King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hiki ni kipindi cha jana ijumaa mkuu. Tusipende sana kuwaombea wenzetu hasa vijana wenzetu mabaya
Yeye Basi Mchomvu ndiyo Mzushi ,Kaulizwa na Dulla mbona hausikiki kuna tetesi umefukuzwa ,akasema kwamba yupo likizo na anajiendeleza na masomo ,sasa kwanini amejibu uongo wakati unasema kwamba kabla hajaenda kwa dulla alikuwa clouds kwenye kipindi hewani?