Mchumiajuone
Member
- Dec 15, 2016
- 66
- 33
Huko hapafai mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sheria ya Yesu (Luka 19:26-27)Namini uwepo wa mungu ila kitambo tuu nilisha gunduaga hizi dini ni longterm political projects za watu kutawala wenzao kifikra
Huwezi kuhukumu kumchinja binadam mwenzio kama kuku kwa kusingizia SHARIA ya QURAAN eti maagizo ya Allah!
Pamoja sana sis..aisee nimeogopa sana navuta picha tu wenye ndg zao masikini wanaochinjwa inasikitisha sana
the bold shukrani ubarikiwe sana
Nimekuongeza kwenye taglist mkuu..Nakuelewa sana the bold but why unisahau sana
Hatari sana aisee!Kuna baadhi ya wanadamu wao si wa Mungu wala wa shetani. Maulana tuokoe na hili balaaa.
Shukrani sana mkuu..Uandishi bora kabisa,mungu amekujalia kipawa
Yesu yupi huyo ndugu? Sheria ya YESU inaegemea ktk kanuni kuu moja tu, UPENDO. Mtendee jirani wako kama vile upendavyo kutendewa nae, sasa kama kuna mtu aliyewahi kutamani kuchinjwa kisa ameua au amebaka au amekunywa pombe au ameiba basi naye awachinje wenziwe, kinyume na hapo samehe bila kuchoka.Au sheria ya Yesu (Luka 19:26-27)
Soma hilo andiko acha ubabaishaji.Yesu yupi huyo ndugu? Sheria ya YESU inaegemea ktk kanuni kuu moja tu, UPENDO. Mtendee jirani wako kama vile upendavyo kutendewa nae, sasa kama kuna mtu aliyewahi kutamani kuchinjwa kisa ameua au amebaka au amekunywa pombe au ameiba basi naye awachinje wenziwe, kinyume na hapo samehe bila kuchoka.
Kaka hilo ni andiko la Biblia si la kukurupuka, kamwe hautakuja kuielewa Bible. Yesu alifundisha kwa mifano zaidi, hapo alikuwa akifundisha kupitia mfano wa tajiri mfalme na talanta zake, na hayo maneno ya hiyo mistari Luke 19: 26-27 ni majibu aliyoyatoa yule mfalme, si ya Yesu, ni adhabu aliyoitoa mfamle kwa wale waliompinga, ulitakiwa ujue Yesu hakuwa mfalme wa ulimwengu huu, tubu kwa kuongeza nukta ktk maandiko, watu kuangamia hata kwa kukosa tu maarifa.Soma hilo andiko acha ubabaishaji.
Uongo mkubwa!!! Acheni mahaba yenu kwa Yesu....Kaka hilo ni andiko la Biblia si la kukurupuka, kamwe hautakuja kunielewa Bible. Yesu akifundishwa kwa mifano, hapo alikuwa akifundishwa kupitia mfano wa tajiri mfalme na talanta zake, na hayo maneno ya huo mstari Luke 19: 26-27 ni majibu aliyoyatoa yule mfalme, tubu kwa kuongeza nukta ktk maandiko, watu kuangamia hata kwa kukosa tu maarifa.
Hayo maneno ameyasema Yesu mwenyewe. Hakufundishwa na mtu. Aliyatamka mwenyewe. Usijifanye unaijua bible kinyume-nyume.Kaka hilo ni andiko la Biblia si la kukurupuka, kamwe hautakuja kunielewa Bible. Yesu akifundishwa kwa mifano, hapo alikuwa akifundishwa kupitia mfano wa tajiri mfalme na talanta zake, na hayo maneno ya huo mstari Luke 19: 26-27 ni majibu aliyoyatoa yule mfalme, tubu kwa kuongeza nukta ktk maandiko, watu kuangamia hata kwa kukosa tu maarifa.
Kwahiyo nawe huo mstari ulikuwa haujausoma au? Uongo ni kauli yako au maandiko kama yanavyojieleza?Uongo mkubwa!!! Acheni mahaba yenu kwa Yesu....
Uongo hayo maelezo uliyotoa. Unajaribu kupotosha ukweli.Kwahiyo nawe huo mstari ulikuwa haujausoma au? Uongo ni kauli yako au maandiko kama yanavyojieleza?
Ndo maana mnakaririshwa tu, huku tumeamrishwa kuitafuta kweli na maarifa. Maneno ya Yesu unamaanisha ndio mtizamo wake? Hata huyo Yesu wa huko kwa jina la huko alishawahi kuwa na msimamo wa kuua wapinzani wake kwani au hata kuadhibu kwa kuua wenye dhambi?Hayo maneno ameyasema Yesu mwenyewe. Hakufundishwa na mtu. Aliyatamka mwenyewe. Usijifanye unaijua bible kinyume-nyume.
Yesu wa kwenye biblia aliua. Andiko hilo nimekupa!!!Ndo maana mnakaririshwa tu, huku tumeamrishwa kuitafuta kweli na maarifa. Maneno ya Yesu unamaanisha ndio mtizamo wake? Hata huyo Yesu wa huko kwa jina la huko alishawahi kuwa na msimamo wa kuua wapinzani wake kwani au hata kuadhibu kwa kuua wenye dhambi?