ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

Hazuiwi kucheka ila haruhusiwi kuchakacheka nafikiri umechanganya mambo
Kumbuka yeye siyo mlinzi wa Rais ni mpambe tu wa Rais kazi yake ni kumsaidia Rais mambo kama kubeba mkoba na mambo mengine mfano wa hayo
 
Lingekuwa ni kosa,Rais asingeiweka kwenye mtandao wa X. Hata hivyo ADC hahusiani na wengi wanavyodhani. Ni mtu free tu ingawa anaweza kusaidia baadhi ya mambo ya TISS.
Ukisema ni mtu free unamaanisha anaweza kuwa kama mpigakura wahuko kazulamimba?
 
Haki nilipoona hiyo picha nikajua ni mwanakwaya tu, , kusoma kumbe wapo huko kwa Uhuru.

But anyways tuyaache,
 
Kimedani huyu dada yetu wa lake zone kakosea sana, ulinzi wa Rais ni full compact andefulltime eye view Kwa all angles japo ana sense glasses na kadhalika lakini hata akichekeshwa hatakiwi kucheka
Huyo sio mlinzi ni mpambe tu.
 
Back
Top Bottom