Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Hujajibu swali, wapi nimetukana?
Hakuna hata sehemu moja kwenye Bible Yesu alikiri kuongozwa na shetani kufanya jambo.

Hao wengi unaosema, wanafanya hayo ya ushetani kwa reference ya Yesu aliamrisha, au hata kumpigania Yesu?
Kwani tusi unavyojua wewe ni nini? Unapowaambia wenzako wanaongozwa na shetani we unaona ni neno zuri?

Halafu hata Yesu hakujiita Mungu ila leo kuna watu wanamuita Mungu,unafikiri yatakuwa mafundisho ya nani hayo kama sio shetani?
 
Sikuwa na jua dah.... ila ni hatari sana kwa wageni je adhabu ni hiyo hiyo
 
Kwani tusi unavyojua wewe ni nini? Unapowaambia wenzako wanaongozwa na shetani we unaona ni neno zuri?

Halafu hata Yesu hakujiita Mungu ila leo kuna watu wanamuita Mungu,unafikiri yatakuwa mafundisho ya nani hayo kama sio shetani?
Sasa kama tusi ni hilo, basi ondoka kwa Muhammad. maana yeye ndiye anakiri kuwa ana jinn na linamuamrisha nini afanye. sasa kama mtume wako anaongozwa na Shetani/Jinn unaweza kutofautisha vipi katika yale aliyosema kuhusu mafundisho yake kuhusu uislam kama siyo maneno ya jinn/shetani aka DEVIL? na Je, aliposema kila muislam anacho kijini chake unakataa na hilo kwasababu nawe inakuhusu unacho kidogo dogo unazunguka nacho?

Yesu kuitwa MUNGU siyo tusi, wala kebehi ndio ukweli huo. Quran/Muhammad yeneyewe inakiri kuwa ni muumbaji na aliweza kuongea akiwa na siku mbili kutoka mbinguni. alifinyanga udongo mithili ya ndege na kupulizia pumzi akawa ndege hai akaruka.
Sasa wewe unabishana nini kuwa Yesu siyo Mungu. au umeanzisha quran yako inayompinga muhammad?

Soma Marko 1-43 uuone Ukuu na Umungu wa Yesu. hata hao(majin/shetan/pepo wanaomuongoza Muhammad wanamjua na kumuogopa.

Soma uelewe siyo kusoma kwa kubishana.
 
Mkuu wewe ndiyo unapenda kubishana ila mie siko huko kabisa,Kama mtume muhammad angekuwa amesema hayo uliyoyasema basi kusingekuwa na ubishani katika hilo kwanini waislamu wakatae kile alichokisema mtume?


Halafu huyo Yesu unayejinasibisha nae hakuwahi kusema kuwa yeye ni Mungu bali alisema kinyume chake,na ndipo nikakuuliza mafundisho ya kuwa Yesu ni Mungu ameyaleta nani kama sio mafundisho ya shetani?
 
Shetan hajifichi hata siku moja iwe kwa maneno au kwa matendo

Uisilamu ni dini ya ibilisi na shetan ya satan na waisilamu ni wafuas wa ibilisi na wanamutumukia lucifer pasipo wao kujua
Ibilisi rafiki yao wakristo. Na ibilisi anakaa kanisani.
 
Huna uwezo wa kumutetea ibilisi allah na mtoto wake muhamad hata ufanyeje allah is satan na wewe unamutumikia ibilisi bila hofu pasipo wewe kujua endelea

Kanisan si mahala salama pa satan allah lakin msikitin ndo nyumban kwake
Wapi nimesema masuala ya kuntetea? We vipi? Kanisani yanakaa mapepo....
 
Yalianza kumtii Yesu kanisani na ndiyo yaliyemwita yeye ni MWANA WA MUNGU. Bisha nifyatue andiko....
 
Al-Beshi anajitetea kuwa yeye si mtu katili kwa sababu ya kazi anayoifanya, kwani anajisikia fahari kufanya kazi hiyo ya mchinjaji kwa kuwa anaamini anafanya kazi ya mwenyezi Mungu kama ilivyoagizwa kwenye vitabu.
Asiseme kazi ya Mungu, bali ya shetani. Pia asiseme imeagizwa kwenye vitabu, bali kwenye kitabu
 
Yapo kanisani. Huwa yanakaa humo na ndio maana wachungaju huanza kuyafukuza yatike ili wafanye ibada. Kuwa mwekewa. Kama ulikuwa hujui ndio jua kuanzia sasa....
 
Endelea kutapatapa kafir mkubwa wewe huna lolote ulijualo kuhusu iman kazi yako kufukua maiti makaburin kafir wewe mkamuliwa ngama weee

Jikipue uende kwa ibilis allah kakuandalia maghoropha na wanawake wenye umri wa mama yako wenye macho kama mbun
Kafir ni yule anayesema Mungu ana mtoto wa pekee..
 
Endelea kutapatapa kafir mkubwa wewe huna lolote ulijualo kuhusu iman kazi yako kufukua maiti makaburin kafir wewe mkamuliwa ngama weee

Jikipue uende kwa ibilis allah kakuandalia maghoropha na wanawake wenye umri wa mama yako wenye macho kama mbun
Inekuuma sana eeeh. Kwa taarifa majini huwa yamo kanisani yamekalia viti. Sasa kabla ya kuanza ibada huwa wachungaji wanayafukuza yawapishe. Sasa unakasirika nini? Huo ndio ukweli.
 
Nimekwambia usome hiy Marko kwa utuvu, kisha jiulize, wale pepo kwanini walisema hivyo.
nimekuwekea na hadithi to Sahihi Muslim, bado unasema hakusema Muhammad. kwani hizi hadithi zimeandikwa na wachina??? na kama hakusema hayo kwanini hamzifuti, kwa miaka yote hiyo 1400 mmezikumbatia.

sasa nikupe hii nyingine halafu utuambie maagizo haya ni ya mtu mzima ama aliyepagawa na pepo/jinn.

Mu'adh bin Jabal (May Allah be pleased with him) reported:
The Prophet (ﷺ) said, "Whenever a woman harms her husband in this world (that is without any due right), his wife among the (Houris in Jannah) says: 'You must not harm him. May Allah destroy you! He is only a passing guest with you and is about to leave you to come to us".

[At-Tirmidhi].

Riyad as-Salihin » The Book of Miscellany » Book 1, Hadith 287

Swali kwako, Huyo Houris anaonaje ya huku duniani? kwani naye ni Mungu?
na anaposema husema hivyo huyo mwanamke wa huko Saudia anasikiaje kwamba kuna mwenye mume anamgombelezea?
na nini haki ya mwanamke hapo??

please read your books and think outside loudly to understand? stop C&P like photocopy machines!!
 
aisee nimeogopa sana navuta picha tu wenye ndg zao masikini wanaochinjwa inasikitisha sana

the bold shukrani ubarikiwe sana
 
hahahahh kwakweli wapelekwe tu saud arabia wanakera sana
 
Namini uwepo wa mungu ila kitambo tuu nilisha gunduaga hizi dini ni longterm political projects za watu kutawala wenzao kifikra
Huwezi kuhukumu kumchinja binadam mwenzio kama kuku kwa kusingizia SHARIA ya QURAAN eti maagizo ya Allah!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…