Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Qchief: Mimi ni mganga siku hizi.

Mchomvu: Eti manager ,Qcheif ni mganga kweli?

Kabla Manager hajajibu ,Qchief akadakia.

Qchief: Yes ni mganga ,wewe Adam si ulisema Mkeo hataki umuoe? Njoo kwangu nikutibie

Ilikuwa kama matani hivi baada ya jibu hilo ndiyo Mchomvu akakasirika akaanza kumpa nakoz na vifuti na kutaka kumtoboa macho Qchief.
Ilikuwa kwenye kipindi!?
 
Nimjuavyo Q Chief, Huo ugomvi ndio kwanza mbichiii....
Huyo Adam ajiweke vizuri, Kuna siku inamkujia ambayo atajisahau kabisa kama aliwai kufanya ugomvi, ndio siku hiyo hiyo atashangaa Bisibisi inaingia Shingoni ama inapenya kwenye nyama za Tumbo....
Q-Chief ugomvi wake wa kisasi kisichoisha
 
Amuulize tid mnyama walivyoisambalatisha top band[emoji23]
 
Fighting can't make u a Man...!

Fighting can't change your sex status

You are still a Man even without fighting..!
Cheki comment yangu maneno yote hayo yapo kwenye Country Music; Wosia wa Baba kwa mtoto wake Baba huyu alivyofia Jela..

I still recall the final words my brother said to Tommy
"Son, my life is over, but yours has just begun"
"Promise me, son, not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"
Lakini baada ya wapuuzi kumbaka mpenzi wake Tommy kwa masikitiko alifanya yafuatayo
Tommy opened up the door and saw Becky crying
The torn dress, the shattered look was more than he could stand
He reached above the fireplace and took down his daddy's picture
As his tears fell on his daddy's face, he heard these words again
"Promise me, Son, not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"​

Tommy akaondoka na kwenda Bar kwa wale wapuuzi
The Gatlin boys just laughed at him when he walked into the bar room
One of them got up and met him half way cross the floor
When Tommy turned around they said, "Hey look! Old Yellow's leaving"
But you could've heard a pin drop when Tommy stopped and locked the door
Twenty years of crawling was bottled up inside him
He wasn't holding nothing back, he let 'em have it all
When Tommy left the bar room, not a Gatlin boy was standing
He said, "This one's for Becky", as he watched the last one fall

Baada ya kuwafunza adabu alisema yafuatayo

And I heard him say
"I promised you, Dad, not to do the things you've done
I walk away from trouble when I can
Now please don't think I'm weak, I didn't turn the other cheek
And Papa, I should hope you understand
Sometimes you gotta fight when you're a man"
 
Fighting can't make u a Man...!

Fighting can't change your sex status

You are still a Man even without fighting..!
Hayo juu maneno nimeweka ni ya Kenny Rogers katika Kazi yake...., Lakini nilichonukuu ni baada ya Mdau hapo juu Ku-qoute baadhi ya maneno ambayo ni ya kweli "you don't have to fight to be a man" Nikajibu mengine... "Sometimes you gotta fight when you're a man"

Kumbuka hapo Keyword ni you got to...., na hii haimaanishi a Man sababu ya Jinsia yako bali a Man / Even a woman kama head of state / clan or whatever (Kuku kwa vifaranga, mama kwa mtoto, kaka kwa wadogo zake, rafiki kwa rafiki yake mwingine.... Watu wasio na busara ukiwapa an Inch they take a Mile...., sometimes kuwa-stoppisha ni kukata mzizi wa fitina (la kwanza ni walk away from trouble if you can, lakini if you can not, even turn the other cheek sababu the slaps keeps on comming utake usitake utajikuta unajiprotect - even if its the battle you can not win....

In short you do not do one to prove the other, but you do it because you are the other - Its the price you have to pay kwa kuzungukwa na wapuuzi....
 
Cheki comment yangu maneno yote hayo yapo kwenye Country Music; Wosia wa Baba kwa mtoto wake Baba huyu alivyofia Jela..

I still recall the final words my brother said to Tommy
"Son, my life is over, but yours has just begun"
"Promise me, son, not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"
Lakini baada ya wapuuzi kumbaka mpenzi wake Tommy kwa masikitiko alifanya yafuatayo
Tommy opened up the door and saw Becky crying
The torn dress, the shattered look was more than he could stand
He reached above the fireplace and took down his daddy's picture
As his tears fell on his daddy's face, he heard these words again
"Promise me, Son, not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"​

Tommy akaondoka na kwenda Bar kwa wale wapuuzi
The Gatlin boys just laughed at him when he walked into the bar room
One of them got up and met him half way cross the floor
When Tommy turned around they said, "Hey look! Old Yellow's leaving"
But you could've heard a pin drop when Tommy stopped and locked the door
Twenty years of crawling was bottled up inside him
He wasn't holding nothing back, he let 'em have it all
When Tommy left the bar room, not a Gatlin boy was standing
He said, "This one's for Becky", as he watched the last one fall

Baada ya kuwafunza adabu alisema yafuatayo

And I heard him say
"I promised you, Dad, not to do the things you've done
I walk away from trouble when I can
Now please don't think I'm weak, I didn't turn the other cheek
And Papa, I should hope you understand
Sometimes you gotta fight when you're a man"
Aiseeee mkuu agiza pepsi kwanza unywe bili juu yangu naupenda sana huu wimbo
 
Hii tabia ya kupiga wasanii in public imeshakua ni tabia yako Sasa, ukidhani kuwa wewe ni nunda na ni mkakamavu sana.

Ulimpiga mtama mbasha kwenye jukwaa bila aibu na ukajizolea umaarufu ukajiona wewe ni ninja sana katika mapigano.

Muulize chidi benzi kilichompata, na yeye alikua na tabia Kama yako Tena alikua anajiita mikono mfululu akimaanisha kuwa yupo fiti katika mapigano.

Chidi alimpiga marehemu mangwea na alikuja akampiga profesa jay

Nafikiri adamu wewe ni msanii hizo stori unazo kuhusu utukutu wa chid benzi, kiufupi alikua anapenda kupiga watu ambao hata ugomvi hawapendi na siyo watu wa ugomvi kabisa.

Hutokuta sehemu marehemu ngwea kagombana na mtu au prof jay kagombana na mtu.

Lakini kilichokuja kumkuta chidi benzi ni aibu kubwa alipokuja kuchezea ngumi za kutosha na mwanahiphop mmoja anayefahamika kwa jina la kimbunga.

Kimbunga alimkanda chidi benzi ngumi za kutosha na huo ndiyo ukawa mwisho wake wakujifanya anapiga watu kumbe si lolote.

Kalapina nae kwenye show yake alimuadabisha chidi benzi mbele za watu baada ya kuleta ubabe mbele ya wanaume.

Nakusihi adamu mchomvu ipo siku utayakanyaga usije kusema hatujakubia na endelea kuwapiga hao hao wanyoge.
Adam mabangi
 
Lakini upande wa pili,, tunapaswa kuheshimiana sana,,,
Mfano chanzo cha Emmanuel Mbasha kupigwa ilikuwa ni baada ya kumuita Adam ni Mvuta bangi hadharani.
-Hawa watu maarufu wakati mwingine wanasimama kama taasisi unapoamchafua huwezi juwa anaathirika kiasi gani kwenye mambo yake yanayompatia riziki
...si vizuri hata kama si kwa .mtu maarufu.

-Utu na kuheshimiana kubaki palepale hakuna mkamilifu .
Inawezekana wewe huvuti bangi lakini una matatizo yako mabaya tu watu wanakuvumilia.

-Take this: Hakuna mtu anayependa sifa mbaya hata kama ni kweli yupo hivyo.
 
Lakini upande wa pili,, tunapaswa kuheshimiana sana,,,
Mfano chanzo cha Emmanuel Mbasha kupigwa ilikuwa ni baada ya kumuita Adam ni Mvuta bangi hadharani.
-Hawa watu maarufu wakati mwingine wanasimama kama taasisi unapoamchafua huwezi juwa anaathirika kiasi gani kwenye biashara zake...si vizuri hata kama si kwa .mtu maarufu.

-Utu na kuheshimiana kubaki palepale hakuna mkamilifu .
Inawezekana wewe huvuti bangi lakini una matatizo yako mabaya tu watu wanakuvumilia.

-Take this: Hakuna mtu anayependa sifa mbaya hata kama ni kweli yupo hivyo.
Sawa kwa mbasha na kwa qchila je unatoa maoni gani
 
Back
Top Bottom