Kwa kutumia hiyo nadharia nawaambia MNARASIMISHA USHOGA sababu atatokea shoga mmoja atasema kama tunazaliwa na vinasaba vya kike then ni kazi ya kila mmoja kuvisurpress je atakaye shindwa kwanini mumkatae wakati ni biological struggle ambayo kuna win-lose situation!?..Mkuu Adam Aliumbwa moja kwa moja toka udongoni, Hakutoka Katika Tumbo la Mwanamke, Kwahiyo ni Ngumu sana Kuwa na Vinasaba vya Kike ila sisi na hata wewe ambao tumetoka kwenye Tumbo za Wanawake tuna vinasaba vya Kike Hata kama Havijionyeshi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mbuzi choma?
hahahahahaha!!
unaogopa kuonjeshwa mkuu?
Hatufanani mitazamo ila ni vema kujipa muda wa kutafuta maarifa zaidi... Ukiwa na maarifa mengi ni sawa na kuwa na umeme high [emoji298]️ voltageUmeuliza zipi! Kama ulishasoma kitabu cha zamani "hekaya za abunuwasi "utajua ni vitu vya kufikirika na fix kwa wingi. Nami nasena uumbwaji wa Adam na Eva ni hadithi iliyokubuhu. Labda kidooogo kuhusu Darwinism
hahahahaha!!!Huyuu jamaa ana IQ kubwa NA ni MTU mtata sana hakawii kutumia akili Yake kukuwekea kanyama ka MTU.
Hauna Vinasaba vya Mama yako?Kwa kutumia hiyo nadharia nawaambia MNARASIMISHA USHOGA sababu atatokea shoga mmoja atasema kama tunazaliwa na vinasaba vya kike then ni kazi ya kila mmoja kuvisurpress je atakaye shindwa kwanini mumkatae wakati ni biological struggle ambayo kuna win-lose situation!?..
Lets just stick to other points!..ila hii naikataa je wanawake wanaosagana wao imekuaje vinasaba vyao?..
Nina vinasaba vya wazazi wangu wote!...sina kitu kinachoitwa fighting for supression kwenye hivyo vinasaba!..Hauna Vinasaba vya Mama yako?
kumbe ndo maana hulallagi sasa unapata nafasi saa ngapi ya kulalaNdugu yangu niko chumba cha wafu nawahudumia usiku kucha...
sehem gani mimi nimezungumzia ushogaNina vinasaba vya wazazi wangu wote!...sina kitu kinachoitwa fighting for supression kwenye hivyo vinasaba!..
ushoga ni mazingira sio DNA hakuna sehemu mtu amezaliwa shoga!.
duuuuuuuuuu pole saana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nalala kukipambazukaga