Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Baada ya kuchinjwa anazikwa na serikali au anarudishwa kwa ndugu zake....?
 
Daah bahati mbaya mada kama hii nimechelewa kuisoma.
watu wanaolalamika kwa kuchinjwa mtu hadharani ninawaona kama ni maf*l* kwa sababu hukumu ya muuaji, shoga au mihadarati ni kuuliwa 2 iwe ww ni mtoto wa waziri au waziri au mtoto wa mfalme. Hao wasaudia walionesha mfano mzuri sana kwa kumuua mtoto mmoja wa mfalme wao aliyefanya kosa la kumuua mtu na akakutwa na hatia na kula panga hadharani. So, naona hii sheria ni nzruri hata ikitelezwa hapa tz kutapungua sana uuaji wa maalbino na vibaka mitaani na uharamia wa mali za umma. Mtu anajichulia mabilioni ya shillings na kusema hii ni hela ya chai tu na kudunda mtaani na watu wanakufa mahospitalini eti hakuna madawa. Mada kibao zipo hapa za kulalamikiwa uwizi wa mali na mauaji ya kutisha na waizi na wauaji wanakula mbata mtaani lakini kwa sheria hii ninaamini mtu akiua au kuiba atafikiria mara mia mbili kabla hajafanya hicho kitu.
Juzi juzi tu niliona video moja ya mzee mmoja kuuliwa live na kijana kwenye facebook nchini marekani iliniuma sanaa na kusema ingekua ni nchi kama saudia angekula panga moja saafi sana ili iwe fundisho kwa wengine.
Mimi naunga mkono hiyo hukumu.
 
We acha kujitetea said ni nchi ya kislamu na serikali Yake inaongozwa kwa sharia za kiislamu sasa utatetea non hapo
 
We acha kujitetea said ni nchi ya kislamu na serikali Yake inaongozwa kwa sharia za kiislamu sasa utatetea non hapo
Ndugu kwa kweli cjakufahamu unacho ongea lakini wacha nikusisitize ya kwamba muuaji (akikutwa na hatia) hukumu yake ni kifo hivyo hivyo kwa mashoga, waizi wa kupindukia ( wala mali za umma ) na wauza unga ( wazee wa kuaribu vijana ). Sooo si kila hukumu ni mbaya kisa inatekelezwa na nchi za kiislamu.
 
Hawa wa Arabu na waislam wana laana ya asili ndiomaana ni wakatili hivi
Duh laana ya asili? Yani Mungu anaumba viumbe ambavyo ameshavilaani kabisa kisa tu waarabu?

Aisee hizi chuki zenu mtakuja hadi kumkufuru Mungu wenu bila kujua.
 
Kweni hujawahi jua kua Saudi Arabia na Israel kwa wakristo kwao wao ni sehemu ya kukusanya mapato kipindi cha kuhiji?na ai utakatifu kama tuaminivyo huku kwetu tulioletew dini.maeneo yote aliko pita mtume MUHAMMAD au YESU kote huko kuna mauaji ya kutisha na wala hawawakubali hao mitume hata kidogo.MUNGU wa kweli yuko ndani yako na ibada zako na matendo yako yenye kuwapa binadamu wengine amani badala ya machungu
 
Hao walomuua sadam hawakumuua kama kutimiza mapenzi ya Mungu bali yao, huwezi kuwalinganisha na hili. Anyway lengo ni kupinga hizi adhab ambazo hazina chembe ya utu,au wewe umeona ni sawa hivo wanavyofanya.
Mpnz ya mungu yapi?
 
Au na Wew unasubir zile 72...basi kama uko huko Toka haraka kabla Michael Mkuu hajawika...



wewe unataka ukageuzwe ndafu kwa kupakwa machumvi na kuokwa kwenye moto ??

Everyone will be salted in fire Mark 9 :49
 
ni kweli wazungu na waafrika wana upendo wa asili chini ya yesu katika ukristo na ndio yakawezekana haya





A Church of England priest has announced plans to marry his Nigerian gay
Source... Maana wengine Sisi ni wakina tomaso... Otherwise tangazo lako ni La counter attack
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…