Outcrop Rock
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 275
- 398
Nahs baada ya hiyo kesi, Yanga nao watafungua kesi Kwa Simba kutumia logo Yao kutangazia biashara za mbet na kampuni za mo.. maana nao walipost kwenye page Yao official ya insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa kule juu nilisema itategemea umetumia kwa mlengwa upi ikakufaidisha kibiashara ndio shidaSawa mbona Simba nao wame post hayo matokeo kwenye page yao kukiwa na logo ya Yanga na wadhamini wa Simba?
Utopolo wanasemaje..?Kuna mdau alileta mada ya kuuliza Kama ni sahihi kisheria kilichofanywa na yanga kuweka Hilo bango. Kuna waliomtukana lakini inawezekana rage pia ni mdau wa huku kaona hiyo taarifa. Mabango yapo kibiashara na biashara imefanyika lakini bila ridhaa ya mtu mwingine.
Outdoor wamelipwa, tra wamelipwa , tarura au tanroad pia wamelipwa na mabispaa ya kinondoni wamelipwa. Simba watashinda hiyo kesi mapema tu kwa sababu wamewekwa kwenye tangazo bila kuhusishwa.
Kwa hili Rage unawapotosha Simba na unasaidia Yanga kutimiza lengo Lao Kwa kiwango ambacho hawakutarajia.Mwenyekiti wa zamani wa Simba na FAT Adan Rage, amesema wataidai na kuipeleka mahakamani kampuni ya outdoor, Saifi store waliohusika na Kutundika bango lilitumia nembo ya Simba, kwani muendo huo ni wa kibiashara na wamejitangaza kupitia logo ya Simba bila ridhaa ya Simba wenyewe.
Mbobevu huyo wa Sheria amedai ataongea na Try again na Magungu na Viongozi wengine wa Simba kupeleka Madai yao ya kiasi kisichopungua mil 100 Kwa Saifi store ikiwa ni sehemu ya pesa ya kutumika Kwa nembo yao.
Ikumbukwe kuwa club ya yanga iliipa kazi kampuni ya Saifi store kutengeneza na kupandisha bango kubwa linaloonesha ushindi wa bao 5-1 Kwa Yanga dhidi ya Simba.
Kauli hiyo pia imeenda sambamba na pongezi za ushabiki Bora, na pongezi mahsusi kutoka Kwa rais wa fifa kuwa Simba inapiga mpira kuliko Wyada na Mamelod.
Kwenye bango kuna bidhaa gani inauzwa?Elewa kule juu nilisema itategemea umetumia kwa mlengwa upi ikakufaidisha kibiashara ndio shida