Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Kwanza kabisa namtakasa mola wangu kutokana na kua na hofu ya watu kuuhama uislam.
Ni kweli uislam haulazimishi mtu kuja katika uislam. Ikiwa mtu kachagua dini isiyokua uislam, uislam hauna shida nae.
Ila mtu anapokua katika uislam kisha akatoka huyu ni mwenye kufarakanisha watu(huyu amefanya usaliti mkubwa) na huenda akawa chanzo cha kufitini waislam wengine walitulizana katika dini.
Kwanza niseme mtu anapotoka katika uislam hukumu hii hamfatilizi papo kwa papo. Bali pamewekwa muda wa mtu huyu kulinganiwa kurudi katika dini na pindi atapokataa kurudi hukumu itafata mkondo. Pia hukumu hii haitekelezwi kiholela kwa maana watu tu wamtaani wachukue hatua, hii husimamiwa na mtawala wa waislam katika nchi husika. Wala wenye kuthibitisha mtu kutoka katika uislam sio mimi wala watu wengine wa mtaani tu ila wanakua ni wanazuoni wenye kutegemewa katika mas-ala ya dini(kutoa fatwa).
Uuaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
allah ni muuaji mbona hilo lipo wazi ndio sababu mnajilipua hovyo kwa kumwaga damu zisizo na hatia na mmeamrishwa na mkitabu wenu wa kikatili

Quran 4:89

Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi.
Shiiit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tofautisha kati ya uarabu na uislamu mkuu kwani hata kipindi cha mtume waarabu walijiona wao ndiyo chaguo la mungu kwa kuwa ni weupe nawalikuwa wanawabagua watu weusi hata kama ni waislamu wenzao na mtume muhammad (saw) alipinga sana hichi kitu kwa nguvu sana kwa mfano hai tu kuna kipindi swahaba mweusi aliyeitwa billal ibn raba alikwenda sehemu ambapo kulikuwepo na mdahalo mdogo wa masahaba wakiwa wanajadili mambo mawili matatu kuhusu dini baadhi ya maswahaba walipomuona walimfukuza kwa dharau nayr alipoenda kwa mtume muhammad(saw) na kumuelezea mtume alishikwa na hasira sana na alimfuata yule swahaba akiwa na bilal na kumuamrisha alale chali na bilal akaambiwa amkanyage kwenye paji la uso bilal akasita na mtume alipomuuliza kwa nn amesita akasema anaogopa kukanyaga paji la uso linalomsujudia allah kila siku na kila muda wa ibada kwa viatu ambavyo hupita kwenye kila uchafu hivyo amemsamehe.; na si hivyo tu mwenyezi mungu (sa) haangalii rangi wala kabila eti ndo uingie peponi bali huangalia AMALI za waja wake na mwenye darja kubwa kabisa ni yule aliyekaribu na mwenyezi mungu (sa) katika ibada..wabillah tawfiq

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
aiseee ww kwel ni muislam swafi lait wote wangekua kama ww duu,nadhan dunia ingekua mahala salama sana pa kuishi

susi eiluma mwene bhulili
 
tofautisha kati ya uarabu na uislamu mkuu kwani hata kipindi cha mtume waarabu walijiona wao ndiyo chaguo la mungu kwa kuwa ni weupe nawalikuwa wanawabagua watu weusi hata kama ni waislamu wenzao na mtume muhammad (saw) alipinga sana hichi kitu kwa nguvu sana kwa mfano hai tu kuna kipindi swahaba mweusi aliyeitwa billal ibn raba alikwenda sehemu ambapo kulikuwepo na mdahalo mdogo wa masahaba wakiwa wanajadili mambo mawili matatu kuhusu dini baadhi ya maswahaba walipomuona walimfukuza kwa dharau nayr alipoenda kwa mtume muhammad(saw) na kumuelezea mtume alishikwa na hasira sana na alimfuata yule swahaba akiwa na bilal na kumuamrisha alale chali na bilal akaambiwa amkanyage kwenye paji la uso bilal akasita na mtume alipomuuliza kwa nn amesita akasema anaogopa kukanyaga paji la uso linalomsujudia allah kila siku na kila muda wa ibada kwa viatu ambavyo hupita kwenye kila uchafu hivyo amemsamehe.; na si hivyo tu mwenyezi mungu (sa) haangalii rangi wala kabila eti ndo uingie peponi bali huangalia AMALI za waja wake na mwenye darja kubwa kabisa ni yule aliyekaribu na mwenyezi mungu (sa) katika ibada..wabillah tawfiq

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Hamna tofauti, waarabu waislamu na nyinyi waislamu koko wote sawasawa maana quran imewavuruga na kuwa brainwash kama majendaheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waarabu ni viumbe wa ajabu sana, no wonder kuna suspecion kwamba damu/species zao zimechangamana na species za majini, nusu watu nusu majini. jini lilizaa na mwanadamu wao ni halfcast. wana roho ngumu kuliko hata simba.
 
Mods Wetu nao humu wanataka kuwa na mioyo kama ya wasaudia kwa binti Rizana Nafeek.
Tumepiga kelele weee kwamba The bold wamsamehe ili aendelee kumwaga madini humu lakini wapi!!.
Haya,endeleeni kushikilia hizo sijui sharia zenu bana!!

Note:Mniwie radhi kama ntakuwa nimewakwaza kwa ujumbe huu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom