Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning....
Lakini cha ajabu hakutokea kama replica ya Adam kulikuwa na tofauti kidogo kwenye via vya uzazi.. Halafu Adam akamrudi Eva akamgeuza bibi yake... Kiswahili kibovu AKAMLA... hii ni haramu pengine.. Yani alikula nyama yake.... Halafu wakaanza kufyatua watoto...
Watoto nao wakafyatuana kizazi kikaongezeka vikawa vizazi koo makabila mpaka mataifa
Mimba hutungwa kwa msaada wa watu mawili manii za mwanaume na mayai ya kike... Lakini shughuli ya mwanaume huishia hapo... Kifuatacho ITV ni malezi ya mimba kwa mama kwa takriban miezi tisa sawa na siku 270 kisha mama hujifungua na chakula cha kwanza cha mtoto ni ziwa la mama..
Kisha hufuata malezi ya makuzi mpaka mtoto anapofikia kujitambua.... Akizaliwa mwanamke yote kheri hakuna shida... Labda itokee kwenye makuzi... Akizaliwa mwanaume lazima kuwe na transformation ya kumjengea uhalisia wa kiumeni..
Mzazi akiyumba kidogo tu hapa mtoto ataiga tabia mpaka hulka za kile na kuvipa nguvu vile vinasaba vya kike alivyokuwa navyo kiasili
Kuna watu huitwa wana tabia za kike ama mambo ya kike... Kuna wakati huwa siwalaumu sana... Makuzi yamechochea vinasaba vya kike na vikapata nguvu.... Vinasaba hivi huwa kwa viwango tofauti lakini vikizidi asilimia 30 ni shida.....
Ninapoangalia watu wanaoitwa mabishoo ama maceleb ama wanaposifiwa kwa utanashati ama wanaotumika kwenye matangazo ya kibiashara na uanamitindo wengi hujaribu kuiga mambo ya kike hasa kwenye mavazi, urembo na mwonekano
Unaweza kujiuliza kuwa mbona zamani haya hayakuwepo? Haya yalikuwepo ila kulikuwa na clear demarcation kati ya mwanaume na mwanamke... Kuna jamii zilisuka.. Kuna jamii zilivaa shanga, vikuku na vishaufu.. Lakini kila kimoja kilivaliwa kwa maana na kwa matukio yake...
Usasa umeharibu mengi... Maingiliano ya tamaduni yamezalisha vitu vipya na vigeni kwa wengine.... Sasa hawaishii kuvaa tu wanaiga na matendo.. Na hili si la leo ama la juzi lina historia.. Lina mizizi.... Habari za Sodoma na Gomora zinajulikana wazi
Kama mwanaume kamili hakikisha huvipi nafasi vinasaba vya kike vipate nguvu.. Ndio chanzo cha kutaka kujipodoa... Au kuvaa kama kike.. Ama kuwa na tabia za kike ama kuwa shoga