Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Namini uwepo wa mungu ila kitambo tuu nilisha gunduaga hizi dini ni longterm political projects za watu kutawala wenzao kifikra
Huwezi kuhukumu kumchinja binadam mwenzio kama kuku kwa kusingizia SHARIA ya QURAAN eti maagizo ya Allah!
Au sheria ya Yesu (Luka 19:26-27)
 
Kuna baadhi ya wanadamu wao si wa Mungu wala wa shetani. Maulana tuokoe na hili balaaa.
 
Au sheria ya Yesu (Luka 19:26-27)
Yesu yupi huyo ndugu? Sheria ya YESU inaegemea ktk kanuni kuu moja tu, UPENDO. Mtendee jirani wako kama vile upendavyo kutendewa nae, sasa kama kuna mtu aliyewahi kutamani kuchinjwa kisa ameua au amebaka au amekunywa pombe au ameiba basi naye awachinje wenziwe, kinyume na hapo samehe bila kuchoka.
 
Soma hilo andiko acha ubabaishaji.
 
Soma hilo andiko acha ubabaishaji.
Kaka hilo ni andiko la Biblia si la kukurupuka, kamwe hautakuja kuielewa Bible. Yesu alifundisha kwa mifano zaidi, hapo alikuwa akifundisha kupitia mfano wa tajiri mfalme na talanta zake, na hayo maneno ya hiyo mistari Luke 19: 26-27 ni majibu aliyoyatoa yule mfalme, si ya Yesu, ni adhabu aliyoitoa mfamle kwa wale waliompinga, ulitakiwa ujue Yesu hakuwa mfalme wa ulimwengu huu, tubu kwa kuongeza nukta ktk maandiko, watu kuangamia hata kwa kukosa tu maarifa.
 
Kaka hilo ni andiko la Biblia si la kukurupuka, kamwe hautakuja kunielewa Bible. Yesu akifundishwa kwa mifano, hapo alikuwa akifundishwa kupitia mfano wa tajiri mfalme na talanta zake, na hayo maneno ya huo mstari Luke 19: 26-27 ni majibu aliyoyatoa yule mfalme, tubu kwa kuongeza nukta ktk maandiko, watu kuangamia hata kwa kukosa tu maarifa.
Uongo mkubwa!!! Acheni mahaba yenu kwa Yesu....
 
Kaka hilo ni andiko la Biblia si la kukurupuka, kamwe hautakuja kunielewa Bible. Yesu akifundishwa kwa mifano, hapo alikuwa akifundishwa kupitia mfano wa tajiri mfalme na talanta zake, na hayo maneno ya huo mstari Luke 19: 26-27 ni majibu aliyoyatoa yule mfalme, tubu kwa kuongeza nukta ktk maandiko, watu kuangamia hata kwa kukosa tu maarifa.
Hayo maneno ameyasema Yesu mwenyewe. Hakufundishwa na mtu. Aliyatamka mwenyewe. Usijifanye unaijua bible kinyume-nyume.
 
Nikikja suala la ukweli huwa mnajifanya kukimbia. Mara ooo h Muhammad mtume gani mara ooooh Muhammad muuaji nk. Mbona katika historia ya ukristo hakuna mtu aliyeua watu kushinda Mtume Paulo na hamsemi? Acheni ubabaishaji. Hapa utachemka tu ndugu yangu...
 
Hayo maneno ameyasema Yesu mwenyewe. Hakufundishwa na mtu. Aliyatamka mwenyewe. Usijifanye unaijua bible kinyume-nyume.
Ndo maana mnakaririshwa tu, huku tumeamrishwa kuitafuta kweli na maarifa. Maneno ya Yesu unamaanisha ndio mtizamo wake? Hata huyo Yesu wa huko kwa jina la huko alishawahi kuwa na msimamo wa kuua wapinzani wake kwani au hata kuadhibu kwa kuua wenye dhambi?
 
Yesu wa kwenye biblia aliua. Andiko hilo nimekupa!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom