Sasa nime elewa
ni kwanini Serikari haitaki kudhamini Mahakama ya kadhi
Kitendo cha kusema itashughulika na Ndoa, Ibada na Mirathi pekee ni kinyume na ukweli kuwa,
Inaposimama mahakama ya kadhi SHARIA yote ya dini lazima ifanye kazi kwani Qurani ndo inavyoelekeza
Wakisema hawatachinja wazinzi basi hiyo sio Mahakama yenye kufuata hukumu za Qurani labda watumie kitabu kingine, na Waislamu wa kweli hawataikubali.
Nilipozungumza na baadhi ya Waumini wa Kiislamu wanasema hawaitaki hiyo mahakama kwani hawawezi kuhimili adhabu zake, na kama itaruhusiwa wengi watakuwa radhi kubadili dini ili kukwepa adhabu za Sharia.
Mimi binafsi siitaki mahakama hiyo kwani sipo tayari kuwashudia marafiki na ndugu zangu kama, Bwana Juma Selemani, na Fadhiri Hussein wakichinjwa hadharani kwa kosa la kutembea nje ya ndoa jambo ambalo kwa nchi yetu ni kati ya mila na desturi za makabila yetu toka zamani.
Wazee wetu walikuwa wanaoa wake wengi na kabla ya kuwaoa walikuwa wakitembea nao kwanza bila kuhalalishwa na desturi za jamii husika.
Ndugu zangu,
Waislamu achaneni na kudai Mahakama ya Kadhi. Jambo likikataliwa na jamii mjue halifai.
Sisi Wakristo tunaotumia mafundisho ya Kitabu Cha Injili,
Tumeagizwa kuitii Serikari tunapo jumuika na maswala ya jamii yetu, hii ni pamoja na kutumia Mahakama za Kiserikali
Tunapo jumuika Kiimani, haturuhusiwi kuhukumu, hata tutendewe kosa kubwa namna gani
Tumepewa angalizo kuwa, tusipo samehe na sisi hatuta samehewa tutakapo tubu.
Tumeambiwa wazi kuwa sote tumetenda dhambi, na hakuna asiye wahi kufanya dhambi.
Kwamba.
Mtakatifu ni Mungu peke yake.
Amina