Ulipewa vyote mkuu?Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu..
Ungesema iyo shule ni ya kiislam,ili watukane vizuri hawa mashetani, ila hapa tegemea kushambuliwa wewe mleta madaKosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda chang...
Hate is such a weak emotion. Seminari tumesoma na Waislamu wengi na tofauti yao na wewe wao walituchukulia Wakristo kama ndugu zao. Hizo adhabu kwenye shule za Seminari ni za kawaida sana. Kama ni ushetani basi Wanajeshi kwenye shule zao ni Malucifer kabisa.Ungesema iyo shule ni ya kiislam,ili watukane vizuri hawa mashetani, ila hapa tegemea kushambuliwa wewe mleta mada
Darasa la saba? Bwenini?Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu
Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13
1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12
2. Kuchapwa viboko 30
3. Kufukuzwa shule
MUNGU NI WETU SOTE
Huu ni ukweli kbisa nashangaa huku chuki zinatokaga wapiHate is such a weak emotion. Seminari tumesoma na Waislamu wengi na tofauti yao na wewe wao walituchukulia Wakristo kama ndugu zao. Hizo adhabu kwenye shule za Seminari ni za kawaida sana. Kama ni ushetani basi Wanajeshi kwenye shule zao ni Malucifer kabisa.
Walikosea sana hata kukuruhusu kujiunga na shule yaoKosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu
Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13
1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12
2. Kuchapwa viboko 30
3. Kufukuzwa shule
MUNGU NI WETU SOTE
😅Safi sana
Hakuna seminari ya kikatoliki wanasoma waislamu haipo,usichanganye seminari na mission school.Hate is such a weak emotion. Seminari tumesoma na Waislamu wengi na tofauti yao na wewe wao walituchukulia Wakristo kama ndugu zao. Hizo adhabu kwenye shule za Seminari ni za kawaida sana. Kama ni ushetani basi Wanajeshi kwenye shule zao ni Malucifer kabisa.
Wapo. Wanaigiza Ukatoliki.Hakuna seminari ya kikatoliki wanasoma waislamu haipo,usichanganye seminari na mission school.
Hawapo,mchakato wa kujiunga unaanzia kanisani unaposali ,iwe kigango au parokia,wazazi wako wajulikane nkWapo. Wanaigiza Ukatoliki.
Nimesoma seminari. Amini nikuambiacho.Hawapo,mchakato wa kujiunga unaanzia kanisani unaposali ,iwe kigango au parokia,wazazi wako wajulikane nk