Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
Labda huelewi maana ya neno " choko "Ahhaaa waite machoko tu ila kwa msaada wa watu wa marekani USAID
USA baby...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda huelewi maana ya neno " choko "Ahhaaa waite machoko tu ila kwa msaada wa watu wa marekani USAID
USA baby...
Watu kuuwa mwizi hapa kwetu kwa kutofuata sheria siyo argument. Saudi Arabia ni nchi ya kiislamu ya sharia law. Wanaohukumiwa ni wale wanao onekana. Vipi kuhusu wasio onekana? Wako waarabu wengi katika nchi za kiislamu wanatenda makosa ya kupiga na kuuwa wafanyakazi wageni, kuwatesa na kutowalipa mishahara kulingana na contract. Hatahivyo, serikali za miungu za nchi hizo hazifanyi chochote kuwatendea haki wafanyaki wageni dhidi ya watu wao kwa kutumia hiyo sharia. Kwa ufupi, uislamu na sharia law a haiwezi kutenda haki, Sharia hipo kwa kwa faida ya wachache, kukandamiza wanawake na kuuwa watu.Sawa, lakini je hizo sheria zao zinakuhukumu wewe? Tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa maneno juu ya sheria za wenzetu wakati sisi hapa kwetu sheria zetu hatuzifuati, mwizi akikamatwa anatakiwa apelekwe kituo cha polisi, mbona anauwawa.
Nchi za kiislamu zinavyo ruhusu waajiri kutesa wafanyakazi waafrika, kuwanyanganya passport na kutaka mapenzi nao. Waarabu na uislamu wao wabaya sana, wana laana kweli kweli.
Mateso wanayopata ndugu zetu wakenya kwa hawa Wasaudia. Waarabu siyo watu!!
Hoja, hoja, hoja! Husichukie na ukweli huko wazi ubaoni!Unachanganya uislamu na matendo ya watu ila matendo ya mashoga yakichanganywa ukristo unapinga,acha unafki.
Angali factual data kuhusu nchi takatifu ya Allah.We unazungumzia mateso ya wakenya huko wakati hapa Tz tu maalbino wanapata mateso.
Kwani dini zengine zinasemaje endapo ikitokea mtu kuuwa yani kinafanyika kwa mtu aliyeuwa?Wauwaji wa nchi nyingine huwa wanafanywaje?
Kufanywa hivi na watu wanaojinadi wanamjua Mungu kunaleta maswali mengi juu ya huyo Mungu wao.
Au wewe umeona sawa tu?
Tupende dini zetu lakini turuhusu akili zetu kuhoji.
Kwa maelezo yako unataka kutuambia kipindi cha utume wa Mussa waliokuwa wakimpiga mawe mzinzi hadi kufa, wao hawakuwa na dhambi. Sheria haijalishi dhambi za mtekeleza hukumu, bali naye atahukumiwa kwa makosa yake.Taurati ilikuwa wakati wa Musa na kuendelea, baada ya Yesu haifuatwi
Torati. Ndo maana Yesu alipoletewa mzinzi na kuambiwa Musa aliamuru apigwe mawe aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga huyo mzinzi. Kifupi wote waliondoka, inamaanisha kila mtu ana makosa kwa si sawa kumchinja mwingine.
Unakosa vipi lakusema ilhali ni kuwa "watu waache UZINZI , UUWAJI na UIZI ULIOKITHIRI(wa zaidi ya mara NNE) wakiacha haya na ya kukufuru basi adhabu ya kuchinjwa haitakuwepo, kwani wakosefu hawatapatikana.Sina lakusema zaidi ya kupinga utaratibu huu
Kwani dini zengine zinasemaje mfano kwa mtu aliyeua mwenzie?Mungu akishuka Leo, sijuw watajiteteaje wafalme wa dunia hii
Ila Kama Mungu alitoa sheria kwA mwanadam kumhukum mwenziwe hadi kufa basi ni haki kufuata maandko lakn kama haijaandikwa ni watu kujipendekeza kwA Mungu kana kwamba wao ni watakatifu Hahahaha jehanam ya Lucifer inawahusu
Shukrani sis..The bold katk ubora wako asante
Pamoja sana comrade! Shukrani..Kama ulivyosema mkuu, nimeipenda na kiukweli sijawahi kuacha kupenda makala zako!
Kwahiyo hiyo hukumu za kwenye toraut zilikuwa na makosa?Taurati ilikuwa wakati wa Musa na kuendelea, baada ya Yesu haifuatwi
Torati. Ndo maana Yesu alipoletewa mzinzi na kuambiwa Musa aliamuru apigwe mawe aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga huyo mzinzi. Kifupi wote waliondoka, inamaanisha kila mtu ana makosa kwa si sawa kumchinja mwingine.
Check me on WhatsApp... 0718 096 811Please the bold add me in ur GRP 0713405549
Mahaka ya kadhi si nasikia hata Uganda ipo,ina maana pia nako watu wanachinjwa kama Saudia?Halafu kuna watu walitaka mahakama ya kadhi! Nahisi walikuwa na kisa na mtu.