Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Hakika mkuu... Inatia uchungu na hasira...
Sana mkuu hakika binadamu tunatofautiana...

Ila sasa nimejarbu kujua kwann MTU anaweza kujitoa muhanga ktk izo nchi.

KISASI

Hata mm kwa mtindo huko waliomfanyia rizana angekuwa mdogo wangu lazima ningeandaa kisasi tuu hakuna namna
 
Hahaha! Namuheshimu sana mamangu huyo..

 
Nashukuru sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri. Asilimia kubwa ya watu niliowasikiliza wakitafsiri hilo neno la kutii mamlaka, wamekuwa wakidhani mamlaka ni mtu. Wanasahau kwamba wapo viongozi wanaoingia madarakani kwa njia za kichawi au za kishetani.
 
huna revenge yoyote , hiyo namba unayosomeshwa na CCM si ndogo ,

ungalianzia hapo
Ccm wananisomesha namba gan kwa mfano??

Mm na hayo masiasa sinaga tym nayo ,japo smtym yana asili bizness zangu nachukulia n changamoto na kutafuta mbinu mpya maisha yanaendelea

Mda wa kulialia km mwanamke ety ccm sina
 
Sehemu ya pili na ya tatu yatari...

Post # 978 & 979
The bold, vizuri sana na endelea hivyo hivyo kuleta elimu ya uwazi hata kama wengine hawapendezwi nayo! Knowledge is power that will set us free from all kind of falsehood.
 
Ccm wananisomesha namba gan kwa mfano??

Mm na hayo masiasa sinaga tym nayo ,japo smtym yana asili bizness zangu nachukulia n changamoto na kutafuta mbinu mpya maisha yanaendelea

Mda wa kulialia km mwanamke ety ccm sina


Utakuwa ni mtoto wa kuangushiwa buku kule Lumumba
 
Mkuu The bold nakukubali sana
Naomba uni tag na mimi
 
hivi kumbe kubadili dini ni kosa!? sasa vp kwa mtu asiyekuwa muislam akapatikana na hatia ya kifo hapo saudia inakuwaje na yeye ataambiwa atamke 'shahada' wakati haijui
 
kwani wewe huwa husomi yaliyoandikwa katika kitabu kitukufu, au hukupita madrasa mpaka hujui hii kitu
 
samahani, hivi hizo sehemu za pili na tatu ndo unaziaccess kwa namna gani? mimi ni mgeni humu JF.
 
samahani, hivi hizo sehemu za pili na tatu ndo unaziaccess kwa namna gani? mimi ni mgeni humu JF.
Kweli we mgeni. Nilitaka kukupa za USO ila ngoja nikuache

Huwa hatuquote Uzi mrefu unasumbua Sie watumia simu..
 
Hakika mkuu... Inatia uchungu na hasira...

Mkuu wakati wa kuendesha kesi kunakuwa na mashahidi na wakili wako au ndio ukishtakiwa wao wanakuwa waamuzi wa mwisho......dunia ina mambo mengi ya kusikitisha ukiona unaishi kwa nafuu wapo wanaoteseka sana
 
Asante bro kwa hii simulizi hakika inasikitisha sana .

Daah hiyo nchi sitii mguu hata ukinipa mapesa kibao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…