Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike

Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning....

Lakini cha ajabu hakutokea kama replica ya Adam kulikuwa na tofauti kidogo kwenye via vya uzazi.. Halafu Adam akamrudi Eva akamgeuza bibi yake... Kiswahili kibovu AKAMLA... hii ni haramu pengine.. Yani alikula nyama yake.... Halafu wakaanza kufyatua watoto...

Watoto nao wakafyatuana kizazi kikaongezeka vikawa vizazi koo makabila mpaka mataifa

Mimba hutungwa kwa msaada wa watu mawili manii za mwanaume na mayai ya kike... Lakini shughuli ya mwanaume huishia hapo... Kifuatacho ITV ni malezi ya mimba kwa mama kwa takriban miezi tisa sawa na siku 270 kisha mama hujifungua na chakula cha kwanza cha mtoto ni ziwa la mama..

Kisha hufuata malezi ya makuzi mpaka mtoto anapofikia kujitambua.... Akizaliwa mwanamke yote kheri hakuna shida... Labda itokee kwenye makuzi... Akizaliwa mwanaume lazima kuwe na transformation ya kumjengea uhalisia wa kiumeni..

Mzazi akiyumba kidogo tu hapa mtoto ataiga tabia mpaka hulka za kile na kuvipa nguvu vile vinasaba vya kike alivyokuwa navyo kiasili
8b869142ab5e5708f7254a7b48b9ed35.jpg


Kuna watu huitwa wana tabia za kike ama mambo ya kike... Kuna wakati huwa siwalaumu sana... Makuzi yamechochea vinasaba vya kike na vikapata nguvu.... Vinasaba hivi huwa kwa viwango tofauti lakini vikizidi asilimia 30 ni shida.....

Ninapoangalia watu wanaoitwa mabishoo ama maceleb ama wanaposifiwa kwa utanashati ama wanaotumika kwenye matangazo ya kibiashara na uanamitindo wengi hujaribu kuiga mambo ya kike hasa kwenye mavazi, urembo na mwonekano

232af5cec3779e3e0c8215726aa8f709.jpg


Unaweza kujiuliza kuwa mbona zamani haya hayakuwepo? Haya yalikuwepo ila kulikuwa na clear demarcation kati ya mwanaume na mwanamke... Kuna jamii zilisuka.. Kuna jamii zilivaa shanga, vikuku na vishaufu.. Lakini kila kimoja kilivaliwa kwa maana na kwa matukio yake...

Usasa umeharibu mengi... Maingiliano ya tamaduni yamezalisha vitu vipya na vigeni kwa wengine.... Sasa hawaishii kuvaa tu wanaiga na matendo.. Na hili si la leo ama la juzi lina historia.. Lina mizizi.... Habari za Sodoma na Gomora zinajulikana wazi

Kama mwanaume kamili hakikisha huvipi nafasi vinasaba vya kike vipate nguvu.. Ndio chanzo cha kutaka kujipodoa... Au kuvaa kama kike.. Ama kuwa na tabia za kike ama kuwa shoga

0ca1188f6a58a5843887bbbeb700b6a9.jpg
 
Mkuu Adam Aliumbwa moja kwa moja toka udongoni, Hakutoka Katika Tumbo la Mwanamke, Kwahiyo ni Ngumu sana Kuwa na Vinasaba vya Kike ila sisi na hata wewe ambao tumetoka kwenye Tumbo za Wanawake tuna vinasaba vya Kike Hata kama Havijionyeshi!
 
Mkuu Adam Aliumbwa moja kwa moja toka udongoni, Hakutoka Katika Tumbo la Mwanamke, Kwahiyo ni Ngumu sana Kuwa na Vinasaba vya Kike ila sisi na hata wewe ambao tumetoka kwenye Tumbo za Wanawake tuna vinasaba vya Kike Hata kama Havijionyeshi!
Na ndio maana hatupaswi kuvipa nafasi vitawale silika na hisia zetu
 
kama umeielewa hii mada hata wewe ni gay ,sema umesupress hizo characteristics,sababu umelelewa hivyo,sasa mkuu mtu akuue na bastola kisa wewe gay,ni haki hio?
Watoto wengi wa kiume waliozaliwa kwenye familia ya wanawake tupu na kwa sehemu kubwa akaambatana nao hata asipokuwa shoga huathikirika pakubwa na hulka na tabia za kikeni
 
yani watu wa hivyo tungeruhusiwa kuwapiga risasi nahisi mm ningekuwa GAY-HUNTER [emoji34][emoji34]
Mbele ya wagumu kabisa wewe pia ungeuwawa....ungeonekana legelege mtoto laini almaarufu chakla ya midume so wangekumaliza fasta.
 
Wazazi tunakazi sana zama hizi ngumu sana kulea mtoto wakiume,kuna ndugu yangu mmoja aliwahi nambia unapopata mtoto wakiume lazima uyumbe kwanza kiuchumi au katika mambo mengine nilidhani imani yake lakini kadri sikuzilivyokwenda nikaamini kweli uzao wa mtoto wakiume ndani ya nyumba ni mtihani mzito sana inahitaji muongozo wa roho wa bwana
 
Wazazi tunakazi sana zama hizi ngumu sana kulea mtoto wakiume,kuna ndugu yangu mmoja aliwahi nambia unapopata mtoto wakiume lazima uyumbe kwanza kiuchumi au katika mambo mengine nilidhani imani yake lakini kadri sikuzilivyokwenda nikaamini kweli uzao wa mtoto wakiume ndani ya nyumba ni mtihani mzito sana inahitaji muongozo wa roho wa bwana
Nimeshindwa kabisa kupata tafsiri ya hii picha
what-manner-of.jpg
 
Back
Top Bottom