Aden Rage kumshauri Try Again na Mangungu kudai Tsh. Milioni 100 za bango la Yanga kuifunga Simba 5

Nahs baada ya hiyo kesi, Yanga nao watafungua kesi Kwa Simba kutumia logo Yao kutangazia biashara za mbet na kampuni za mo.. maana nao walipost kwenye page Yao official ya insta
 
Huyu mtu anaitwa Rage anachungulia Kila pesa ilipo Kwa hili Simba wanapiga hela.
 
Utopolo wanasemaje..?
 
Kwa hili Rage unawapotosha Simba na unasaidia Yanga kutimiza lengo Lao Kwa kiwango ambacho hawakutarajia.
Ukikaa kishabiki upande wowote huku utaona hivi huku utaona hivi. Lakini sheria haitafsiriwi apendavyo Mtu. Sheria inajitafsiri yenyewe.
 
Mkigangamala tuwalipe imekula kwenu mtahesabu mmeshimda huku sisi tutahesabu tumewahonga ingie kwenye mtego huo muone mechi ijayo msipokula 10

Sie akili mukichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…