma moja... Sasa hiyo mwanzo unayosema wewe 2:6-9 mkuu haina kitu unachoesma kabisa na haina hiyo philosophy ya viumbe kuumbwa, inaongelea formation of man peke yake,mkuu ukisoma vitabu vyote mfano bible mwanzo 2:6 mpaka 2:9 unaelezea philosophy viumbe kuumbwa na ukienda pale mlango wa pili 2:5 unazungumzia mtu wa kwanza kupewa roho ya kumuamini mungu kumbuka tayari keishaumba viumbe ke na me katika nchi
natumia kimoja kwa sasa:
rejea bible mlango wa kwanza;
2;5 mungu akaijaza nchi viumbe hai kwa jinsi yake, wanyama wa mwituni na watambao
swali kwako
unajua maana viumbe hai??
Hapo hapo mwanzo
mlango wapili ukisoma tena utakutana mungu anasema akampulizia roho adam ili akaitawale dunia na vilivyomo ukisoma zaidi utaambiwa alipeleka kuishi bustani ya eden
swali
unajua maana ya kupuliziwa roho?
Viumbe hai vilikuepo tangu kale ila roho ya kumjua mungu haikuepo hapo kabla ilikuja baada ya kumteua adam aitangaze
so kulikuwa na watu wengi toka kale na ADAM SIO MTU WA KWANZA DUNIANI ILA NI MIONGONI MWA MAUDONGO YALIYOPEWA ROHO YA KUMJUA MUNGU
nishakupa ndugu ! Kitabu cha mwanzo mistari yake yote ndio my reference ukitaka na quruan nitakupa pia
Mwanzo 3:20
Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai.
Hao watu wengine unaowasema wewe kwamba walikuwepo, mama yao alikua nani kama tunaambiwa Hawa ndio mama wa wote walio hai?
natumia kimoja kwa sasa:
rejea bible mlango wa kwanza;
2;5 mungu akaijaza nchi viumbe hai kwa jinsi yake, wanyama wa mwituni na watambao
swali kwako
unajua maana viumbe hai??
Hapo hapo mwanzo
mlango wapili ukisoma tena utakutana mungu anasema akampulizia roho adam ili akaitawale dunia na vilivyomo ukisoma zaidi utaambiwa alipeleka kuishi bustani ya eden
swali
unajua maana ya kupuliziwa roho?
Viumbe hai vilikuepo tangu kale ila roho ya kumjua mungu haikuepo hapo kabla ilikuja baada ya kumteua adam aitangaze
so kulikuwa na watu wengi toka kale na ADAM SIO MTU WA KWANZA DUNIANI ILA NI MIONGONI MWA MAUDONGO YALIYOPEWA ROHO YA KUMJUA MUNGU
"wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
Angalia vizuri hiyo sentensi, "MAMA YAO WOTE WALIO HAI", obviously alikuwa kulikuwa na walio hai tayari (adam na hawa walikuwa hawajazaa bado).
kimsingi Adamu wala Hawa si mtu wa kwanza ktk hii dunia,adamu aliishi miaka elfu sita na ushee iliyopita,ilihali dunia ilikuwepo zaidi ya miaka elfu mia moja iliyopita.dhana ya adamu kuwa mtu wa kwanza ni matokeo ya uelewa finyu wa mafundisho ya biblia na quran.biblia inasema adamu alimzaa kaini na habili,na baada ya kaini kumwua nduguye habili mwishowe alikimbilia ktk nchi ya nodi na akaoa huko.kumbe kulikuwa na nchi na kumbe kulikuwa na watu wengine ambao alioa.quran inasema mungu alimwambia malaika mimi nitamweka halifa ktk ardhi.khalifa ni kiongozi,mfalme au mtawala,vipi aje kiongozi bila kuwepo waongozwa.kwa kifupi sana adamu alikuwa nabii wa kwanza kwa mujibu wa kumbukumbu za zama hizi tulizonazo.
Zipo hoja nyingi juu ya jambo hili lakini kwa haraka nimeweka kwanza hizo mbili ili kupisha michango ya wengine.
Mwanzo 2:5-7
"hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi; ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi.
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai."
HAPANA MTU WA KUILIMA ARDHI......kisha "Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi......" hao watu wa kwanza (Kabla ya Adam na Hawa) ni akina nani na walikuwa wapi hichi kipindi cha hayo maandiko?
kimsingi Adamu wala Hawa si mtu wa kwanza ktk hii dunia,adamu aliishi miaka elfu sita na ushee iliyopita,ilihali dunia ilikuwepo zaidi ya miaka elfu mia moja iliyopita.dhana ya adamu kuwa mtu wa kwanza ni matokeo ya uelewa finyu wa mafundisho ya biblia na quran.biblia inasema adamu alimzaa kaini na habili,na baada ya kaini kumwua nduguye habili mwishowe alikimbilia ktk nchi ya nodi na akaoa huko.kumbe kulikuwa na nchi na kumbe kulikuwa na watu wengine ambao alioa.quran inasema mungu alimwambia malaika mimi nitamweka halifa ktk ardhi.khalifa ni kiongozi,mfalme au mtawala,vipi aje kiongozi bila kuwepo waongozwa.kwa kifupi sana adamu alikuwa nabii wa kwanza kwa mujibu wa kumbukumbu za zama hizi tulizonazo.
Zipo hoja nyingi juu ya jambo hili lakini kwa haraka nimeweka kwanza hizo mbili ili kupisha michango ya wengine.
Mwanzo 2:5-7HAPANA MTU WA KULIMA ARDHI ndugu sio ardhi uijayo wewe ndugu zamani palikuwa na kila kitu ndugu
ardhi inayozungumziwa hapa ni ya kiroho watu wengi walikua hai lakini mungu hakuwapa roho ya kumjua mungu
As kum je huiamini qurani?km unaiamini Mungu anasema walaqad khalaqna l insaani min sulaa lati min twin maanayake ni kwa hakika nimemuumba binaadamu kwa kutumia udongo uliovunda na unaotoa harufu ,
Na ktk vitabu vyote vinne vya Mungu vimeelezea kuwa binaadamu aliyeumbwa kwa udongo ni Adam je huamini?na sijaona sehemu yyte inayosema kuwa b4 adam kulikuwa kuna watu wengine
Quran inasema zimepita dahri au karne nyingi sana kiumbe binaadamu hakuwepo na maelezo yanasema ndipo MUngu akaumba binaadamu
Hapo mwanzo dunia ilikuwepo na viumbe majini