Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Hiki ni kipindi cha jana ijumaa mkuu. Tusipende sana kuwaombea wenzetu hasa vijana wenzetu mabaya

Yeye Basi Mchomvu ndiyo Mzushi ,Kaulizwa na Dulla mbona hausikiki kuna tetesi umefukuzwa ,akasema kwamba yupo likizo na anajiendeleza na masomo ,sasa kwanini amejibu uongo wakati unasema kwamba kabla hajaenda kwa dulla alikuwa clouds kwenye kipindi hewani?
 
Kwa Dulla alisema alikuwa kimya kwa sababu alikuwa likizo pamoja na kurudi shule
 

Nenda kasikilize dk ya 12:30 anaanza kwa kusema ukimya uliotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…