Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Lakini upande wa pili,, tunapaswa kuheshimiana sana,,,
Mfano chanzo cha Emmanuel Mbasha kupigwa ilikuwa ni baada ya kumuita Adam ni Mvuta bangi hadharani.
-Hawa watu maarufu wakati mwingine wanasimama kama taasisi unapoamchafua huwezi juwa anaathirika kiasi gani kwenye biashara zake...si vizuri hata kama si kwa .mtu maarufu.

-Utu na kuheshimiana kubaki palepale hakuna mkamilifu .
Inawezekana wewe huvuti bangi lakini una matatizo yako mabaya tu watu wanakuvumilia.

-Take this: Hakuna mtu anayependa sifa mbaya hata kama ni kweli yupo hivyo.
Mkuu jiite nanga wa kwata ndiyo itapendeza zaidi.
 
Sawa kwa mbasha na kwa qchila je unatoa maoni gani
Ni walewale tu.
Q chilla alimwambia Adam, kwam mkewake(Mke wa Adam) anamlalamikia Q chilla kuwa Adam hamridhishi.

Sasa embu niambie huo utani gani hata kama niwewe.

Kipindi kinasikilizwa na mkeo mwenyewe, ndugu wa mkeo, ndugu zako, .
Mimi sijui mnachukuliaje mambo ya kuheshimiana.

Adam ana utani sana,, lakini utani wake ni wa kuchekesha tu. Sio utani wa hivyo wa kudhalilishana.

Bangi ni mbaya lakini isihusishwe moja kwa moja na vitu kama hivi ..!
 
Kuna interview DJ fetty alifanya na Salama, Fetty anasema Adam aliwahi kujamba studio makusudi ,sasa unaeza kuelewa jamaa ana akili gani
Hiyo ilikuwa kipindi Dj Fetty alipokuwa pale clouds fm kwenye kipindi cha xxl so far wakawa wanabishana ...Adamu akawa anasema Dj fetty kapumua lakn kumbe yeye ndo alipumua...duu mtoto wa watu aliumia sanaa kwa sababu walikuw live so ilikuwa mbilinge kweli.
 
Ni walewale tu.
Q chilla alimwambia Adam, kwam mkewake(Mke wa Adam) anamlalamikia Q chilla kuwa Adam hamridhishi.

Sasa embu niambie huo utani gani hata kama niwewe.

Kipindi kinasikilizwa na mkeo mwenyewe, ndugu wa mkeo, ndugu zako, .
Mimi sijui mnachukuliaje mambo ya kuheshimiana.

Adam ana utani sana,, lakini utani wake ni wa kuchekesha tu. Sio utani wa hivyo wa kudhalilishana.

Bangi ni mbaya lakini isihusishwe moja kwa moja na vitu kama hivi ..!
Duuh hata ningekuwa mm ningemtwanga aisee
 
Clouds Management inabidi wamsimamishe kwanza kazi akajifunze ethics za utangazaji ,haiwezekani "ubreak wind" kwenye kipindi studio tena makusudi halafu umtwange mtu ngumi wakati kipindi kipo hewani.

Huyu jamaa bangi zake za kuvutia chooni zinampeleka siko.

Nahisi Jamaa kama "Kalambishwa Mchanga" ,Jana alikuwa East Africa Radio akulizwa na Dulla mbona hausikiki hewani akajitetea kwamba yupo likizo na pia anasoma ila kwasisi tuliosoma "KYUBA" tushajua kwamba "TAYARI".
 
Mbona karudi kazini mkuu na clouds walimfanyia hadi birthday

Lini karudi? Interview kafanyiwa juzi na ameulizwa mbona hasikiki hewani ,akasema kwamba yupo likizo na anajiendeleza na masomo na pia anafanya mambo mengine.

Kufanyiwa birthday hakuna uhusiano na kurudi kazini ,akirudi kazini means atakuwa anasikikia hewani unless labda amehamia kitengo kingine ambacho sio cha kusikika hewani.
 
Nenda youtube sikiliza kipindi cha kuanzia Alhamis utampata. Hata siku anahojiwa na Dulla planet alikuwa amesharudi maama alipotoka pale ndo akaenda kwenye kipindi
 
Lini karudi? Interview kafanyiwa juzi na ameulizwa mbona hasikiki hewani ,akasema kwamba yupo likizo na anajiendeleza na masomo na pia anafanya mambo mengine.

Kufanyiwa birthday hakuna uhusiano na kurudi kazini ,akirudi kazini means atakuwa anasikikia hewani unless labda amehamia kitengo kingine ambacho sio cha kusikika hewani.

Hiki ni kipindi cha jana ijumaa mkuu. Tusipende sana kuwaombea wenzetu hasa vijana wenzetu mabaya
 
Back
Top Bottom