Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Sijamsikia hewani Jana kwenye kipindi cha XXL
 
Andaa pambano tu, nikawalipie kisasi akina mbasha na q chila na makolo wote aliowapiga huko uchochoroni.
Sina interest na pambano husika ila wewe uliyekerwa na mapigano hayo unatakiwa uombe ulingo mzichape na jamaa ulipe kisasi.
 
Kisa cha Kumpigaa ni Kipi??

Qchief: Mimi ni mganga siku hizi.

Mchomvu: Eti manager ,Qcheif ni mganga kweli?

Kabla Manager hajajibu ,Qchief akadakia.

Qchief: Yes ni mganga ,wewe Adam si ulisema Mkeo hataki umuoe? Njoo kwangu nikutibie

Ilikuwa kama matani hivi baada ya jibu hilo ndiyo Mchomvu akakasirika akaanza kumpa nakoz na vifuti na kutaka kumtoboa macho Qchief.
 
Sijamsikia hewani Jana kwenye kipindi cha XXL

Clouds Management inabidi wamsimamishe kwanza kazi akajifunze ethics za utangazaji ,haiwezekani "ubreak wind" kwenye kipindi studio tena makusudi halafu umtwange mtu ngumi wakati kipindi kipo hewani.

Huyu jamaa bangi zake za kuvutia chooni zinampeleka siko.
 
Huyu muda sio mrefu uongozi wa Clous utampiga chini walah hakuna media ya kumpokea,Jamaa kaanza utangazaji muda sana ila kila mwaka anakuwaga chini ya watu,Na sjui kwann hafukuzwi au kunamtu anamkazia dada yake?
[emoji16]
 
Ni mjinga kabisa huyo jamaa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…