Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Watu kuuwa mwizi hapa kwetu kwa kutofuata sheria siyo argument. Saudi Arabia ni nchi ya kiislamu ya sharia law. Wanaohukumiwa ni wale wanao onekana. Vipi kuhusu wasio onekana? Wako waarabu wengi katika nchi za kiislamu wanatenda makosa ya kupiga na kuuwa wafanyakazi wageni, kuwatesa na kutowalipa mishahara kulingana na contract. Hatahivyo, serikali za miungu za nchi hizo hazifanyi chochote kuwatendea haki wafanyaki wageni dhidi ya watu wao kwa kutumia hiyo sharia. Kwa ufupi, uislamu na sharia law a haiwezi kutenda haki, Sharia hipo kwa kwa faida ya wachache, kukandamiza wanawake na kuuwa watu.
Kiufupi kila nchi na sheria zake, sisi kushindwa kufuata za kwetu sio sababu wao wasifuate za kwao, vile vile labda hufatilii habari vizuri lakini sharia law haiachi mtu kwani miezi kama saba iliyopita kuna jamaa tena anatokea familia ya kifalme nae sheria hiyo hiyo ilitekelezwa juu yake, na hao waarabu wengine wanaofanya makosa kiufupi ni kuwa hawajaonekana.
Sharia law haibagui.
 
Nchi kama Saudi Arabia inaongozwa direct Na agents wa kuzimu hizo zinazoitwa Sharia laws Ni Sheria kutoka kuzimu Na ibilisi ndio anayezisaini Ni Sheria za kishenzi sioni mantiki yake. Wanawake Ni miongoni mwa wanaopata sana shida juu ya Sheria hizi
na wale wafungwa wa gwantanamo waliokuwa wanachomwa moto wakiwa hai haukuiona hiyo au?kule burma mabudha wanavyowauwa waislamu na kuwala nyama zao(endocannibalism) pia haukuiona hiyo,waisraeli wanavyowauwa watoto wa kipalestina ambao hawana hata nguvu ya kujitetea pia haukuiona hiyo UNAKUJA INGILIA HUKMU BILA KUANGALIA HUYO ANAYEFANYIWA HIVYO ALIFANYA NN??
 
Kiongozi mimi ni muislamu sio tu wakuzaliwa bali ni muislamu ambae nimezaliwa katika uislamu na kujifunza uislamu.Mzee mada hii imekuzidi sana uwezo.Kabla ya kuileta kwanza ulitakiwa utenge muda kujua ni kitu gani unataka ukiwasilishe kwa watu,pia uangalie sana chanzo ambacho unaitoa hii habari.

Kwa uchache ulitkiwa ufahamu yafuatayo,si tu ufahamu juu juu bali ufahamu kielimu.
Ulitakiwa ujue

1.Ni ipi nchi ya kiislamu.

2.Uijue saudia ni nchi ya aina gani

3.Hukmu kwa mujibu wa sheria,yaani kilugha na kiistilahi

4.Ujue ya kuwa kuzungumza jambo ambalo huna elimu ni dhambi

5.Ujue hukumu hazipimwi kwa hisia

Japokuwa sijui imani yako mzee.Ila kuitendea haki misingi ya kielimu nakushauri rudi tena kafanye utafiti au ungekuja kwa mtindo wa kuuliza swali ili ufundishwe lakini si kupotosha umma.

Kaka nina mengi sana ya kusema kuhusu uongo uliomo katika hii makala yako,na hakuna kitu kibaya kama kuwazulia watu uongo.
Katika amri kumi za mungu. Kuna katazo kuwa usiue.hivyo dunia hakuna kosa lolote ambalo anaweza Fanya na adhabu ikawa kifo.hivyo hurusiwi kuua binadamu kwa namna yoyote ile
 
Dah.....Hizi dini nyingine kwa kweli Mungu atusaidie....labda ndo maana wacommunists walipinga hiz mambo za dini.....
 
Wauwaji wa nchi nyingine huwa wanafanywaje?
Kufanywa hivi na watu wanaojinadi wanamjua Mungu kunaleta maswali mengi juu ya huyo Mungu wao.
Au wewe umeona sawa tu?
Tupende dini zetu lakini turuhusu akili zetu kuhoji.
mbona huku kwetu mtu kaiba kuku lakini anachomwa moto tena akiwa hai na kuna yule baba aliyemchinja mke wake kisha akamkata kata na kumfunika kwenye jaba NA HUYO NAYE AACHWE 2 ATEMBEEE tena ni hapa hapa tanzania
 
Mhhhh sijui nilikukoseaga nini the Bold, maana hutaki kabisa kunitag. asante kwa makala ila uwege unasamehe maana sio kunipotezea huku jamani
Mkuu sio kwamba sikutag... Cheki hapo kwenye list utaona jina lako! Tatizo app ya JF bado hawajarekebisha hii kero ya notifications... Huwa hazifiki!! But ukifungua kwa browser naamini utaona...

Sorry mkuu..
 
Huoni baada ya kujihoji hatunyongi kwa Sasa?
ukitaka ujue udhaifu wa sheria ni pale muuaji anapofungwa jela .ivi kweli jitu limekuvamia kwako kamwua mkeo watoto tena kikatili na kisha akakujeruhi vibaya mno afu aachwe tu awe jela anakula bata hata ww utakuwa hauna akili sawa sawa.haya kuna wale majasusi wa mosad mpaka na leo wanawatafuta wale maveterinary walioshiriki kuwauwa waisraeli kipindi hitler yupo madarakani (germany) na wakiwakamata wananyonga kisha wanachoma moto mwili hivi hiyo ni akili au mbona haufuatilii vyanzo ww
 
Kwani dini zengine zinasemaje endapo ikitokea mtu kuuwa yani kinafanyika kwa mtu aliyeuwa?
Hawezi kujibu hilo, maana dini zote hapo zimeweka wazi kuhusu aliyeua.
Haya yote yanasababishwa na watu kupenda hukumu za kidunia zaidi kuliko hukumu alizoweka Mungu. Na ndio maana mwizi anaiba anafungwa akitoka anaendelea kuiba lakini je kama angekatwa mkono angeiba tena.
 
Utashangaa katika hao ndugu yupo alotenda kosa sawa na la anayeenda kuchinjwa ila tu tofauti ni kwamba hakuonekana na mtu!!!!

Wasaudi sijui IQ yao ngapi
kwani ukifanya kosa bila kuonekana na mtu bado ni kosa si paka uonekane yaaani ni mfano mdogo 2 hujui kuwa mkeo anchepuka kwako si kosa kwa kuwa haujui.
 
Hata wakati wa Yesu alikuta Wayahudi wakiwa na desturi kama hizi. Walikuwa wakiwapiga kwa mawe watu wenye dhambi hadharani.
Lakini Yesu aliwaambia, asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe yule mama, wote wakatahayari na kuondoka.
Leo kuna dini moja imeyachukua hayo na kuyaendeleza.
Tatizo ni kufananisha dini na imani tu,ukristo sio dini ni imani tu hivyo huwezi kufananisha na dini. Leo mkristo akisikia Gaidi kauliwa anafurahi anasahau Yesu alichokisema.
 
Hata wakati wa Yesu alikuta Wayahudi wakiwa na desturi kama hizi. Walikuwa wakiwapiga kwa mawe watu wenye dhambi hadharani.
Lakini Yesu aliwaambia, asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe yule mama, wote wakatahayari na kuondoka.
Leo kuna dini moja imeyachukua hayo na kuyaendeleza.
Tatizo ni kufananisha dini na imani,ukristo sio dini ni imani tu hivyo huwezi kufananisha na dini. Leo mkristo akisikia Gaidi kauliwa anafurahi anasahau Yesu alichokisema.
 
Sheria za mwanadam sio za Mungu timiza au usitimize utahukumiwa na Mwanadam mwenzio... Ila za Mungu utahukumiwa na Mungu Mwenyewe...
mbona samsoni aliwauwa WAFILISTI tena hata hawakumfanya chochote aliamua tu mwenyewe naye mungu yule??????
 
Taurati ilikuwa wakati wa Musa na kuendelea, baada ya Yesu haifuatwi
Torati. Ndo maana Yesu alipoletewa mzinzi na kuambiwa Musa aliamuru apigwe mawe aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga huyo mzinzi. Kifupi wote waliondoka, inamaanisha kila mtu ana makosa kwa si sawa kumchinja mwingine.
unajua hata huyo anayehukumu hapo huwa hajawahi fanya kosa kama hilo hapo YESU MWENYEWE ALISEMA HAKUJA KULITANGUA TORATI BALI AMEKUJA KULITIMILIZA ss ww ambaye haufuati torati nani aliyekupa ruhusa ya kutofata????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom