Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike

Mimi hivyo vina saba vya kike sina kabisa [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
sddd.jpg
kama huyu?
 
Mkuu Adam Aliumbwa moja kwa moja toka udongoni, Hakutoka Katika Tumbo la Mwanamke, Kwahiyo ni Ngumu sana Kuwa na Vinasaba vya Kike ila sisi na hata wewe ambao tumetoka kwenye Tumbo za Wanawake tuna vinasaba vya Kike Hata kama Havijionyeshi!
Kwa kutumia hiyo nadharia nawaambia MNARASIMISHA USHOGA sababu atatokea shoga mmoja atasema kama tunazaliwa na vinasaba vya kike then ni kazi ya kila mmoja kuvisurpress je atakaye shindwa kwanini mumkatae wakati ni biological struggle ambayo kuna win-lose situation!?..
Lets just stick to other points!..ila hii naikataa je wanawake wanaosagana wao imekuaje vinasaba vyao?..
 
Umeuliza zipi! Kama ulishasoma kitabu cha zamani "hekaya za abunuwasi "utajua ni vitu vya kufikirika na fix kwa wingi. Nami nasena uumbwaji wa Adam na Eva ni hadithi iliyokubuhu. Labda kidooogo kuhusu Darwinism
 
Hatufanani mitazamo ila ni vema kujipa muda wa kutafuta maarifa zaidi... Ukiwa na maarifa mengi ni sawa na kuwa na umeme high [emoji298]️ voltage
 
Ni kile kipengele kidogo "Adam akamrudi Eva "Nikaachana na mtazamo wako ili kupinga watu wa damu moja kuzaana. Nikasema hekaya za abunuwasi ili nisiamini uhalisia wake
 
Kwa kutumia hiyo nadharia nawaambia MNARASIMISHA USHOGA sababu atatokea shoga mmoja atasema kama tunazaliwa na vinasaba vya kike then ni kazi ya kila mmoja kuvisurpress je atakaye shindwa kwanini mumkatae wakati ni biological struggle ambayo kuna win-lose situation!?..
Lets just stick to other points!..ila hii naikataa je wanawake wanaosagana wao imekuaje vinasaba vyao?..
Hauna Vinasaba vya Mama yako?
 
Hauna Vinasaba vya Mama yako?
Nina vinasaba vya wazazi wangu wote!...sina kitu kinachoitwa fighting for supression kwenye hivyo vinasaba!..
ushoga ni mazingira sio DNA hakuna sehemu mtu amezaliwa shoga!.
 
sehem gani mimi nimezungumzia ushoga
 
Back
Top Bottom