Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Yaani hayo maandishi ya kiarabu ndio ushahidi???

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni Quran sura ya ngapi?

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako umekaririshwa mpaka ukiona tu micharazo unajua quran. soma passage yote. kuna sehemu imeandikwa quran??
imekukamata na sasa unataka kuikana hiyo makinikia ya Muhamad wenu!!
Jibu hoja acha kuja na maswali ya kitoto!!
 

Muslims wanajaribu kutuaminisha kuwa adhabu hii hutolewa kufuata maagizo ya Allah. na wanasema na sababu zinazopelekea mtu/binadamu apewe adhabu hii ya kuchinjwa(CAPITAL Punishment!!) mfano ukiua, Kuiacha dini ya Allah(uislam) etc.
Swali la kujiuliza hata kama wewe ni muislam. Allah anaogopa nini mpaka kufikia kumkata mtu kichwa pale tu anapoacha uislam au hataki kujiunga na uislam? ikiwa tunaambiwa/aminishwa hakuna mungu mwingine zaidi ya Allah. Vipi anaogopa kupoteza kibaru au kitu gani hasa anaogopa kama kweli yupo peke yake?
 
Kinachokiuma Ni Adhabu Yakifo Aliyopewa Yule Binti Wa Srilanka .Nimesikia Uchungu Mkubwa Sna Moyoni,nafsi Imekataa Kusahau,kila Nikikumbuka Mwli Hufa Ganzi,,,natamani Ningekuwa Na Uwezo Au Nafasi Km Walivyopata Ile Familia Kwajili Yakuwapooza Ningetoka Na Kichwa Ya Mmoja Wao,
 
Serikali Ya Srilanka Ingedai Mwili Wa Huyu Binti Wamzike Kitaifa Na Kimataifa Kwa Kualikwa Viongoz Na Maboloz Wa Nch Mbalimbali,nia Nikupeleka Ujumbe Kwa Wasaudia
 
Mimi hizo sheria za kukatana kichwa hadharani sijaziona kwenye msahafu.
Sijui zipo kwenye hadithi ipi
Ninge penda yoyote anayejua atuwekee hapa maandiko yanayosema

Anaye asi dini.
Anaye zini.
Anaye ua.
Anaye iba.
Anaye kufuru.
Anaye kashifu dini, au Alla au Mtume wake.
Anaye badili dini na kuiacha Islam din.
Nk.
Adhabu yake ni kuchinjwa tena hiyo adhabu ifanyika hadharani.

La sivyo,
Ni uonevu tu na kuipaka matope Islam din.

Kama Faiza Fox, yupo naomba
atufafanulie hiyo SHARIA imeandikwa wapi ?
 
Wanaoshabikia mauaji yasiyo ya haki ni tatizo ktk jamii husika
 
Ukisoma huu uzi unapata PhD? Mrefu kuliko PhD thesis ya maganda ya korosho... Someni wenyewe lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maganda ya korosho tenaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] .kumbuka hajaribiwiii
 
The bold shukrani mkuuu.ila naomba wanzo wa story weka bango kuuuubwa la kuzuia watu ku quote uzi mlefu hivi.maana kuna wenzetu ustaarabu kwao ni bingu na ardhi,hawa wanaofadha haya sijui kama wakienda kwa mchinjaji wataishi hata siku mbili.
 
Hao waarabu ni mafiraun waliojaa janaba mgando la mwaka mzima...!
 
Saudi Arabia sio ardhi takatifu

Ashaqum si matusi ni ardhi mjanabo.

Hawana usta'arab hawana utu...sharia zao ni za kiuwaji.
 
Huyo Allah ana umajinun mpaka aogope kusikia mtu anajoin dini nyingine?

Kama hakuna mungu mwingine kama allah yeye allah ana wasiwasi gani?

Allah huwa anaingiza upepo sana

Wabillah tawfiq,
 
Waislamu wa Tz mmeusoma huu uzi lakini?mmhh kaka yangu alibadili dini akaingia huku kwa hawa wenzetu!!sisi kama familia tumeamua kumtenga kabisa kabla issues za kufuga majini,kujitoa mhanga,ugaidi na mambo mengine hayajaingia kwenye familia
Usishangae kaka yenu akaanza kuwachukia sana na kuwaona ninyi ni wadhambi.
 
Mimi ni muislam..nimeumizwa na hicho kilichotokea..lkn wakuu tupunguze mihemko kwny comments..tutumie busara tu maana hata km ukinitukana kwa dini sitaibadilisha cuz i know what I'm believing in...nice day everyone
 
Na pia UARABU na Uislam sio kitu kimoja(ingawa kuna vitu vinashabihiana)..we shud know that.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…