Adhabu ya Haji Manara iwe fundisho kwa wote wenye Tabia kama zake

rais wa TFF ana mamlaka gani wakati yuko chini ya Watu kibao kuanzia BMT hadi Wizara!
kipindi upo shule kiranja wako alikua chini mkuu wa shule, mwalimu wa zamu, mwalimu wa darasa na bado ulimtii alipokuamrisha ukadeki choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…