Hiyo hukumu haisaidii kumaliza uhalifu, la sivyo wasingeendelea kuchinjwa kila kukicha mana yake ndo kwanza wanaongezeka
Ni yapi ambayo imani yako imekufundisha kusamehe na yapi imeruhusu kuchukua hatua? Mfano mtu amekuibia na ukaenda kutoa taarifa polisi nia ili akamatwe huyo mtu,je utakuwa umeenda kinyume na imani yako kwa maana ulitakiwa usamehe?Wewe umeona sahihi mtu auawe hivyo? Jiulize nchi nyingine za kiislam kwa nn hazifanyi hivyo? Nikusaidie tu Ni kwa sababu zimeona mapungufu katika hilo.
Sasa kuhusu imani yangu sijaruhusiwa kukata wengine vichwa nimefundishwa kusamahe.
Hayo unayoongea yana uhalisia kuwa watu tusameheane tu?Hivi kungekuwa hakuna sheria zozote bali ni kusameheana tu unafikiri hali ingekuaje?Mimi
Siwezi kumchinja aliyembaka mwanangu au ndugu yangu
Mungu amenifundisha nisamehe saba mara sabini bila kujali aina ya kosa
Mungu ameniagiza NISIUE hata nitendewe kosa la namna gani.
Mungu ameniahidi kuwa ni yeye peke yake ndiye anayelipa kisasi
Ndo maana nampenda sana Mungu wangu huyo,
bila yeye ningesha chinja watu kama kumi hivi waliowahi kunikosea makosa makubwa mno.
Laki niliwasamehe, huwezi amini mmoja wao ndiye anayenisaidia sana kwa sasa.
Amekuwa rafiki yangu mkubwa na siyo mhalifu tena, ametubu na Mungu amemsamehe.
Kama wewe hujawahi kutenda dhambi hebu uwe wa kwanza kumrushia jiwe huyo unaye mwona ni mtenda zambi, mkosaji
Rusha jiwe tuone
Unaongea tu? mbona hatuwaoni kuzungumza habari za upendo na msamaha mkisikia wameuliwa magaidi kama kweli tunatakiwa tuishi kwa kusamee?Mashetani hawa hakuna Mungu wa Namna hii. Mungu anapenda amani , msamaha na utii . hawa Mungu wao Shetani Hakika
Unajua ndiyo maana atheists wanahoji kwanini Mungu mwenye upendo na uwezo wote anaachia maovu kutokea? yote ni kwa sababu ya hizo hoja zenu na kwa sababu wengi hutoka upande huo huo.Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa Deera square. Hivyo hapo Deera square ndipo kwa Allah alipochagua watu wachinjwe? Kama ni chagua la Allah sijui anafurahishwa na nini kuona kadamnasi ikishangilia au kuuzunika kwa vifo vya uchinjaji? Mungu navyofahamu anatujali kama mzazi au baba. Endapo mtoto anakosea utamuadhibu au kumuelewesha bila kumfanyia mateso mbele za watu ukiwa wewe ni baba. Sasa kwa mantiki hiyo Allah anafuraia kuona mateso ya hali ya juu panapo umati, hii ni dhahiri matendo machafu na ukatili wa kishetani!
Unajua hata hakimu anapotoa hukumu hutoa hukumu kwa mujibu wa sheria isemavyo na si maamuzi yake tu,hivyo na watu wa dini/imani nao pia watakuwa wanapo wanapozitoa hukumu zao na si maamuzi yao tu.mwenye kuhukumu ni Mungu pekee kwa nini Lakini Tujivike majukumu ya Mungu?? Daaaahh, kama ndo Imani muhhhh hapana kwa kweli
Sasa hapo ndipo panapo shangaza kwamba Mungu amewaambia mtii serikali ambazo zinahukumu halafu wakati huo huo mmekatazwa kuhukumu! Unaweza kutoa ufafanuzi hapo?Sasa nime elewa
ni kwanini Serikari haitaki kudhamini Mahakama ya kadhi
Kitendo cha kusema itashughulika na Ndoa, Ibada na Mirathi pekee ni kinyume na ukweli kuwa,
Inaposimama mahakama ya kadhi SHARIA yote ya dini lazima ifanye kazi kwani Qurani ndo inavyoelekeza
Wakisema hawatachinja wazinzi basi hiyo sio Mahakama yenye kufuata hukumu za Qurani labda watumie kitabu kingine, na Waislamu wa kweli hawataikubali.
Nilipozungumza na baadhi ya Waumini wa Kiislamu wanasema hawaitaki hiyo mahakama kwani hawawezi kuhimili adhabu zake, na kama itaruhusiwa wengi watakuwa radhi kubadili dini ili kukwepa adhabu za Sharia.
Mimi binafsi siitaki mahakama hiyo kwani sipo tayari kuwashudia marafiki na ndugu zangu kama, Bwana Juma Selemani, na Fadhiri Hussein wakichinjwa hadharani kwa kosa la kutembea nje ya ndoa jambo ambalo kwa nchi yetu ni kati ya mila na desturi za makabila yetu toka zamani.
Wazee wetu walikuwa wanaoa wake wengi na kabla ya kuwaoa walikuwa wakitembea nao kwanza bila kuhalalishwa na desturi za jamii husika.
Ndugu zangu,
Waislamu achaneni na kudai Mahakama ya Kadhi. Jambo likikataliwa na jamii mjue halifai.
Sisi Wakristo tunaotumia mafundisho ya Kitabu Cha Injili,
Tumeagizwa kuitii Serikari tunapo jumuika na maswala ya jamii yetu, hii ni pamoja na kutumia Mahakama za Kiserikali
Tunapo jumuika Kiimani, haturuhusiwi kuhukumu, hata tutendewe kosa kubwa namna gani
Tumepewa angalizo kuwa, tusipo samehe na sisi hatuta samehewa tutakapo tubu.
Tumeambiwa wazi kuwa sote tumetenda dhambi, na hakuna asiye wahi kufanya dhambi.
Kwamba.
Mtakatifu ni Mungu peke yake.
Amina
Lini The bold aliwahi kutoa chanzo cha makala zake?Hapana hawezi fungwa hata akishtakiwa coz karibia mambo yote anayoyaandikaga mkuu The bold yanavyanzo vyake vya taarifa na hata wewe ukitaka waweza kwenda kutafta na kusoma,sema yeye ni mtaalamu wa kutafta makala nzuri,kuzifasili kwa lugha nzuri na fasaha ya kimasimulizi na kuongezea mvuto na mtililiko sahihi,labda cha kuogopa ni kimoja atakapoanza kuandika na kutoa vitabu ama makala atakuwa wazi(expossed)tofauti na sasa ana cover kupitia Jf,na hapa madhara yanaweza kuwepo na faida pia
Wakati wewe unawatukana waislamu kuwa wanaongozwa na shetani je,wewe unashaangalia imani yako ina muelekeo wa kuongozwa na nani? Hebu tizama hizo sehemu zenye idadi kubwa ya waumini wa imani yako.Kamata hii ya kiongozi wao ili uone wanakozitoa hizo SHARIAH . na huyu ndio kiongozi wanamuabudu anaongozwa na devil(Jinn) halafu anakuja mtu hapa kuwa Muhammad na YEsu walikuwa waislam.
52 Characteristics of the Day of Judgment, Paradise, and Hell
(16)
Chapter: The Mischief Of The Shaitan And How He Sends His Troops To Tempt People, And With Every Person There Is A Qarin (Companion From Among The Jinn)
(16)
بَاب تَحْرِيشِ الشَّيْطَانِ وَبَعْثِهِ سَرَايَاهُ لِفِتْنَةِ النَّاسِ وَأَنَّ مَعَ كُلِّ إِنْسَانٍ قَرِينًا
Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:
There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good.
حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ " . قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ " .
Reference : Sahih Muslim 2814 a
In-book reference : Book 52, Hadith 62
USC-MSA web (English) reference : Book 39, Hadith 6757
Ili uifanye dini iendane na wakati inabidi ubadili na Mungu mwenyewe kabisa,na ndiyo maana kuna dini moja wamebadili Mungu kabisa ili dini yao iendane na wakati.Dini zingine zimepitwa wakati hazifai tena..
Huu ni muongozo wa imani ya KikristoHayo unayoongea yana uhalisia kuwa watu tusameheane tu?Hivi kungekuwa hakuna sheria zozote bali ni kusameheana tu unafikiri hali ingekuaje?
Mimi natukana ama vitabu vyenu vinaeleza kuwa huyo kiongozi wenu anakiri kuamrishwa na Jinn na kila muislam anacho kijini chake anakua nacho siku hadi siku na kinamtuma kufanya atakalo.Wakati wewe unawatukana waislamu kuwa wanaongozwa na shetani je,wewe unashaangalia imani yako ina muelekeo wa kuongozwa na nani? Hebu tizama hizo sehemu zenye idadi kubwa ya waumini wa imani yako.
Sasa hapo tofauti ipo wapi na Saudia? Maana hizo adhabu zinazofanyika Saudia ndiyo serikali hufanya hivyo,ina maana hata wewe ukienda saudia utapaswa utii serikali yao na ndiyo ina hizo adhabu au hukumu mnazozipinga.Huu ni muongozo wa imani ya Kikristo
Kijamii mtu akinikosea naenda,
au kumshtaki polisi
ama kumfungulia mashtaka mahakamani.
kwani Ukristo unaruhusu kutii miongozo ya mamlaka zinazotuongoza
Miongizo hiyo ni kutumia vyombo vya mamlaka hizo kama vyombo vya KIULINZI na vya KISHERIA
Nilichokataa ni kutumia imani kuhukumu watu waliotukosea.
Imani yangu inaelekeza kusamehe.
Kanuni ya mamlaka zetu hata kama usipomshtaki aliyekukosea
mfano aliyebaka mwanao,
Serikari itamkamata na itamshtaki na itamuadhibu kama mhalifu ilimradi ushahidi umepatikana hata bila idhini ya mtu aliyekosewa.
Yaani ukiua mtu kwa kukusudia, Serikali itakuhukumu kunyongwa hadi kufa hata kama hakuna mtu aliyekushtaki
Hivyo basi Imani ya Kikristo inawaongoza waumini wake kusamehe na kama kosa hilo Serikari itaamuru mkosaji akamatwe na kushtakiwa na kuadhibiwa, basi hatua zitachukuliwa na hapo Mkristo hawezi kupingana na maamuzi ya Serikari.
Imani ya Kikristo anaelekeza kwenye msamaha bila kuingilia maamuzi ya Serikali
Ndugu UHURU JR
Ndiyo nimekwambia ukiangalia sehemu zenye idadi kubwa ya waumini wa imani yako je,unaona muelekeo wa Maisha yao unaongozwa na Mungu au shetani? Isije ikawa unatukana wenzio imani yao ni ya shetani wakati nyie mnaishi kishetani,Mimi natukana ama vitabu vyenu vinaeleza kuwa huyo kiongozi wenu anakiri kuamrishwa na Jinn na kila muislam anacho kijini chake anakua nacho siku hadi siku na kinamtuma kufanya atakalo.
Swali unaweza kunionyesha wapi nimetukana?
Sisi tunaongozwa na Mungu wa miungu, Bwana wa mabwana, Mfalme wa wafalme. Jesus Christ.
We upo hapa kujifunza ama kutafuta chanzo cha makala??? Nenda maktaba ndo kunavyanzo!!!!Lini The bold aliwahi kutoa chanzo cha makala zake?
Kujifunza ni kitu kimoja na hicho unachojifunza ni kitu chengine,Unaweza ukafunzwa uongo au upumbavu.We upo hapa kujifunza ama kutafuta chanzo cha makala??? Nenda maktaba ndo kunavyanzo!!!!
Huko watu wanapochinjwa ni sheria ya kidini au Serikali?Iwe mwisho kuquote uzi mrefu namna hii
Unatupa tabu tunaotumia simu
Hujajibu swali, wapi nimetukana?Ndiyo nimekwambia ukiangalia sehemu zenye idadi kubwa ya waumini wa imani yako je,unaona muelekeo wa Maisha yao unaongozwa na Mungu au shetani? Isije ikawa unatukana wenzio imani yao ni ya shetani wakati nyie mnaishi kishetani,