Okhondima
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 1,249
- 1,102
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi nimerefer statement ya mchinjaji. Soma between lines. Amekiri anafanya kazi ya Mungu.Kabla ya ujio wa Yesu hali ilikuwaje nako pia Mungu alikuwa na sheria za ukatili?
Pangua mada mkuu ili Wana JF wasomi nasi tuchagize kwa ufahamu wetuKiongozi mimi ni muislamu sio tu wakuzaliwa bali ni muislamu ambae nimezaliwa katika uislamu na kujifunza uislamu.Mzee mada hii imekuzidi sana uwezo.Kabla ya kuileta kwanza ulitakiwa utenge muda kujua ni kitu gani unataka ukiwasilishe kwa watu,pia uangalie sana chanzo ambacho unaitoa hii habari.
Kwa uchache ulitkiwa ufahamu yafuatayo,si tu ufahamu juu juu bali ufahamu kielimu.
Ulitakiwa ujue
1.Ni ipi nchi ya kiislamu.
2.Uijue saudia ni nchi ya aina gani
3.Hukmu kwa mujibu wa sheria,yaani kilugha na kiistilahi
4.Ujue ya kuwa kuzungumza jambo ambalo huna elimu ni dhambi
5.Ujue hukumu hazipimwi kwa hisia
Japokuwa sijui imani yako mzee.Ila kuitendea haki misingi ya kielimu nakushauri rudi tena kafanye utafiti au ungekuja kwa mtindo wa kuuliza swali ili ufundishwe lakini si kupotosha umma.
Kaka nina mengi sana ya kusema kuhusu uongo uliomo katika hii makala yako,na hakuna kitu kibaya kama kuwazulia watu uongo.
Pamoja sana mkuu! Shukrani..ndio maana nakukubali mkuu hujawahi kutuangusha hiyo nchi kwenye list ya raia wasioikuwa na furaha nadhani waanaongoza kama si hivyo ule utafiti ni wakupuuza
asante kwa tag
Nami nimeuliza tu au nimekoseà?Mkuu Mimi nimerefer statement ya mchinjaji. Soma between lines. Amekiri anafanya kazi ya Mungu.
Nitakujibu kwa kirefu zaidi katika muendelezo wa sehemu zitakazofuata...Mkuu The bold mimi nitakuwa na maswali kadhaa...
Hivi hizi sheria zinawahusu hata watalii ama raia wa kigeni ambao wanaenda kutembea Saudia na ikatokea wakafanya kosa ambalo litahusisha hukumu hii moja kwa moja?
Ilishatokea kiongozi wa serikali akachinjwa hadharani pia?
Anzisha mada tu mkuu, ukianzisha ni tag....... JF ni jukwaa huru. Si kwamba wapo akina The Bold kuandika. Hata wewe wawezaHuwi jui dini na sheria zake anayeua na yeye lazma awawe ndivyo ilivyo nchi zingine wananyonga sema ni staili tu za kutekeleza athabu hiyo hatahao wanaochinjwa pia wamefanya mauaji ya kutisha sio wanafanyiwa ivyo kwa bahati mbaya.naona mada za kuchafua dini zinaletwa kwa fujo mbona hawaleti za mataifa mengine wanavyonyonga watu mbona hawaleti mada za waisraeli walivyokuwa wanawaua wa palestina kikatili hao waisrail sindoalipotokea yesu au nimekosea? Leteni mada za mauaji ya wapelestina tuoanishe
Ukipitia komenti humu naona watu wanajisahau wanapochukulia waarabu ndiyo uislamu wenyewe...uislamu ni amani na kutenda haki hivyo ata akiwa ni muislamu wakati huo akawa mwarabu pasina kutenda haki na kufata yaliyoamrishwa na dini ya uislamu atahukumiwa yeye kama yeye si uislamu ndiyo uhukumiwe kwa sababu yake japo kwa kiasi kikubwa wasio na uelewa wamekuwa wakiuhukumu uislamu kupitia kwa watu hao maana hauna upungufu (dini iliyokamilika) hivyo wanahukumu kupitia madhaifu ya binadamu ambacho si sawa.
Uislamu ulikuwepo kabla yake (mfalme huyo) na utaendelea kuwepo hivyo waarabu pia ni binadamu hivyo ni chaguo lake kuwa mwema au asiwe mwema ila muislamu anayefata maamrisho mema na kukataza mabaya kamwe huwa mwema na hutenda haki wakati wote.
Sasa chukulia matukio yaliyowahi kutokea hapa nchini kwetu au kwingine halafu ufikiri halafu uendelee kudai uislamu ni ugaidi.
Mf.
1.tukio la mtu kuuawa na mwili wake kuhifadhiwa katika ndoo kubwa ya maji (jaba)
2.mauaji ya albino
3.mtu kuuawa kisha kufungwa katika baiskeli na kudumbukizwa katika maji(kanda ya ziwa)
4....
Je hao pia uislamu uliwatuma kutenda hayo???
We wa ajabu sana. Unataka US wazuie uislam duniani??? Hivyo ndivyo dini inavyotaka, sasa wazuie dini wao kama nani? Kwani wao wajinga na hawaheshimu imani za wengine???
Hivi dini zetu ni zipi maana nasikia tu dini za kigeni dini za kigeni?Mjomba, usilazimishe matukio yakiharifu hayo ya hapo Tanzania , yaonekane kuwa ni sawa na ambayo watu wanaualiwa kwa msingi wa dini/imani kule Saudia na nchi zingine za warabu hasa zenye mlengo mkali wa dini ya kiislamu.
Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisaa, kwa sababu, waharifu wanaweza kuwa wenye dini, au wasio na imani yoyote ya dini.
Au tatizo lako ni kwa vile dini na quaran na shari'a vimetajwa ndiyo ukaamua kuja kwa hiyo style!?
Hizi dini hizi, zinakopeleka watu siko , hasa hizi za kigeni : Uislamu, Ukristo, Budha, Hinduh na zingine zote.
Tuweni tu makini.
Mkuu dini za wazawa ni zipi maana nasikia tu hili neno la dini za kigeni?Aiseee, samahani, usije ukajitoa mhanga humu JF.
Laiti, ungehitaji kujifunza , ungeniuliza ni kwa nini nimeandika kwa mtazamo huo; ningekuelewesha.
Pole sana naona una tatizo siyo bure tena kubwa sana!
Dini zenyeewe hizi za kuletwa, za kigeni !?
Sina umoja na hata mojawapo ya dini iliyoletwa Afrika, iwe na mfanyabiashara au mkoloni, wala sina shirika na mganga/mchawi.
Tena sio ajabu huwa analala na jambia lake pembeni! [emoji86]Alafu amezaa naye watoto saba [emoji23] [emoji23]
Huyu mkewe yani sijui anapataje usingizi usiku wakiwa wamelala wote kitanda kimoja!!
Binafsi siami katika hizo vitu ziwe za wazawa, na zenyewe kama zipo na hizo za wageni.Mkuu dini za wazawa ni zipi maana nasikia tu hili neno la dini za kigeni?
Wewe huwa unajielewa sana...ndio maana nakupenda.Kuna wanawake wenzetu na mioyo migumu hatariiii,mimi siwezi kwakweli.
Wewe huwa unajielewa sana...ndio maana nakupenda.
Kuna wale waislam mihemko...wao ni kusifia hata Upumbavu, Uonevu na Ujinga.
Wanajifanya wapo radical kuliko waarabu wa Saudi Arabia na hawahusishi akili zao.