Nawasikitikia sana kwa sababu mnatumia nguvu kuonesha chuki(japo mnahubiri upendo) kwa waislamu wakati huo Shetani anaharibu ukristo.Kitabu hicho hicho kinatumiwa na Mganga halafu hicho hicho kinatumiwa msikitini. Yesu alituambia Ufalme unaopingana ni washetani. Quran inatumika kulogea hiyo hiyo inatumika kuagua. karibu Tanga uone maajabu ya Allah
We wa ajabu sana. Unataka US wazuie uislam duniani??? Hivyo ndivyo dini inavyotaka, sasa wazuie dini wao kama nani? Kwani wao wajinga na hawaheshimu imani za wengine???USA na wazungu pori ni machoko Sana, haki za wameona zinavunjwa Africa tu!?
Huko saudia na dini uchwara hizi hawaoni!?
USA na wenzake ni machoko.
Nimejisikia vibaya sana kwa sababu ya unafiki wa nchi za magharibhi.
Taarifa nzuri ila ya huzuni Sana.
Tatizo uelewa wako ni mdogo. Sijasema Marekani hana makosa, ila wenye makosa zaidi ni waarabu wenyewe kushindwa tatua tofauti zao kwa amani, wanaishia nunua silaha kwa Warusi au Marekani na kuishia kuuana wakati wanadai uislamu ni dini ya amani!Ndiyo unafki wa wakristo huu,yani ingekuwa wakristo wanafundishana upendo a upole basi mngeona kuwa Marekani ni sehemu ya tatizo katika kuvuluga amani. Ila bila aibu unasema kabisa kuwa ni ujinga wao waislamu hivyo Marekani hana cha kulaumiwa.
Mnatamka upendo muda wote ila kiuhalisia hamna upendo bali ni chuki tu zimejaa nafsini mwenu,na mada hizi zinawaambuwa yaliyomo mioyoni mwenu.
Watumwa wa uarabuni hawakuacha kizazi, wote walivunjwa uzazi wasizaane au kutembea na wanawake wakiarabu.Waarabu Ni katili sana
Hata watumwa waliotoka
Africa wafanyiwaa ukatili.
Mkuu ingekuwa kuuuwana ndiyo mafundisho ya uislamu kama unavyotaka tuelewe hivyo basi ingekuwa waislamu wa kila pembe ya dunia wangekuwa wanauana na kuuwa wasiokuwa waislamu,lakini kwanini kuuwana huko kuwe kwa waarabu tu?Tatizo uelewa wako ni mdogo. Sijasema Marekani hana makosa, ila wenye makosa zaidi ni waarabu wenyewe kushindwa tatua tofauti zao kwa amani, wanaishia nunua silaha kwa Warusi au Marekani na kuishia kuuana wakati wanadai uislamu ni dini ya amani!
Kwanza tambua kwamba Marekani au Uingereza au Urusi ni mataifa ambayo hayaongozwi kikristo au kidini kama mataifa ya kiarabu. Ukristo ni choice ya mtu. Katika mataifa kama US au Urusi ni kosa kuchanganya ukristo na siasa maana hizo nchi haziendeshwi kidini. Nchi za kiarabu na kiislamu nyingi zimechanganya siasa na dini ndipo makosa na matatizo yanapowakuta.
Kama wakristo tungekuwa hatuna upendo basi nchi zote wenye wakristo wengi zingekuwa na vita. Lakini kinyume chake inaonekana dhahiri kwamba uislamu siyo dini ya amani zaidi ya mauaji na vita.
Ni vigumu kumfundisha muislamu upendo sababu Quran yenyewe tayari imewajenga itikadi ikiwafundisha kuchukia na hata kuuwa wasiyo waislamu, makafiri, wayahudi na wakristo. Biblia inafundisha kumpenda jirani yako. Je, unafikiri ISIS, Bokoharam na Al-Qaida ni jirani wa kumpenda kwa mkristo?
Kuna haja ya kueleza jinsi wazungu wanavyo watreat hao watu weusi huko marekani?Watumwa wa uarabuni hawakuacha kizazi, wote walivunjwa uzazi wasizaane au kutembea na wanawake wakiarabu.
Vizazi vya watumwa wa marekani mpaka leo wapo. Hapo ndipo utaona jinsi waarabu na dini yao walivyo washenzi na makatili.
Kwa hiyo unataka kuleta hoja kwamba utumwa ni biashara nzuri mikononi mwa America bali biashara ya utumwa ni mbaya mikononi mwa Mwarabu?Watumwa wa uarabuni hawakuacha kizazi, wote walivunjwa uzazi wasizaane au kutembea na wanawake wakiarabu.
Vizazi vya watumwa wa marekani mpaka leo wapo. Hapo ndipo utaona jinsi waarabu na dini yao walivyo washenzi na makatili.
Yes ndo maana kule kizazi cha watumwa kipo hadi leo uarabuni walikuwa wakikitokomeza kizazi cha watumwaKwa hiyo unataka kuleta hoja kwamba utumwa ni biashara nzuri mikononi mwa America bali biashara ya utumwa ni mbaya mikononi mwa Mwarabu?