UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwa hapa Tz mtu kuwa na ndugu wa imani tofauti na yeye sidhani kama ni jambo la kushangaza hadi kuja kulizungumzia hapa,ila tatizo ni chuki zilizo mioyoni mwenu na kwa sababu humu Jf hatujuani basi ndiyo imekuwa pahala pa kuonesha hizo chuki.UHURU JR nilishakuelezeni hapa kuwa nina ndugu waislam na ninawaheshimu sana, my best friend tuliograduate pamoja ni Muislam by the name "Hussein"
Familia zetu ni marafiki, ninachopinga siku zote ni kwamba hapa kuna "Waislam jina"...wenye CHUKI na KISASI kwa wakristo.
Si hao tu ila pia wapo wakristo wasioifuata misingi na miongozo ya kidini nao ni WANAFIKI, kwani kutwa wanajikweza na kuona vibanzi kwa wenzao bila kuona Borini machoni mwao.
Ulishaona nikibishana na Mahmood au hata Mzee Mohammed Said ?
Tafakari.
Kwani hao wakina Mohamed said hawaoni wakristo jina humu? mbona yeye hajikukashifu ukristo kisa et kuna wakristo jina?
We ungekuwa mstaarabu na mwenye kupenda upendo hata usingekuja kutukana humu au unataka kusema unachokifanya humu ndiyo mafundisho ya Yesu yasemavyo?