Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Hizo ni adhabu mkuu sio mauji.
Wacha ujinga wako! Hizo ni adhabu za mauwaji kwa watu wasiyo na hatia. Mbona waarabu hawapewi adhabu kuwapiga wafanyakazi, kuwatesa na kuwafanya vibaya?

Angalia mmanga anavyopiga mfanyakazi. Je, serikali ya kiislamu nchini mwake imemuadhibu?

[emoji116]
 
Attachments

Uongo hayo maelezo uliyotoa. Unajaribu kupotosha ukweli.
Kaisome! We nadhani umehadithiwa. Ila nimekuuliza huyu Yesu amezungumzwa ktk vitabu vingi, je chenu huko nilishawahi kumzungumzia kama Nabii aliyewahi hata kuamrisha roho ya mwanadamu itolewe kwa njia yoyote ile? Jibu.
 
Kuuwa watu kwa kuchinja na kuwaelekezea Upande fulani ili damu imwagike na kutamka maneno Fulani ni aina ya utoaji kafala kwa mamlaka zilizo juu za mashetani kama matambiko ni imani iliyorithiwa toka kale hata kabla ya kuletewa dini imeendelezwa hata sasa. Hawasemi kutoa kafala wanasema adhabu ya kuchinjwa ili kuficha maana halisi,tangu waanze kutoa adhabu hio je imesaidia kupunguza maasi.
 
Kaisome! We nadhani umehadithiwa. Ila nimekuuliza huyu Yesu amezungumzwa ktk vitabu vingi, je chenu huko nilishawahi kumzungumzia kama Nabii aliyewahi hata kuamrisha roho ya mwanadamu itolewe kwa njia yoyote ile? Jibu.
Sizungumzii kitabu chetu nazungunzia injili. Kasome hilo andiko. Na alichinja watu wengi sana waliokataa kumtii na kumkubali. Luka 19:27
 
Yesu wa kwenye biblia aliua. Andiko hilo nimekupa!!!
Duh! We nadhani hustahili kujadiliana ktk mambo haya, huujui Ukristu na nadhani hata uislamu uko empty, Yesu wa Bible aliua?!!? Are you serious? Yule ambaye ye akiwa ktk hali ya kuuawa amezuia utumiaji wa upanga ili atetewe, hauko smart sori.
 
Sizungumzii kitabu chetu nazungunzia injili. Kasome hilo andiko. Na alichinja watu wengi sana waliokataa kumtii na kumkubali. Luka 19:27
Muhamadi huyo, ndiye aliyekuwa mtume wa upanga, nadhani umewachanganya hawa watu kwakweli.
 
Muhamadi huyo, ndiye aliyekuwa mtume wa upanga, nadhani umewachanganya hawa watu kwakweli.
Hivi Kitabu cha Luka mtakatifu kinapatikana kwenye Quran? Wakristo bwana likiptikana andiko mnakwepa. Soma Luka 19:27 tena....
 
Duh! We nadhani hustahili kujadiliana ktk mambo haya, huujui Ukristu na nadhani hata uislamu uko empty, Yesu wa Bible aliua?!!? Are you serious? Yule ambaye ye akiwa ktk hali ya kuuawa amezuia utumiaji wa upanga ili atetewe, hauko smart sori.
Yesu kwa kauli yake mwenyewe amesema ameleta upanga!!! We vipi??
 
Yesu kwa kauli yake mwenyewe amesema ameleta upanga!!! We vipi??
Hili huwa sipendi kuliongea, lakini linanisumbua sana. Kwanini mtu hata kama hapo kabla alikuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria akiingia tu ktk mkondo huu uwezo wake unapungua?

Sa Yesu ameleta upanga nawe ndo ukaelewa ni jambia? Ndo mana anaamini kaburini kuna majoka na nge wakubwa wanang'ata, jiongeze, Bible hai tafsiri hivyo.

Kuna picha naipata, inawezekana mtume Mohammed alikuwa ni mtume wa Mungu na ujumbe wake ni wa Mungu pia sema aliowapa hawajamuelewa? Upanga mkachukulia majambia, leo mnauana kama kuku, wanyama waliotajwa ktk vitabu nao mnawachukulia ni wanyama kweli, ni shida.
 
Vipi habari za kuchinja watu wanaompinga Yesu nayo haitafsiriki kuchinjwa kwa kukata shingo? Luka 19:27...
 
Hivi Kitabu cha Luka mtakatifu kinapatikana kwenye Quran? Wakristo bwana likiptikana andiko mnakwepa. Soma Luka 19:27 tena....
Yesu hajawahi kuchinja mtu katika uhai wake duniani!Husipende kupotosha na kupindisha ukweli kama Shetani Ibilisi! Ni wazi Yesu aliongea kwa kutumia mifano na illustrations. Katika Luka 19:12-27 Yesu aliongea hiyo story kwa mfano siyo uhalisi.

Soma kuanzia Luka:19.12-13
Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.

Ukisoma kuanzia Luka 19:12 na 13 inaonyesha huyo kabaila alikuwa ana fedha, watumwa na alikwenda kujipatia ufalme. Yesu hajawahi kuwa na mapesa ya kugawa, kuwa na watumwa wala kuchukua mtu yeyote kulingana na Luka 19:27.

Luka:19.27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

[emoji115]
Hayo hayamaanishi kwamba Yesu ndiye aliyechinja ila anazungumza kwa kutumia mfano wa huyo kabaila, kwamba kama ukishindwa kwa kutokufanya kazi ili kuongeza utajiri wa ufalme wa bwana, basi watumwa watakuwa ndiyo losers.
Mfano huo unalenga Mitume ambao wanategemea kuwa watawala na Yesu katika Ufalme wa Mungu. Kwa kutokufanya kazi ili kuongeza utajiri wa ufalme wa bwana, watumwa watakuwa ndiyo losers. Mitume wa Yesu walikuwa wanategemea ufalme wa Mungu chini ya uongozi wa Yesu. Hivyo kama hawafanyi bidii hawatokuwa na mahala pao katika ufalme.
 
Ukiiangalia hii makala positively ina majifunzo mengi.

Asante The Bold
 
Nlipata kazi saudi arabia. Nlikataa kwenda ingawa mjomba wangu alitaka sana niende ishi huko. Ni nchi yenye ukatili. Bahat nzuri yeye ni mwarabu mswahili hivi.mimi ni mwafrika ingawa nina weupe ila naonekana waz tu ni mwafrika.

Huwa anasimulia mikasa mingi sana ya kikatili kwa watu wa huko hasa kwa wageni.ingawa anasema pia good people wapo.ila anasema ni wakatili sana na hawaelew yaani hawatak kureason wana jazba sana.

Kuna baadhi ya waarabu anasema afadhari hasa misri huko anasema si kubaya sana kwa maeneo kadhaa. Otherwise ni kama waarabu wengi wana ukatili wa asili flan hivi. Na wengine wanajifichia kwenye dini ili kutimiza ukatil wao.

Nmesisimkwa sana kusikia mtu anachinja binadamu mwenzie na anaishi kama kawaida. Mungu aliamua makusudi aghairishe hukumu hizi za kikatili. Anayetubu atubu asiyetaka atengwe na binadamu wengine wema.afungwe.but kuchinjana tena hadharani? No comment.
Hao watu ni wakatili na wana roho mbaya sana.
 
Vipi habari za kuchinja watu wanaompinga Yesu nayo haitafsiriki kuchinjwa kwa kukata shingo? Luka 19:27...
Kaisome hilo andiko bana, hivi babu yako akikuhadithia hadithi yale maneno ya hadithi yatakuwa yake au ya muhusika wa hiyo hadithi yenyewe? Mi sioni kipi tu navyo kuongezea hapa, nimekwambia kaisome andiko hilo, kwakuwa ni mgeni wa maandiko kaisome sura nzima sio hako kakifungu tu, achana na ujinga ulipokuwa ukitumia na akina mazinde kupotoshwa umma wasiopenda kusoma maandiko, we hadi kuja huku jf nadhani unajitambua.
 
Mkuu The Bold
Ukipata Wasaa Tuletee Makala Kuhusu Nchi Za Huko Huko Kuhusu Utajiri Wao Wa Mafuta
 
Mim siku zote nabaki na maswali... Hivi kama Mungu ameshaweka wanaotenda zambi watapata adhabu ya moto.. Na wale wema watakwenda paradise...

Sasa inakuwaje ameweka mawakala hapa duniani wa kutekeleza hukumu za kijinga kabisa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom