Kiitifaki imekaaje? Au inategemeana na mazingira? Maana kwa ninavyofahamu hawaruhusiwi kuwa sehemu ya kinachozungumzwa unless kimehusisha usalama wa kiongozi.....kutabasamu sio kosa ila kucheka kwa sauti haijakaa sawa.
Kwa wapambe kutabasamu hakuna tatizo mkuu, wale ni wasaidizi tu.....Kiitifaki imekaaje? Au inategemeana na mazingira? Maana kwa ninavyofahamu hawaruhusiwi kuwa sehemu ya kinachozungumzwa unless kimehusisha usalama wa kiongozi.
Ok bossKwa wapambe kutabasamu hakuna tatizo mkuu, wale ni wasaidizi tu.....
asicheke wala asitabasamu,ina maana awe analia au?
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo na Boss wake ambaye Kimedani ni CIC (Amiri Jeshi Mkuu).
Hivyo huyu ADC wa Rais Samia tafadhali watu wa Protokali wa Kijeshi wamkumbushe kuwa hatakiwi kufanya hivyo kama ambavyo anaonekana amefanya katika Ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Rais Samia huku pembeni yake (kulia kwake) akiwa na muota ndoto za alinacha kuwa siku moja atakuja kuwa Rais wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba.
Na nashauri ambao mtanishangaa kwa huu Uzi watafuteni kwanza watu wa Protokali za Kijeshi na TISS wawaelimishe Ok?
Mkuu, kuna miongozo yao lakini. Ndo nilitaka kujua inasemaje. Binafsi najua kuwa hawaruhusiwi kuwa sehemu ya mazungumzo yanayoendelea kwa namna yoyote isipokuwa tu mazungumzo yale yatahusisha usalama wa kiongozi. Sasa huwezi kutabasamu kama wewe si sehemu ya mazungumzo ndo maana nikamuliza Proved kuwa miongozo ipoje? Kama wanaruhusiwa kuwa sehemu ya mazungumzo watabasamu ila wasiangue kicheko au la.Tupe historia, ni jambo gn baya liliwahi kumpata rais wa nchi yoyote duniani baada ya ADC kucheka au kutabasamu.
Tsh kuna kutabasamu, kucheka na kucheka kupitiliza, sasa ADC amecheka au ametabasamu hapo tatizo ni lipi.? Kumbuka huyo sio mlinzi mkuu wa rais ndio mana hua anabeba vitu vya rais.
Imagine rais yupo na kiongozi mwenzake na kati ya maongezi yao yakahatarisha maisha ya rais labla anamtishia rais na adc yupo hapo inakuwaje.?Mkuu, kuna miongozo yao lakini. Ndo nilitaka kujua inasemaje. Binafsi najua kuwa hawaruhusiwi kuwa sehemu ya mazungumzo yanayoendelea kwa namna yoyote isipokuwa tu mazungumzo yale yatahusisha usalama wa kiongozi. Sasa huwezi kutabasamu kama wewe si sehemu ya mazungumzo ndo maana nikamuliza Proved kuwa miongozo ipoje? Kama wanaruhusiwa kuwa sehemu ya mazungumzo watabasamu ila wasiangue kicheko au la.
Harakati za MTU mweusi.Kwa mbali nawaona Daktari Bingwa wa kufanya Upasuaji wa Uchumi wetu wa Nchi, Bwana Mwigulu Nchemba pamoja na Mtoto pendwa kabisa wa awamu ya nne na hii ya Sita, Mbobezi wa kutatua migogoro Bwana Makamba Jr wakiendelea kupanga Mipango yao kuelekea 2025
.....
OK boss, twende pamoja ili tuelewane ila tusifanye imagination, twende na miongozo.Imagine rais yupo na kiongozi mwenzake na kati ya maongezi yao yakahatarisha maisha ya rais labla anamtishia rais na adc yupo hapo inakuwaje.?
Hakuna utaratibu wowote duniani ety adc asicheke
Ndio mana nikaomba mifano hai ya madhara ya adc kucheka
Anacheka Anamchekea nani ?Imagine rais yupo na kiongozi mwenzake na kati ya maongezi yao yakahatarisha maisha ya rais labla anamtishia rais na adc yupo hapo inakuwaje.?
Hakuna utaratibu wowote duniani ety adc asicheke
Ndio mana nikaomba mifano hai ya madhara ya adc kucheka
Nchi imejaa machawa kila Kona, kitendo cha kucheka, kinaonyesha anafstilia mazungumzo, hii haitakiwi, kabisa, yeye sio sehemu yq mazungumzo, ni sawa sawa na driver wa boss, boss akiwa anafsnya mazungumzo anacheka,driver hatakiwi kucheka, mazungumzo hayamuhusu
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo na Boss wake ambaye Kimedani ni CIC (Amiri Jeshi Mkuu).
Hivyo huyu ADC wa Rais Samia tafadhali watu wa Protokali wa Kijeshi wamkumbushe kuwa hatakiwi kufanya hivyo kama ambavyo anaonekana amefanya katika Ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Rais Samia huku pembeni yake (kulia kwake) akiwa na muota ndoto za alinacha kuwa siku moja atakuja kuwa Rais wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba.
Na nashauri ambao mtanishangaa kwa huu Uzi watafuteni kwanza watu wa Protokali za Kijeshi na TISS wawaelimishe Ok?
Hao wanaocheka sio wapambe ni washikaji zake huyo waziri wa mambo ya nje ndio maana unamwona yeye anacheka lakini mpambe wa ukweli alivaa sare za jeshi yuko na uso mbuzi kama kawaida hacheki hata wale wa kiume wa kitengo nao hali kadhalika.