Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Mkuu The bold mimi nitakuwa na maswali kadhaa...
Hivi hizi sheria zinawahusu hata watalii ama raia wa kigeni ambao wanaenda kutembea Saudia na ikatokea wakafanya kosa ambalo litahusisha hukumu hii moja kwa moja?

Ilishatokea kiongozi wa serikali akachinjwa hadharani pia?
 
Kabla ya ujio wa Yesu hali ilikuwaje nako pia Mungu alikuwa na sheria za ukatili?
Mkuu Mimi nimerefer statement ya mchinjaji. Soma between lines. Amekiri anafanya kazi ya Mungu.
 
Kiongozi mimi ni muislamu sio tu wakuzaliwa bali ni muislamu ambae nimezaliwa katika uislamu na kujifunza uislamu.Mzee mada hii imekuzidi sana uwezo.Kabla ya kuileta kwanza ulitakiwa utenge muda kujua ni kitu gani unataka ukiwasilishe kwa watu,pia uangalie sana chanzo ambacho unaitoa hii habari.

Kwa uchache ulitkiwa ufahamu yafuatayo,si tu ufahamu juu juu bali ufahamu kielimu.
Ulitakiwa ujue

1.Ni ipi nchi ya kiislamu.

2.Uijue saudia ni nchi ya aina gani

3.Hukmu kwa mujibu wa sheria,yaani kilugha na kiistilahi

4.Ujue ya kuwa kuzungumza jambo ambalo huna elimu ni dhambi

5.Ujue hukumu hazipimwi kwa hisia

Japokuwa sijui imani yako mzee.Ila kuitendea haki misingi ya kielimu nakushauri rudi tena kafanye utafiti au ungekuja kwa mtindo wa kuuliza swali ili ufundishwe lakini si kupotosha umma.

Kaka nina mengi sana ya kusema kuhusu uongo uliomo katika hii makala yako,na hakuna kitu kibaya kama kuwazulia watu uongo.
Pangua mada mkuu ili Wana JF wasomi nasi tuchagize kwa ufahamu wetu
 
ndio maana nakukubali mkuu hujawahi kutuangusha hiyo nchi kwenye list ya raia wasioikuwa na furaha nadhani waanaongoza kama si hivyo ule utafiti ni wakupuuza
asante kwa tag
Pamoja sana mkuu! Shukrani..
 
Mkuu The bold mimi nitakuwa na maswali kadhaa...
Hivi hizi sheria zinawahusu hata watalii ama raia wa kigeni ambao wanaenda kutembea Saudia na ikatokea wakafanya kosa ambalo litahusisha hukumu hii moja kwa moja?

Ilishatokea kiongozi wa serikali akachinjwa hadharani pia?
Nitakujibu kwa kirefu zaidi katika muendelezo wa sehemu zitakazofuata...

- Kuhusu raia wa kigeni

Takwimu zinaonyesha kuwa karibia 50% ya watu wanaohukumiwa adhabu hii ni raia wa kigeni ambao wameenda Saudi Arabia kufanya kazi au utalii nansababu nyinginezo..

Mfano kama tuko wote kule WhatsApp kuna video ile nimeweka kuna mama mmoja alizua mushkeli kweli kweli wakati wa kuchinjwa mpaka ikabidi ashikiliwe.

Yule mama ni raia wa Sri Lanka na alituhumiwa kumuua mtoto wa bosi wake (huyu mama aliajiriwa kama yaya).

Japokuwa yeye mwenyewe alikuwa ameshikilia msimamo mpaka sekunde yake ya mwisho ya uhai kuwa mtoto huyo 'ali-choke' mwenyewe kwa bahati mbaya alipokuwa ananyonya maziwa kwenye chupa ile ya watoto ya kunyonyea kipindi yeye anaendelea na shughuli nyingine jikoni..

- Kuhusu Viongozi kuhukumiwa

Ndio, imewahi kutokea kwa kiongozi wa ngazi za juu kuhukumiwa adhabu hii.. Kuna Prince ambaye alituhumiwa kumuua mjomba wake... Alihukumiwa hii adhabu na alichinjwa hadharani...

Nitaeleza visa hivi zaidi nitakapoweka muendelezo..
 
Etii mtoto wake anataman hii kaz dah na kwa siku anaweza kuua hata watu 10 mmh na anavyoelezea kama anachinja kuku tuu
 
Huwi jui dini na sheria zake anayeua na yeye lazma awawe ndivyo ilivyo nchi zingine wananyonga sema ni staili tu za kutekeleza athabu hiyo hatahao wanaochinjwa pia wamefanya mauaji ya kutisha sio wanafanyiwa ivyo kwa bahati mbaya.naona mada za kuchafua dini zinaletwa kwa fujo mbona hawaleti za mataifa mengine wanavyonyonga watu mbona hawaleti mada za waisraeli walivyokuwa wanawaua wa palestina kikatili hao waisrail sindoalipotokea yesu au nimekosea? Leteni mada za mauaji ya wapelestina tuoanishe
Anzisha mada tu mkuu, ukianzisha ni tag....... JF ni jukwaa huru. Si kwamba wapo akina The Bold kuandika. Hata wewe waweza

In short, waisrael kuua wapalestina ni kwa sababu wanaamini katika 'jino kwa jino' na waislam kuua ni kwa mujibu wa Koran kama alivyo sema baba Badru (mnyongaji/mchinjaji) kwenye video ya Mberoya hapo juu

Israel wanapigania ardhi yao na wako kama 20 million tu wakati waarabu wako zaidi ya billion na wanampinga muisrael
 
Ukipitia komenti humu naona watu wanajisahau wanapochukulia waarabu ndiyo uislamu wenyewe...uislamu ni amani na kutenda haki hivyo ata akiwa ni muislamu wakati huo akawa mwarabu pasina kutenda haki na kufata yaliyoamrishwa na dini ya uislamu atahukumiwa yeye kama yeye si uislamu ndiyo uhukumiwe kwa sababu yake japo kwa kiasi kikubwa wasio na uelewa wamekuwa wakiuhukumu uislamu kupitia kwa watu hao maana hauna upungufu (dini iliyokamilika) hivyo wanahukumu kupitia madhaifu ya binadamu ambacho si sawa.

Uislamu ulikuwepo kabla yake (mfalme huyo) na utaendelea kuwepo hivyo waarabu pia ni binadamu hivyo ni chaguo lake kuwa mwema au asiwe mwema ila muislamu anayefata maamrisho mema na kukataza mabaya kamwe huwa mwema na hutenda haki wakati wote.

Sasa chukulia matukio yaliyowahi kutokea hapa nchini kwetu au kwingine halafu ufikiri halafu uendelee kudai uislamu ni ugaidi.

Mf.
1.tukio la mtu kuuawa na mwili wake kuhifadhiwa katika ndoo kubwa ya maji (jaba)

2.mauaji ya albino
3.mtu kuuawa kisha kufungwa katika baiskeli na kudumbukizwa katika maji(kanda ya ziwa)

4....

Je hao pia uislamu uliwatuma kutenda hayo???

Mjomba, usilazimishe matukio yakiharifu hayo ya hapo Tanzania , yaonekane kuwa ni sawa na ambayo watu wanaualiwa kwa msingi wa dini/imani kule Saudia na nchi zingine za warabu hasa zenye mlengo mkali wa dini ya kiislamu.

Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisaa, kwa sababu, waharifu wanaweza kuwa wenye dini, au wasio na imani yoyote ya dini.

Au tatizo lako ni kwa vile dini na quaran na shari'a vimetajwa ndiyo ukaamua kuja kwa hiyo style!?

Hizi dini hizi, zinakopeleka watu siko , hasa hizi za kigeni : Uislamu, Ukristo, Budha, Hinduh na zingine zote.

Tuweni tu makini.
 
We wa ajabu sana. Unataka US wazuie uislam duniani??? Hivyo ndivyo dini inavyotaka, sasa wazuie dini wao kama nani? Kwani wao wajinga na hawaheshimu imani za wengine???

Aiseee, samahani, usije ukajitoa mhanga humu JF.

Laiti, ungehitaji kujifunza , ungeniuliza ni kwa nini nimeandika kwa mtazamo huo; ningekuelewesha.

Pole sana naona una tatizo siyo bure tena kubwa sana!
Dini zenyeewe hizi za kuletwa, za kigeni !?

Sina umoja na hata mojawapo ya dini iliyoletwa Afrika, iwe na mfanyabiashara au mkoloni, wala sina shirika na mganga/mchawi.
 
Mjomba, usilazimishe matukio yakiharifu hayo ya hapo Tanzania , yaonekane kuwa ni sawa na ambayo watu wanaualiwa kwa msingi wa dini/imani kule Saudia na nchi zingine za warabu hasa zenye mlengo mkali wa dini ya kiislamu.

Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisaa, kwa sababu, waharifu wanaweza kuwa wenye dini, au wasio na imani yoyote ya dini.

Au tatizo lako ni kwa vile dini na quaran na shari'a vimetajwa ndiyo ukaamua kuja kwa hiyo style!?

Hizi dini hizi, zinakopeleka watu siko , hasa hizi za kigeni : Uislamu, Ukristo, Budha, Hinduh na zingine zote.

Tuweni tu makini.
Hivi dini zetu ni zipi maana nasikia tu dini za kigeni dini za kigeni?
 
Aiseee, samahani, usije ukajitoa mhanga humu JF.

Laiti, ungehitaji kujifunza , ungeniuliza ni kwa nini nimeandika kwa mtazamo huo; ningekuelewesha.

Pole sana naona una tatizo siyo bure tena kubwa sana!
Dini zenyeewe hizi za kuletwa, za kigeni !?

Sina umoja na hata mojawapo ya dini iliyoletwa Afrika, iwe na mfanyabiashara au mkoloni, wala sina shirika na mganga/mchawi.
Mkuu dini za wazawa ni zipi maana nasikia tu hili neno la dini za kigeni?
 
Alafu amezaa naye watoto saba [emoji23] [emoji23]

Huyu mkewe yani sijui anapataje usingizi usiku wakiwa wamelala wote kitanda kimoja!!
Tena sio ajabu huwa analala na jambia lake pembeni! [emoji86]
Refer aliposema analilinda sana...probably lazima halali nalo mbali.
 
Mkuu dini za wazawa ni zipi maana nasikia tu hili neno la dini za kigeni?
Binafsi siami katika hizo vitu ziwe za wazawa, na zenyewe kama zipo na hizo za wageni.

Kwa hiyo, sijui chochote kihusucho dini ya wazawa au wageni!
 
Kuna wanawake wenzetu na mioyo migumu hatariiii,mimi siwezi kwakweli.
Wewe huwa unajielewa sana...ndio maana nakupenda.

Kuna wale waislam mihemko...wao ni kusifia hata Upumbavu, Uonevu na Ujinga.

Wanajifanya wapo radical kuliko waarabu wa Saudi Arabia na hawahusishi akili zao.
 
Haa haaa haaa, ndiyo mwimgine humu akanitukana eti mimi "kafir" nikashangaa sana nikamuuliza, ulishawahi kukutana na mtume!? Hana jibu, unajua alipo, hana jibu, alikuwa mwaminifu hana jibu!
Nikachoka sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom