Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

yaan aniwekee bomba la kuangalia juu kama yale wanayowekaga kweny mashimo makubwa kwa ajir ya kutolea hewa?
 
nimemuelewa mkuu na wewe nimekuelewa zaid asante sana
 
Hivi vitu sio kukurupuka la sivyo hata nguo utakazovaa zitakuwa na harufu ya nnya, funga mlango mwaga maji mengi sio usubiri hadi umalize ukitoka Acha dirisha wazi funga mlango mengine yaendelee
 
harufu mbaya inaashiria ulaji wa hovyo...unakula ugoro?

kunywa maji ya kutosha daily; na believe me...kimba litatoka safi na harufu ya kawaida
Kwani ugoro inaingiliana vipi
 
Bwashee!
Jitahidi kuflash kila fundo linapotua kwenye sink usisubiri zigo lijae hapo na kukaa kwa muda, kuna choo changu cha familia ilikuwa akiingia mtu ukiwa sebleni utaipata fureshiii.

Nikafanya hivyo na nikasisitiza wengine wafanye hivyo, tatizo likapata suluhu.

Ni kero zaidi kusikia harufu ya mwingine, kama wewe harufu yako mwenyewe unaisikia kwa kiwango hicho basi akiingia mtu mwingine anaweza kuzimia.
 
Mkuu unalalaje na mavi chumbani kwako?
 
Mtoa mada anasema anapata harufu ya gogo lake , maana yake ni harufu fresh aliyoiachia siyo harufu toka kwenye hifadhi.

Hapa ni kumshauri kununua manukato ya chooni. Aende supermakert atayakuta mazagazaga yote, kero yote itakwisha cha msingi usafi ni muhimu bila kusahau maji ya kutosha
 
Ajenge nyumba ya watu?

Nafikiri angehamia nyumba yenye choo ulichotaja
 
mkuu au masta ya choo cha shimo hiyo
 
Gogo lako mwenyewe linakunukiaje? Hebu kuwa siliazi bwana!
 
nafikri mi mfumo wa maji na bomba la kutolea hea.Sehem unayokaa inatoka maji? choo chako ni cha kukaa au kuchutama?
nunua persil unatumbukiza ndan ya flash tank inakua ina dislove taratibu
 
Mkuu, kama ukiweza mwambie mwenye nyumba abadikishe mfumo wa maji taka na aweke hiyo pipe Kama ni choo cha kuchuchumaa, lakini kama ni choo cha kukaa aweke cha kufanana na hiyo niliyo ambatanisha pichaView attachment 1591530View attachment 1591531
lakin hata Sink za kisasa hizi za kukaa tayari inakua na P trap kwa ndan hata kama outlet sio ya P.
muhimu sana kama unajenga kutafuta fundi mzuri wa plumbing na septic .ukikosea setting utalia
 
Ajenge nyumba ya watu?

Nafikiri angehamia nyumba yenye choo ulichotaja
Mkuu gharama za kuhama na kuweka hiyo PVC pipe bora aweke,anunue vifaa pipe low quality ni 13,000/= maana kweli nyumba siyo yake,T elbow pvc ya kawaida 3,500/=,clamps za kushikiza bomba kwenye ukuta anunue mbili 4,000/= na cement ya kupima sijui inaanzia bei gani but haifiki 5,000/= na fundi ampe 10K.

Kwenye haya majumba ya kupanga ukitaka uende sawa na mwenye nyumba vitu vidogo vidogo kama hivi unamaliza mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…