Soma vizuri maelezo mzee....So Mkuu huo ndo uongo ulokua unauzungumzia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri maelezo mzee....So Mkuu huo ndo uongo ulokua unauzungumzia?
Uuaji tuKwanza kabisa namtakasa mola wangu kutokana na kua na hofu ya watu kuuhama uislam.
Ni kweli uislam haulazimishi mtu kuja katika uislam. Ikiwa mtu kachagua dini isiyokua uislam, uislam hauna shida nae.
Ila mtu anapokua katika uislam kisha akatoka huyu ni mwenye kufarakanisha watu(huyu amefanya usaliti mkubwa) na huenda akawa chanzo cha kufitini waislam wengine walitulizana katika dini.
Kwanza niseme mtu anapotoka katika uislam hukumu hii hamfatilizi papo kwa papo. Bali pamewekwa muda wa mtu huyu kulinganiwa kurudi katika dini na pindi atapokataa kurudi hukumu itafata mkondo. Pia hukumu hii haitekelezwi kiholela kwa maana watu tu wamtaani wachukue hatua, hii husimamiwa na mtawala wa waislam katika nchi husika. Wala wenye kuthibitisha mtu kutoka katika uislam sio mimi wala watu wengine wa mtaani tu ila wanakua ni wanazuoni wenye kutegemewa katika mas-ala ya dini(kutoa fatwa).
Shiiitallah ni muuaji mbona hilo lipo wazi ndio sababu mnajilipua hovyo kwa kumwaga damu zisizo na hatia na mmeamrishwa na mkitabu wenu wa kikatili
Quran 4:89
Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi.
aiseee ww kwel ni muislam swafi lait wote wangekua kama ww duu,nadhan dunia ingekua mahala salama sana pa kuishitofautisha kati ya uarabu na uislamu mkuu kwani hata kipindi cha mtume waarabu walijiona wao ndiyo chaguo la mungu kwa kuwa ni weupe nawalikuwa wanawabagua watu weusi hata kama ni waislamu wenzao na mtume muhammad (saw) alipinga sana hichi kitu kwa nguvu sana kwa mfano hai tu kuna kipindi swahaba mweusi aliyeitwa billal ibn raba alikwenda sehemu ambapo kulikuwepo na mdahalo mdogo wa masahaba wakiwa wanajadili mambo mawili matatu kuhusu dini baadhi ya maswahaba walipomuona walimfukuza kwa dharau nayr alipoenda kwa mtume muhammad(saw) na kumuelezea mtume alishikwa na hasira sana na alimfuata yule swahaba akiwa na bilal na kumuamrisha alale chali na bilal akaambiwa amkanyage kwenye paji la uso bilal akasita na mtume alipomuuliza kwa nn amesita akasema anaogopa kukanyaga paji la uso linalomsujudia allah kila siku na kila muda wa ibada kwa viatu ambavyo hupita kwenye kila uchafu hivyo amemsamehe.; na si hivyo tu mwenyezi mungu (sa) haangalii rangi wala kabila eti ndo uingie peponi bali huangalia AMALI za waja wake na mwenye darja kubwa kabisa ni yule aliyekaribu na mwenyezi mungu (sa) katika ibada..wabillah tawfiq
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Waislamu mna sifa ya kupenda tigo.
Hamna tofauti, waarabu waislamu na nyinyi waislamu koko wote sawasawa maana quran imewavuruga na kuwa brainwash kama majendaheka.tofautisha kati ya uarabu na uislamu mkuu kwani hata kipindi cha mtume waarabu walijiona wao ndiyo chaguo la mungu kwa kuwa ni weupe nawalikuwa wanawabagua watu weusi hata kama ni waislamu wenzao na mtume muhammad (saw) alipinga sana hichi kitu kwa nguvu sana kwa mfano hai tu kuna kipindi swahaba mweusi aliyeitwa billal ibn raba alikwenda sehemu ambapo kulikuwepo na mdahalo mdogo wa masahaba wakiwa wanajadili mambo mawili matatu kuhusu dini baadhi ya maswahaba walipomuona walimfukuza kwa dharau nayr alipoenda kwa mtume muhammad(saw) na kumuelezea mtume alishikwa na hasira sana na alimfuata yule swahaba akiwa na bilal na kumuamrisha alale chali na bilal akaambiwa amkanyage kwenye paji la uso bilal akasita na mtume alipomuuliza kwa nn amesita akasema anaogopa kukanyaga paji la uso linalomsujudia allah kila siku na kila muda wa ibada kwa viatu ambavyo hupita kwenye kila uchafu hivyo amemsamehe.; na si hivyo tu mwenyezi mungu (sa) haangalii rangi wala kabila eti ndo uingie peponi bali huangalia AMALI za waja wake na mwenye darja kubwa kabisa ni yule aliyekaribu na mwenyezi mungu (sa) katika ibada..wabillah tawfiq
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Wapi imeandikwa hivyo kwenye Quran? Au na wewe ni miongoni mwa wafuasi wa firauni?Waislamu mna sifa ya kupenda tigo.
Wewe Malyenge hebu hapia hapa kwa Allah na Mwamedi kama hujawahi kula tigo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umewahi kula tigo siuseme tu? Nini unajikanyaga kanyaga!Wapi imeandikwa hivyo kwenye Quran? Au na wewe ni miongoni mwa wafuasi wa firauni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguruwe ninyi mwamla kwa kudai mmehalalishiwa. Sasa na sisi tueleze ni wapi tumehalalishiwa tigo? Acha kujikanyaga puani!
Umewahi kula tigo? Ndiyo au Hapana?Nguruwe ninyi mwamla kwa kudai mmehalalishiwa. Sasa na sisi tueleze ni wapi tumehalalishiwa tigo? Acha kujikanyaga puani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni genius....nililibaini hili pia nikajiulizaNilichokigunduwa mchinjaji Al Beshi ni Black Man.
Kuna tatizo hapa.
Hivi hiki ndio kirefu cha IQ?huwa najiuliza jamaa intelligence quality(IQ) yake ni ngap ila sipatagi picha....salute kwako mkuu The bold
Amekosea....[emoji1] [emoji1]Hivi hiki ndio kirefu cha IQ?
nYaNi wA KaLe
[emoji23][emoji23][emoji23]nadhani ni Intelligent Quotient