Adhabu niliyowahi kupewa na mapadre wa katoliki

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu

Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13

1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12.

2. Kuchapwa viboko 30

3. Kufukuzwa shule

MUNGU NI WETU SOTE
 
Ungesema iyo shule ni ya kiislam,ili watukane vizuri hawa mashetani, ila hapa tegemea kushambuliwa wewe mleta mada
Hate is such a weak emotion. Seminari tumesoma na Waislamu wengi na tofauti yao na wewe wao walituchukulia Wakristo kama ndugu zao. Hizo adhabu kwenye shule za Seminari ni za kawaida sana. Kama ni ushetani basi Wanajeshi kwenye shule zao ni Malucifer kabisa.
 
Uonevu tu!! Kwa nini wakupe adhabu tatu kwa kosa moja, kosa moja adhabu moja, wangekupa adhabu mojawapo kati ya hizo tatu.

Nidhamu ya woga imeanza kutengenezwa tangu zamani na ndio maana mpaka leo tumeshindwa kuitoa CCM madarakani kwa sababu ya nidhamu ya woga
 
Yahn ufanye hayo mambo yote na shule bado ukafukuzwa hao mapadre walizingua....ila shule za seminary originele ukimaliza o level aisee nidhamu yako ni kubwa sana
 
Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu

Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13

1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12
2. Kuchapwa viboko 30
3. Kufukuzwa shule

MUNGU NI WETU SOTE
Darasa la saba? Bwenini?
 
Hate is such a weak emotion. Seminari tumesoma na Waislamu wengi na tofauti yao na wewe wao walituchukulia Wakristo kama ndugu zao. Hizo adhabu kwenye shule za Seminari ni za kawaida sana. Kama ni ushetani basi Wanajeshi kwenye shule zao ni Malucifer kabisa.
Huu ni ukweli kbisa nashangaa huku chuki zinatokaga wapi
 
Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu

Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13

1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12
2. Kuchapwa viboko 30
3. Kufukuzwa shule

MUNGU NI WETU SOTE
Walikosea sana hata kukuruhusu kujiunga na shule yao
 
Hate is such a weak emotion. Seminari tumesoma na Waislamu wengi na tofauti yao na wewe wao walituchukulia Wakristo kama ndugu zao. Hizo adhabu kwenye shule za Seminari ni za kawaida sana. Kama ni ushetani basi Wanajeshi kwenye shule zao ni Malucifer kabisa.
Hakuna seminari ya kikatoliki wanasoma waislamu haipo,usichanganye seminari na mission school.
 
Back
Top Bottom