Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Ya kitabu kitukufusheria ya wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kitabu kitukufusheria ya wap
kitab kipYa kitabu kitukufu
Usinochoshekitab kip
ww mwanamke unakaz ya kumpikia mumeo huju unafanya nn?,Usinochoshe
Yule Yesu Mungu lakini pale msalabani alilia kwa kusema MUNGU WANGU MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Asante Yesu Nimezaliwa Mkristo Tena Ninayemjua Yesu Na Co Dini
mkuu umetishaWewe ni pumbafu na vihistoria vyako vya kidini kuna mtu aliyeua wa Afrika kama Mjerumani? Si bora kukatwa kichwa kuliko kuhalalisha kufirana mpaka makanisani acha ujuha soma historia za mataifa mbalimbali si kung'ang'ania hii uliodanganywa nayo hapa
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Ufirwaji kaleta nan huku!!! Mwarabu au mzunguWewe ni pumbafu na vihistoria vyako vya kidini kuna mtu aliyeua wa Afrika kama Mjerumani? Si bora kukatwa kichwa kuliko kuhalalisha kufirana mpaka makanisani acha ujuha soma historia za mataifa mbalimbali si kung'ang'ania hii uliodanganywa nayo hapa
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
tofautisha kati ya uarabu na uislamu mkuu kwani hata kipindi cha mtume waarabu walijiona wao ndiyo chaguo la mungu kwa kuwa ni weupe nawalikuwa wanawabagua watu weusi hata kama ni waislamu wenzao na mtume muhammad (saw) alipinga sana hichi kitu kwa nguvu sana kwa mfano hai tu kuna kipindi swahaba mweusi aliyeitwa billal ibn raba alikwenda sehemu ambapo kulikuwepo na mdahalo mdogo wa masahaba wakiwa wanajadili mambo mawili matatu kuhusu dini baadhi ya maswahaba walipomuona walimfukuza kwa dharau nayr alipoenda kwa mtume muhammad(saw) na kumuelezea mtume alishikwa na hasira sana na alimfuata yule swahaba akiwa na bilal na kumuamrisha alale chali na bilal akaambiwa amkanyage kwenye paji la uso bilal akasita na mtume alipomuuliza kwa nn amesita akasema anaogopa kukanyaga paji la uso linalomsujudia allah kila siku na kila muda wa ibada kwa viatu ambavyo hupita kwenye kila uchafu hivyo amemsamehe.; na si hivyo tu mwenyezi mungu (sa) haangalii rangi wala kabila eti ndo uingie peponi bali huangalia AMALI za waja wake na mwenye darja kubwa kabisa ni yule aliyekaribu na mwenyezi mungu (sa) katika ibada..wabillah tawfiqMiarabu haina maana,mibaguzi na hata wa africa wanaofuata dini hiyo chaajabu hubaguliwa na hiyo mijamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu muda unaobwabwa hapa ungekanusha kwa Details ingekua bora kuliko kusema Makala imejaa uongo, ukweli unaohujua huweki, unaongea blah blah!Kijana nazijua sana kanuni za kujadiliana.Siwezi kufanunua sehemu ambayo natakiwa kuuliza swali lisilotaka maelezo,ndio maana kuna kanuni moja ya msingi ambayo kila mtu mwenye akili timamu anatakiwa kuijua kanuni hiyo ameizungumzia vyema mwanachuoni bin Abdulwahaab katika kitabu chake kiitwacho "Usulu Thalatha (Misingi mitatu),anasema "Tambua Mola akuhurumie,na elimu ni kabla ya kauli na kutenda".Yaani jambo la kwanza ni kujifunza kwanza kabla ya kuongea au kutenda,sasa wa leo wanaenda kinyume na uhalisia ndio maana unakuta makosa mengi sana katika maandiko,si jambo jema kuzungumza ambalo hauna elimu nalo.
Nakuhusu uislamu,mimi bado ni mwanafunzi sana juu ya dini yangu ninajifunza na nitaendelea kujifunza mpaka naingia kaburini huo ndio utakuwa mwisho wangu.
Chukua akiba ya maneno hii,mjinga ni yule ambaye hajui kutofautisha baina ya vitu viwili vyenye kufanana.Sasa naona baada ya kushindwa kutoa hoja dhidi ya kile nilichokihudhurisha,unasingizia ya kuwa mimi naleta tambo...Je unajua maana ya tamko tambo.
Someni vijana...Hizo elimu za watu,msitake kupaa wakati hamna mbawa...Nimewasilisha.Ukitaka kujadiliana na mimi,toa hoja sio malalamiko.
Shukran kaka !!!Huu muda unaobwabwa hapa ungekanusha kwa Details ingekua bora kuliko kusema Makala imejaa uongo, ukweli unaohujua huweki, unaongea blah blah!
Unajua nini tofauti kati ya kusoma na kusomeshwa.Nikisema makala imejaa uongo na makosa ya kielimu mengi ujue namaanisha,achilia mbali kosa la yaliyomo katika makala hiyo bali na udhaifu wa muandishi juu ya lugha ya kiswahili.Huu muda unaobwabwa hapa ungekanusha kwa Details ingekua bora kuliko kusema Makala imejaa uongo, ukweli unaohujua huweki, unaongea blah blah!
So Mkuu huo ndo uongo ulokua unauzungumzia?Unajua nini tofauti kati ya kusoma na kusomeshwa.Nikisema makala imejaa uongo na makosa ya kielimu mengi ujue namaanisha,achilia mbali kosa la yaliyomo katika makala hiyo bali na udhaifu wa muandishi juu ya lugha ya kiswahili.
Ukiangalia kichwa cha makala yake kinaonyesha udhaifu mkubwa juu ya kilichomo,ni makosa kuanika "MBELE YA KADAMNASI..." kwa kiswahili sahihi na sanifu "KADAMNASI" ni tamko lenye asili ya kiarabu lililoundwa na maneno pweke mawili,neno la kwanza ni kadam kwa maana kilichotangulia,mbele au kilichopita na nas kwa maana ya unasi yaani watu.Kwa kile alichokiandika muwasilishaji wa makala ni "MBELE MBELE YA WATU.." kitu ambacho si sahihi.
Hata ukosoaji unataka elimu mzee...