Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Hii tabia ya kupiga wasanii in public imeshakua ni tabia yako Sasa, ukidhani kuwa wewe ni nunda na ni mkakamavu sana.

Ulimpiga mtama mbasha kwenye jukwaa bila aibu na ukajizolea umaarufu ukajiona wewe ni ninja sana katika mapigano.

Muulize chidi benzi kilichompata, na yeye alikua na tabia Kama yako Tena alikua anajiita mikono mfululu akimaanisha kuwa yupo fiti katika mapigano.

Chidi alimpiga marehemu mangwea na alikuja akampiga profesa jay

Nafikiri adamu wewe ni msanii hizo stori unazo kuhusu utukutu wa chid benzi, kiufupi alikua anapenda kupiga watu ambao hata ugomvi hawapendi na siyo watu wa ugomvi kabisa.

Hutokuta sehemu marehemu ngwea kagombana na mtu au prof jay kagombana na mtu.

Lakini kilichokuja kumkuta chidi benzi ni aibu kubwa alipokuja kuchezea ngumi za kutosha na mwanahiphop mmoja anayefahamika kwa jina la kimbunga.

Kimbunga alimkanda chidi benzi ngumi za kutosha na huo ndiyo ukawa mwisho wake wakujifanya anapiga watu kumbe si lolote.

Kalapina nae kwenye show yake alimuadabisha chidi benzi mbele za watu baada ya kuleta ubabe mbele ya wanaume.

Nakusihi adamu mchomvu ipo siku utayakanyaga usije kusema hatujakubia na endelea kuwapiga hao hao wanyoge.
Kwani kapiga mwingine
 
Q chillah na Tid ni wasanii ambao hawajitambui Adamu Hana tatizo
 
Qchief: Mimi ni mganga siku hizi.

Mchomvu: Eti manager ,Qcheif ni mganga kweli?

Kabla Manager hajajibu ,Qchief akadakia.

Qchief: Yes ni mganga ,wewe Adam si ulisema Mkeo hataki umuoe? Njoo kwangu nikutibie

Ilikuwa kama matani hivi baada ya jibu hilo ndiyo Mchomvu akakasirika akaanza kumpa nakoz na vifuti na kutaka kumtoboa macho Qchief.
Duhhh!!
 
Hii tabia ya kupiga wasanii in public imeshakua ni tabia yako Sasa, ukidhani kuwa wewe ni nunda na ni mkakamavu sana.

Ulimpiga mtama mbasha kwenye jukwaa bila aibu na ukajizolea umaarufu ukajiona wewe ni ninja sana katika mapigano.

Muulize chidi benzi kilichompata, na yeye alikua na tabia Kama yako Tena alikua anajiita mikono mfululu akimaanisha kuwa yupo fiti katika mapigano.

Chidi alimpiga marehemu mangwea na alikuja akampiga profesa jay

Nafikiri adamu wewe ni msanii hizo stori unazo kuhusu utukutu wa chid benzi, kiufupi alikua anapenda kupiga watu ambao hata ugomvi hawapendi na siyo watu wa ugomvi kabisa.

Hutokuta sehemu marehemu ngwea kagombana na mtu au prof jay kagombana na mtu.

Lakini kilichokuja kumkuta chidi benzi ni aibu kubwa alipokuja kuchezea ngumi za kutosha na mwanahiphop mmoja anayefahamika kwa jina la kimbunga.

Kimbunga alimkanda chidi benzi ngumi za kutosha na huo ndiyo ukawa mwisho wake wakujifanya anapiga watu kumbe si lolote.

Kalapina nae kwenye show yake alimuadabisha chidi benzi mbele za watu baada ya kuleta ubabe mbele ya wanaume.

Nakusihi adamu mchomvu ipo siku utayakanyaga usije kusema hatujakubia na endelea kuwapiga hao hao wanyoge.
Kuna Dudubaya pia leo yuko wapi
 
Bwana mchawi alishawahi kumchapa Chid Benga hii sijawahi sikia arooh.
 
adam mshamba sana yule chalii,kavamia jiji kwa fujo.

siku zake zinahesabika.
 
badala apigane na uchumi demu wake asijiuze viwanja ana piga wanyoge.Bangi zitakuponza chalii wa chuga.
 
Back
Top Bottom