Share nasi. Ungemfanyaje?Ilikuwa sahihi kwa mtazamo wa mtoa adhabu. As for me, ningefanya tofauti
Ningemwogesha.Share nasi. Ungemfanyaje?
Ewaaaaa na hii angalau yaweza kuwa suluhu.Ningemwogesha.
Usicheke Hajar. Yuko bize kusaka mihelaIla inachekesha sana aiseee. Mwanaume mwenye mke ana kuwa na akili za wapi mpaka anakuwa chauchafu?
Dah! Afadhali. Maana nilishaanza kujiandaa kisaikolojia kwa adhabu yako. Mimi ningefurahi na kudeka huku najidai sipendi uniogeshe. Maana wanaume tunapenda kupewa treatments za kifalme. Refer :Muvi ya... "Coming to America "...7HahahahaaaaNingemwogesha.
Hahaaa. Mwenzangu sasa hiyo busy huku ananuka si hata wateja atafikia kipindi atawakosa.Usicheke Hajar. Yuko bize kusaka mihela
Umenichekesha Moise...! Yapo ya kuyaumizia kichwa kutafuta suluhu lakini sio hili.Dah! Afadhali. Maana nilishaanza kujiandaa kisaikolojia kwa adhabu yako. Mimi ningefurahi na kudeka huku najidai sipendi uniogeshe. Maana wanaume tunapenda kupewa treatments za kifalme. Refer :Muvi ya... "Coming to America "...7Hahahahaaaa
Hapo mke ndo a play part yake.Hahaaa. Mwenzangu sasa hiyo busy huku ananuka si hata wateja atafikia kipindi atawakosa.
Hela atafutage ila na usafi muhimu kwa kweli.
Afadhali weye haujaumiza kichwa kupata suluhu. Unamlaza nje? Je akipatwa na madhila mengine kama kipigo toka kwa majambazi au hata kifo? Mambo mengine ni ya kumchukulia mwenza wako tu. Ukiishupaza shingo utaleta madhara zaidi.Umenichekesha Moise...! Yapo ya kuyaumizia kichwa kutafuta suluhu lakini sio hili.
Part gani jamaaani Mumy, Kwani mtoto mdogo huyo?Hapo mke ndo a play part yake.
Anatafuta pesa mpaka anasahau kuoga!Ila inachekesha sana aiseee. Mwanaume hasa mwenye mke ana kuwa na akili za wapi mpaka anakuwa chauchafu?
Wapeni mbinu jirani zetu jinsi ya kuishi na ladies. Naona kabisa hapa kama angelazimisha kuingia ndani basi angetolewa meno ya sebuleniWanaume wa Kenya wanapitia magumu sana tuwaombee
Ni akili za kitoto kumjadili mtu kwamba ananuka badala ya kumsaidia.Hahahaha hii kali ila kwa kweli atakuwa amemchoka sana hata kama anafanya kazi ngumu kiasi gani.
Hii pia inanikumbusha baadhi ya threads za zamani ambapo kuna wanaolalamika kuwa baadhi ya wanaume wananuka ukiwa nao kama mmoja alisemwa sana humu.
Lakini cha ajabu utaenda na mtu hotel halafu mnakosa hata dakika kadhaa za kuoga kabla?