Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
pamoja mkuu...
ila kiporo kingine hiki..!!..
KING MAKER bado kiporo sehemu 4...jiiiii.....au me sijapitia kule.??
haya bhana...
shukrani...
 
Hapo upande mmoja umeulaumu ufalme wa saudia na upande mwingine unaulaumu uislamu. Nnchoweza kusema ni kuwa hukmu ya kifo ipo katika vitabu vitakatifu hata kabla ya uislamu. Na hukmu sio uonevu bali wanaipata wanaostahili. Hili hata kimaumbile tu binadamu wote wasio wanafiki wanalikubali. Mfano ni huyu aliyemuua mke wake juzi halafu akaweka maiti kwenye jaba. Au mtu alimchinja albino nk. Watu kama hao kidini na kidunia wamepoteza haki ya kuishi.hukmu hizi zimekuwa zikitekelezwa enzi na enzi. Lakini kwamba zinatumiwa vibaya na.mfalme hicho ni kitu kingine
 
Ubinadamu ni upi? Ni kumwacha muuaji atambe mitaani?
 
Yan huwa nacoment kwanza nikanunue zangu karanga nitafte sehemu yenye upepo mwanana niteremke nayo.
Niksha ipata jamaa zangu wanajua tu mana huwa kwenye story zetu kitaa nachomeka chomeka vionjo.

Wakinogewa wananiuliza umema wakamchinja..wapi apo...

Naanza kuwateremxhia uz sasa.
 
Aisee nimesoma bila kuchoka.... Huyu mfalme yeye ni nani katika ulimwengu huu? Kwann mchinjaji anauhusisha uislam? Inamaana ndivyo Mungu alivyowaagiza? Hapana Hapana Hapana..... Huhitaji kuwa na phd.... Huuu ni USHETANI..... Kumbe kabla hujabadilisha dini ni lazima uielewe kwa kina.... Uislam Nooooooo!!!!!! Nitabanana na hayahaya makanisa.... Pamoja kwamba ni mengi lkn hakuna kanisa hata moja linalohukumu waumini wake KIFO......
 
Kweli wewe ni the bold. Subliminal messaging sijui umejifunza wapi. Okay, asante kwa kutufundisha kunyonga.
 
"well said"unajua wa2 wanjaribu kuuchafua uislamu kwa kuangalia 2 baadhi ya hukumu ambazo wanafanyiwa wa2 ingawa hao hao wa2 hayaangaliwi makosa yao binafsi mbona hapa tz tulikuwa na sheria ya kunyonga ??
 
mkuu the bold next time unitag pia,nimekuwa nachungulia sana forum hii kupata makala zako,hasa king makers sehem ya nne lakini wapi!ahsante kwa nondo hii ya leo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…