njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,795
da... inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha ujinga wako! Hizo ni adhabu za mauwaji kwa watu wasiyo na hatia. Mbona waarabu hawapewi adhabu kuwapiga wafanyakazi, kuwatesa na kuwafanya vibaya?Hizo ni adhabu mkuu sio mauji.
Imani nayo ni tatizoHuko hapafai mkuu
Kaisome! We nadhani umehadithiwa. Ila nimekuuliza huyu Yesu amezungumzwa ktk vitabu vingi, je chenu huko nilishawahi kumzungumzia kama Nabii aliyewahi hata kuamrisha roho ya mwanadamu itolewe kwa njia yoyote ile? Jibu.Uongo hayo maelezo uliyotoa. Unajaribu kupotosha ukweli.
Sizungumzii kitabu chetu nazungunzia injili. Kasome hilo andiko. Na alichinja watu wengi sana waliokataa kumtii na kumkubali. Luka 19:27Kaisome! We nadhani umehadithiwa. Ila nimekuuliza huyu Yesu amezungumzwa ktk vitabu vingi, je chenu huko nilishawahi kumzungumzia kama Nabii aliyewahi hata kuamrisha roho ya mwanadamu itolewe kwa njia yoyote ile? Jibu.
Duh! We nadhani hustahili kujadiliana ktk mambo haya, huujui Ukristu na nadhani hata uislamu uko empty, Yesu wa Bible aliua?!!? Are you serious? Yule ambaye ye akiwa ktk hali ya kuuawa amezuia utumiaji wa upanga ili atetewe, hauko smart sori.Yesu wa kwenye biblia aliua. Andiko hilo nimekupa!!!
Muhamadi huyo, ndiye aliyekuwa mtume wa upanga, nadhani umewachanganya hawa watu kwakweli.Sizungumzii kitabu chetu nazungunzia injili. Kasome hilo andiko. Na alichinja watu wengi sana waliokataa kumtii na kumkubali. Luka 19:27
Hivi Kitabu cha Luka mtakatifu kinapatikana kwenye Quran? Wakristo bwana likiptikana andiko mnakwepa. Soma Luka 19:27 tena....Muhamadi huyo, ndiye aliyekuwa mtume wa upanga, nadhani umewachanganya hawa watu kwakweli.
Yesu kwa kauli yake mwenyewe amesema ameleta upanga!!! We vipi??Duh! We nadhani hustahili kujadiliana ktk mambo haya, huujui Ukristu na nadhani hata uislamu uko empty, Yesu wa Bible aliua?!!? Are you serious? Yule ambaye ye akiwa ktk hali ya kuuawa amezuia utumiaji wa upanga ili atetewe, hauko smart sori.
Hili huwa sipendi kuliongea, lakini linanisumbua sana. Kwanini mtu hata kama hapo kabla alikuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria akiingia tu ktk mkondo huu uwezo wake unapungua?Yesu kwa kauli yake mwenyewe amesema ameleta upanga!!! We vipi??
Vipi habari za kuchinja watu wanaompinga Yesu nayo haitafsiriki kuchinjwa kwa kukata shingo? Luka 19:27...Hili huwa sipendi kuliongea, lakini linanisumbua sana. Kwanini mtu hata kama hapo kabla alikuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria akiingia tu ktk mkondo huu uwezo wake unapungua?
Sa Yesu ameleta upanga nawe ndo ukaelewa ni jambia? Ndo mana anaamini kaburini kuna majoka na nge wakubwa wanang'ata, jiongeze, Bible hai tafsiri hivyo.
Kuna picha naipata, inawezekana mtume Mohammed alikuwa ni mtume wa Mungu na ujumbe wake ni wa Mungu pia sema aliowapa hawajamuelewa? Upanga mkachukulia majambia, leo mnauana kama kuku, wanyama waliotajwa ktk vitabu nao mnawachukulia ni wanyama kweli, ni shida.
Yesu hajawahi kuchinja mtu katika uhai wake duniani!Husipende kupotosha na kupindisha ukweli kama Shetani Ibilisi! Ni wazi Yesu aliongea kwa kutumia mifano na illustrations. Katika Luka 19:12-27 Yesu aliongea hiyo story kwa mfano siyo uhalisi.Hivi Kitabu cha Luka mtakatifu kinapatikana kwenye Quran? Wakristo bwana likiptikana andiko mnakwepa. Soma Luka 19:27 tena....
Hao watu ni wakatili na wana roho mbaya sana.Nlipata kazi saudi arabia. Nlikataa kwenda ingawa mjomba wangu alitaka sana niende ishi huko. Ni nchi yenye ukatili. Bahat nzuri yeye ni mwarabu mswahili hivi.mimi ni mwafrika ingawa nina weupe ila naonekana waz tu ni mwafrika.
Huwa anasimulia mikasa mingi sana ya kikatili kwa watu wa huko hasa kwa wageni.ingawa anasema pia good people wapo.ila anasema ni wakatili sana na hawaelew yaani hawatak kureason wana jazba sana.
Kuna baadhi ya waarabu anasema afadhari hasa misri huko anasema si kubaya sana kwa maeneo kadhaa. Otherwise ni kama waarabu wengi wana ukatili wa asili flan hivi. Na wengine wanajifichia kwenye dini ili kutimiza ukatil wao.
Nmesisimkwa sana kusikia mtu anachinja binadamu mwenzie na anaishi kama kawaida. Mungu aliamua makusudi aghairishe hukumu hizi za kikatili. Anayetubu atubu asiyetaka atengwe na binadamu wengine wema.afungwe.but kuchinjana tena hadharani? No comment.
Kaisome hilo andiko bana, hivi babu yako akikuhadithia hadithi yale maneno ya hadithi yatakuwa yake au ya muhusika wa hiyo hadithi yenyewe? Mi sioni kipi tu navyo kuongezea hapa, nimekwambia kaisome andiko hilo, kwakuwa ni mgeni wa maandiko kaisome sura nzima sio hako kakifungu tu, achana na ujinga ulipokuwa ukitumia na akina mazinde kupotoshwa umma wasiopenda kusoma maandiko, we hadi kuja huku jf nadhani unajitambua.Vipi habari za kuchinja watu wanaompinga Yesu nayo haitafsiriki kuchinjwa kwa kukata shingo? Luka 19:27...