ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

Kiitifaki imekaaje? Au inategemeana na mazingira? Maana kwa ninavyofahamu hawaruhusiwi kuwa sehemu ya kinachozungumzwa unless kimehusisha usalama wa kiongozi.
Kwa wapambe kutabasamu hakuna tatizo mkuu, wale ni wasaidizi tu.....
 
a

Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo na Boss wake ambaye Kimedani ni CIC (Amiri Jeshi Mkuu).

Hivyo huyu ADC wa Rais Samia tafadhali watu wa Protokali wa Kijeshi wamkumbushe kuwa hatakiwi kufanya hivyo kama ambavyo anaonekana amefanya katika Ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Rais Samia huku pembeni yake (kulia kwake) akiwa na muota ndoto za alinacha kuwa siku moja atakuja kuwa Rais wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba.

Na nashauri ambao mtanishangaa kwa huu Uzi watafuteni kwanza watu wa Protokali za Kijeshi na TISS wawaelimishe Ok?
asicheke wala asitabasamu,ina maana awe analia au?
 
Tupe historia, ni jambo gn baya liliwahi kumpata rais wa nchi yoyote duniani baada ya ADC kucheka au kutabasamu.

Tsh kuna kutabasamu, kucheka na kucheka kupitiliza, sasa ADC amecheka au ametabasamu hapo tatizo ni lipi.? Kumbuka huyo sio mlinzi mkuu wa rais ndio mana hua anabeba vitu vya rais.
Mkuu, kuna miongozo yao lakini. Ndo nilitaka kujua inasemaje. Binafsi najua kuwa hawaruhusiwi kuwa sehemu ya mazungumzo yanayoendelea kwa namna yoyote isipokuwa tu mazungumzo yale yatahusisha usalama wa kiongozi. Sasa huwezi kutabasamu kama wewe si sehemu ya mazungumzo ndo maana nikamuliza Proved kuwa miongozo ipoje? Kama wanaruhusiwa kuwa sehemu ya mazungumzo watabasamu ila wasiangue kicheko au la.
 
Hapa kulikuwa na komedi ya hatari, mama mwenyewe ukimuona alizidiwa na kicheko.
IMG-20240430-WA0013.jpg
 
Mkuu, kuna miongozo yao lakini. Ndo nilitaka kujua inasemaje. Binafsi najua kuwa hawaruhusiwi kuwa sehemu ya mazungumzo yanayoendelea kwa namna yoyote isipokuwa tu mazungumzo yale yatahusisha usalama wa kiongozi. Sasa huwezi kutabasamu kama wewe si sehemu ya mazungumzo ndo maana nikamuliza Proved kuwa miongozo ipoje? Kama wanaruhusiwa kuwa sehemu ya mazungumzo watabasamu ila wasiangue kicheko au la.
Imagine rais yupo na kiongozi mwenzake na kati ya maongezi yao yakahatarisha maisha ya rais labla anamtishia rais na adc yupo hapo inakuwaje.?

Hakuna utaratibu wowote duniani ety adc asicheke

Ndio mana nikaomba mifano hai ya madhara ya adc kucheka
 
Ukweli dada yetu Kapuyanga .

Ukiangalia Kile kicheko nilikuwa hakimuhusu kabisa.
Wakina mwigulu,marope, mke wa Ruto na sa100 , wakiangua kicheko yy ADC alipaswa Ku focus Kwa kinachoendelea Tu.

Sema kuna kikundi kinafurahi kuwepo Kwa watu wazembe kama hawa
 
Kwa mbali nawaona Daktari Bingwa wa kufanya Upasuaji wa Uchumi wetu wa Nchi, Bwana Mwigulu Nchemba pamoja na Mtoto pendwa kabisa wa awamu ya nne na hii ya Sita, Mbobezi wa kutatua migogoro Bwana Makamba Jr wakiendelea kupanga Mipango yao kuelekea 2025
 
.....
 
Kama kuna mlinzi wa rais aliyekuwa anatamani kucheka ila anajikaza kisabuni ni mpambe wa Jiwe Imagine mtu anaambiwa abaki na mavi yake nyumbani au kama yule mfungwa kiwete wa gereza la butimba aliyefungwa kwa ubakaji aliyesema miguu yake haifanyi kazi akaambiwa na magufuli kwamba miguu haifanyi kazi ila mguu wa tatu unafanya kazi
 
Kwa mbali nawaona Daktari Bingwa wa kufanya Upasuaji wa Uchumi wetu wa Nchi, Bwana Mwigulu Nchemba pamoja na Mtoto pendwa kabisa wa awamu ya nne na hii ya Sita, Mbobezi wa kutatua migogoro Bwana Makamba Jr wakiendelea kupanga Mipango yao kuelekea 2025

.....
Harakati za MTU mweusi.
Lakin Maza nae si mjinga,
 
Imagine rais yupo na kiongozi mwenzake na kati ya maongezi yao yakahatarisha maisha ya rais labla anamtishia rais na adc yupo hapo inakuwaje.?

Hakuna utaratibu wowote duniani ety adc asicheke

Ndio mana nikaomba mifano hai ya madhara ya adc kucheka
OK boss, twende pamoja ili tuelewane ila tusifanye imagination, twende na miongozo.

Mfano, tunajua miongozo inamkataza kutoka na kwenda maliwatoni ila hakuna utaratibu wowote duniani kuwa hapaswi kubanwa na haja, suala la miongozo kumtaka asiende kujisaidia ni moja,suala la yeye kubanwa na haja ni lingine na suala la yeye kuamua kwenda kujisaidia ni jingine. Kwenye tabasamu ni hivyo hivyo, suala la miongozo inasemaje ni moja, suala la yeye kupata hamu ya kutabasamu ni lingine na suala la kuamua kutabasamu ni lingine. Swali, miongozo yao inamruhusu kutabasamu? Proved kasema ndio, wewe unasemaje?
 
Imagine rais yupo na kiongozi mwenzake na kati ya maongezi yao yakahatarisha maisha ya rais labla anamtishia rais na adc yupo hapo inakuwaje.?

Hakuna utaratibu wowote duniani ety adc asicheke

Ndio mana nikaomba mifano hai ya madhara ya adc kucheka
Anacheka Anamchekea nani ?
 
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo na Boss wake ambaye Kimedani ni CIC (Amiri Jeshi Mkuu).

Hivyo huyu ADC wa Rais Samia tafadhali watu wa Protokali wa Kijeshi wamkumbushe kuwa hatakiwi kufanya hivyo kama ambavyo anaonekana amefanya katika Ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Rais Samia huku pembeni yake (kulia kwake) akiwa na muota ndoto za alinacha kuwa siku moja atakuja kuwa Rais wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba.

Na nashauri ambao mtanishangaa kwa huu Uzi watafuteni kwanza watu wa Protokali za Kijeshi na TISS wawaelimishe Ok?
Nchi imejaa machawa kila Kona, kitendo cha kucheka, kinaonyesha anafstilia mazungumzo, hii haitakiwi, kabisa, yeye sio sehemu yq mazungumzo, ni sawa sawa na driver wa boss, boss akiwa anafsnya mazungumzo anacheka,driver hatakiwi kucheka, mazungumzo hayamuhusu
 
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo na Boss wake ambaye Kimedani ni CIC (Amiri Jeshi Mkuu).

Hivyo huyu ADC wa Rais Samia tafadhali watu wa Protokali wa Kijeshi wamkumbushe kuwa hatakiwi kufanya hivyo kama ambavyo anaonekana amefanya katika Ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Rais Samia huku pembeni yake (kulia kwake) akiwa na muota ndoto za alinacha kuwa siku moja atakuja kuwa Rais wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba.

Na nashauri ambao mtanishangaa kwa huu Uzi watafuteni kwanza watu wa Protokali za Kijeshi na TISS wawaelimishe Ok?
Hao wanaocheka sio wapambe ni washikaji zake huyo waziri wa mambo ya nje ndio maana unamwona yeye anacheka lakini mpambe wa ukweli alivaa sare za jeshi yuko na uso mbuzi kama kawaida hacheki hata wale wa kiume wa kitengo nao hali kadhalika.

Inaonesha kapeti hilo alikuwa Kenya au sio? Sio wafanyakazi wa ubalozi kweli hao walioanguka kicheko hadharani?
 
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo na Boss wake ambaye Kimedani ni CIC (Amiri Jeshi Mkuu).

Hivyo huyu ADC wa Rais Samia tafadhali watu wa Protokali wa Kijeshi wamkumbushe kuwa hatakiwi kufanya hivyo kama ambavyo anaonekana amefanya katika Ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Rais Samia huku pembeni yake (kulia kwake) akiwa na muota ndoto za alinacha kuwa siku moja atakuja kuwa Rais wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba.

Na nashauri ambao mtanishangaa kwa huu Uzi watafuteni kwanza watu wa Protokali za Kijeshi na TISS wawaelimishe Ok?

Kuna watu hawana akili mpaka unashangaa.... Yaani Makamba anaamini anaweza kuja kuwa rais? Mungu apishie mbali. Yaani sijui ametudharau kiasi gani. Huyu makamba kilaza aliye fail mitihani yake.... Tusiseme mengi. Sisi tulimshauri asiwe anaongea maana ukitaka kuona jinsi ambavyo kichwani ni empty awe anaongea.... Ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom