Adhabu kwa wanaume ambao hawaogi

Adhabu kwa wanaume ambao hawaogi

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Kijana mmoja ambaye ni mwendesha boda boda huko Kenya amejikuta katika mgogoro mkubwa na mke wake ambao umempelekea kulala nje

Mwanamke huyo aliyemtangazia mbele ya umati wa watu waliokuwa wamekusanyika kuangalia tukio hilo kuwa mwanaume huyo hataingia ndani kama hajaoga

Hata hivyo mwanaume huyo ambaye alionekana kubisha na hatimaye alifungiwa na kulala nje mpaka asubuhi

Je ilikuwa adhabu sahihi kwa mwanaume huyo?
 
Dah! Afadhali. Maana nilishaanza kujiandaa kisaikolojia kwa adhabu yako. Mimi ningefurahi na kudeka huku najidai sipendi uniogeshe. Maana wanaume tunapenda kupewa treatments za kifalme. Refer :Muvi ya... "Coming to America "...7Hahahahaaaa
Umenichekesha Moise...! Yapo ya kuyaumizia kichwa kutafuta suluhu lakini sio hili.
 
Hahahaha hii kali ila kwa kweli atakuwa amemchoka sana hata kama anafanya kazi ngumu kiasi gani.

Hii pia inanikumbusha baadhi ya threads za zamani ambapo kuna wanaolalamika kuwa baadhi ya wanaume wananuka ukiwa nao kama mmoja alisemwa sana humu.

Lakini cha ajabu utaenda na mtu hotel halafu mnakosa hata dakika kadhaa za kuoga kabla?
 
Umenichekesha Moise...! Yapo ya kuyaumizia kichwa kutafuta suluhu lakini sio hili.
Afadhali weye haujaumiza kichwa kupata suluhu. Unamlaza nje? Je akipatwa na madhila mengine kama kipigo toka kwa majambazi au hata kifo? Mambo mengine ni ya kumchukulia mwenza wako tu. Ukiishupaza shingo utaleta madhara zaidi.
 
Hahahaha hii kali ila kwa kweli atakuwa amemchoka sana hata kama anafanya kazi ngumu kiasi gani.

Hii pia inanikumbusha baadhi ya threads za zamani ambapo kuna wanaolalamika kuwa baadhi ya wanaume wananuka ukiwa nao kama mmoja alisemwa sana humu.

Lakini cha ajabu utaenda na mtu hotel halafu mnakosa hata dakika kadhaa za kuoga kabla?
Ni akili za kitoto kumjadili mtu kwamba ananuka badala ya kumsaidia.
 
Back
Top Bottom