mkandu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 336
- 463
THE BOLDMkuu,
JF tunajipambanua kama "home of great thinkers" na ningependa kuamini kwamba hata wewe ni great thinker..
Sasa basi as a great thinker hautakiwi kuogopa kujadili, na sio kujadili tu vile vinavyokufurahisha bali pia kujadili hata vile ambavyo unahisi vinakuchefua roho...
Sasa basi,
Kwa kuwa umesema nimegusa nyanja ambayo "una ufahamu nayo", hivyo nilitegemea ungetueleza nimekosea wapi? Ukweli ni upi? Uongo ni upi? Maoni yako ni yepi? na kadhalika na kadhalika... Hivyo ndivyo great thinkers wanavyofanya mijadala na sio kuanza kukebehi na kutoa maneno yasiyofaa..
Hilo la kwanza.
La pili, kuhusu kwenda kufanya tafiti zaidi kuhusu makala zangu nilizowahi kuziandika humu na kujiridhisha, niseme kwamba nakupongeza kama utafanya hivyo kwa kuwa hilo ni jambo jema kwa mtazamo wangu... So, go on and do that!! Naamini utaongeza mawili matatu... I see it as a positive thing.!!
Ubarikiwe sana.
Mkuu,
KWA UCHACHE NIKUWEKE SAWA NA HUU NDIO UKWELI.
KWANZA.
Sio kila mpingaji kachukia au hajafurahishwa laah! Hiyo dhana sio sahihi na usidhani kila anaekosoa lengo ni kupendelea au kukosoa andiko lako laa.
PILI.
Katika tafiti yako imeonesha jinsi gani hii makala umeisoma au umepataa dondoo kupitia kwa waIRAN ambao kiasili ni Mashia ambao kwetu sisi waislam tunawajua wao ni kina nani ktk muj'tamaa wetu na chuki zao kwetu.
Na hili linathibitika pale inaposemwa kuwa 50% ya wanaochinjwa ni wageni hiyo takwimu ilisemwa na hao maSHIA
sins haja kuingia saaana huko coz ungekuwa muislam naamini ungefahamu kiundani hawa jamaa.
TATU.
Umedhihirika utafiti dhariri na hii inatokana na ima ulikochukua hii habari au ulienda kumuhoji hukumu za kisharia muislam asiyezijua.
Nikukufahamishe tu hata muislam mchanga anajua kuwa ktk uislam umri wa hukumu zinamhusu akiwa na umri gani na unapoandika kuwa kijana alihukumiwa akiwa na miaka 17 unataka kutuaminisha eti alikuwa mtoto eti kwa kuwa hakutimiza miaka 18 je.? Hizo sheria unahisi ktk Uislam zinatambulika hvyo. Jibu ni hapana haiko hivyo na hata hiyo sayansa haijatoa sababu za msingi za kuwa miaka 18 ni muda sahihi wa kufanya maamuzi kwa mtu sahihi muda hautoshi ningekutolea mifano.
NNE.
Fikra ya kuchinja kuchuliwa km ni unyama na hao wanapropaganda waijiita haki za binadam kuikataa.
Ni dhahiri kuwa NEW WORLD ORDER inapitia ktk hizi nyanja km unafaham jamii zile zinazopatikana ktk mapori ya America kusini na baadhi ya jamii za kiafrika ambazo hawaishi ktk uhalisia wa maisha haya ya kawaida tunayoishi na moja ya hukumu zao ni kuua kutundikwa ktk MTU km mshkaki je ..? Ushawahi kusikia hao haki za binadam wanaenda kuwawekea vikwazo watu wa namna ile na kwao kubakana ni jambo la kawaida ningependa ufanyie tafiti kidogo hawa watu.
Ila hii inatokana na ulimwengu kupromote jambo kupitia media hata likiw mzuri lionekane baya eg. Tunaona ushoga taratibu dunia inaradhimishwa ikubariane nayo na tunaona nchi hadi nchi hususan sisi team misaada ndo wepesi kupokea hz tabia Leo hii utembeaje uchi ishakuwa haki za binadam na hakuna wa kukemea.
TANO.
Hukumu zinazotolewa kuhusishwa na eti kutisha wananchi ili wasiishmbulie dola.
Hili nalo tafiti yako ulikosea kwa kumuuliza muislam asiyejua uislam.
Nikuje sharia zinatokana Qur'an na Sunna na ktk hukumu zinatokana na huo utaratibu wa kutoa hukumu mbele ya halaiki haujabuniwa na wao Bali ni hukmullah ss unapoanza kusema ili isishambuliwe dola nitakushangaa hivi huku kwetu tunawapeka wezi maghaini...n.k jela kwa lengo.? Tunatifautiana tu mifumo ya uwajibishaji HUKUMULLAH huangazia sana uharisia na kukemea kiukali na huku kwetu hukumu kipropaganda unakataza kuchinja mnakubali kunyonga, risasi na sumu haaa haaa hii ni zero to 0.
Sisi tulipaswa kuelekeza watoto wetu yule unaemuona kiganja cha mkono hana kwa kuwa aliiba ndio akahukumiwa kwa kukatwa na sio sasa ktk dola hz tunawaambia yule anaepita alifungwa miaka kadhaa na anamuona akiwa mkamilifu haathiriki chochote kiukweli tukiacha ushabiki.
SITA.
PROPAGANDA YA WAAMERIKA NA WAFUASI WAKE NDIO CHANZO CHA HAYA YOTE.
Nitaanza na kuzigagamiza nchi mbalimbali ili kufuata DEMOKRASIA.
Huu ndio mpango waliouasisi na binafsi ninakiri kuwa wameweza kiasi kikubwa na kiukweli nchi zisizokuwa na DEMOKRASIA ziko salama ktk kuingiliwa misingi yao ya kitamaduni na kisera.
Nitoe mifano na mbinu zitumikazo..
Ikumbukwe Tz enzi za mwalimu DEMOKRASIA aliikatas ila akashinikizwa na mabwana zake na ndio maana hata ilipofanyika chaguzi wengi wakaipinga alilazimika aipitishe tu.
Tujue faida kwao ni IPI ya hii DEMOKRASIA.
Tukumbuke jk nyerere kipindi chake Tz ilikuwa na nchi mbili uchina na Cuba ila wengi wamekremishwa kuwa uingereza kumbe uingereza ilitikana ni kuwa ktk hama hama za mwisho na kwa kuwa walituachia likatiba lao uchwara.
Na alipoingia Mwinyi mfumo haukutofautiana sana kwa kuwa MZEE wa taifa alikuwa nyuma yake .
Ila alipoingia Benja hapo rasmi tukaanza urafiki na hawa jamaa wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI na ikumbukwe huyu jamaa elimu yake aliichukulia huko na tuliona uhusiano na uwekezaji ulivyokaja kasi kila kinachowekezwa muamerika.
Na alipoingia Jk huyu nae akafufua mashimo ya jk wa kwanza kwa kujipenyeza kwa wachina na tumeona kilichofanyika.
Yote kwa yote hatuwezi kupinga Sera za kirafiki ila tujiulize je OBAMA amesimama jukwaani ktk nchi nyingi na kuhamasisha ushoga je unadhani anadhani ni kwa nn hakusimama na kusema hvyo ktk nchi za kifalme nadhani jibu tunalo.
Na faida nyingine kwao ni simple sana kumng'oa madarakani rais wasiokuwa na faida nao kwa kumtengenezea skendo au kumpindua km tulivyoona kwa nchi kadhaa panaposhindikana wao husubiri miaka ya rais aliyopo iishe zen wampange wao kuwania kiti hicho.
Wanachoumia saaana kumuona mfalme mwenye misimamo ya dini ambae wanajua hatotoka hadi kifo chake na wakati wao zipo fulsa wanazihitaji pale na ndipo tuliposhuhudia MISRI, LIBYA na yanayoendelea Syria majority wanaelewa siku hizi source ni IPI.
Kumbe tunakuja kuona kuwa lengo la DEMOKRASIA sio kuleta maendeleo kupitia viongoz wapya laa ni kuleta watu wapya watakaonufaisha nchi mama.
SABA.
Umetaja aina tatu za mauaji yaliyokubaliwa kiislam ila hujajua au hujaambiwa kuwa kila sharia inatokana na tareehe na hizo ndio muongozo mkubwa wa kufuata nusuus za kishari'ah ila ungesoma uislam sidhani km tungepata uzito huu wa kuelekezana.
SAUDI ARABIA SIO MAASUMIN ILA KTK NCHI ZINAZOFUATA SHERIA ZA KIISLAM HAWA WENZETU WANEWEZA NA ALLAH AWASIMAMIE KWA HILI.
Yako mengi ya kukuweka sawa but muda hautoshi.....
Hongera kwa tafiti ila usitafute zile zilizoandikwa na CCM kuikosoa CHADEMA bila kutafuta ukweli kwa upande wa pili hiyo tutaita Israfuuu ya mitandao..
Nawasirishaaaa....
Mkandu....
Chalileeer