PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo adhabu kwa sasa haipo ila wapo wanaopotea kwa kukamata pale wanapokwenda kinyume na matakwa ..ila sasa kwa hii ya kukatwa kinchwa kama kuku. Too much..
Wakristo tuna amini hii
Amri iliyo kuu kuliko zote ni amri ya mapendo. Na katika amri za Mungu alizo pewa Moses kule mlimani sinai kunaamri moja inasema. (USIUE)
JE KATIKA UISLAM KUUA NI KAWAIDA KUFUATANA NA SHARIA ZA VITABU VYAO VITUKUFU..
NAHISI KUTAKUWA NA MUNGU WAWILI WA KIISLAMU NA WAKIKRISTO..
IJAPOKUWA KATIKA KITABU CHA KUMBU KUMBU LA TORATI LILIKUWA NA SHERIA ZAIDI YA MIA SITA NA SHERIA MOJA WAPO ILIKUA
'MWANYEKOSA LA UZINZI ALIRUHUSIWA KUPIGWA MAWE HADI. KUFA.. "
ILI BAADA YA UJIO WA KRISTO HIZO SHERIA ZIMEBAKI KUWA MAANDIKO YESU ALITUACHIA AMRI YA MAPENDO.......
dogo tulia hapa si madrasa[/QUOTE]WANAOVURUGA MADA NI NYINYI SI GAVANA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe unakimbilia id OK nenda kasali ndio mda huu[/QUOTE]Jibadilishe id uanze matusi
Kuna wanawake wenzetu na mioyo migumu hatariiii,mimi siwezi kwakweli.Sijui mke wa huyo muuaji anaishije muda wote unawaza asije kukuua na jambia lenyewe analo kwake hatari sana
Bila shaka mkuu! Tayari nimekuongeza kwa taglist..The Bold kumbuka kuni tag na mimi haya madini yako. Nimekuwa mfuatiliaji sana wa makala zako.........
Mkuu next time usiquote Uzi wote... Weka comment tu kawaida kama wengine...Kiongoz nashukuru sana, kwa habari ya kusikitisha!
Ukisoma kwa umakini utaona sababu za Mmarecan kuwapiga hawa jamaa.
Hiyo namba uliyoweka hapo ni kwaajili ya more information.au mawasiliano tu ya kawaida?
Hiyo namba ni kwa ajili ya ambao wangependa kujiunga na group la WhatsApp (kuna fee ya sh. Elfu tano)Kiongoz nashukuru sana, kwa habari ya kusikitisha!
Ukisoma kwa umakini utaona sababu za Mmarecan kuwapiga hawa jamaa.
Hiyo namba uliyoweka hapo ni kwaajili ya more information.au mawasiliano tu ya kawaida?
Kabisa... Jf wajitahidi kushughulikia hii keroThanks mkuu..
Though notification zinadelay sana
Pamoja sana mkuu! Shukrani..Asante mkuu kwa nondo hii,
MIMI namuheshimu mkuu the Bold hvyo usinilazmishe nitoke nje ya mada kwa kuanza kukupa nondo[/QUOTE]
Alafu amezaa naye watoto saba [emoji23] [emoji23]Sijui mke wa huyo muuaji anaishije muda wote unawaza asije kukuua na jambia lenyewe analo kwake hatari sana
Tayari nimekucheki WhatsApp kupitia 0718 096 811Daaa hiiii NI hatari add hii 0757390642 whatapp
Thanks mkuuPamoja mkuu! Tayari nimekuongeza kwa taglist
Kabla ya ujio wa Yesu hali ilikuwaje nako pia Mungu alikuwa na sheria za ukatili?Shida huwezi kutenganisha Sharia y'a kiislam na ukatili huo. Maana wanachinja kwa jina la Allah!!