Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
mkuu umetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufirwaji kaleta nan huku!!! Mwarabu au mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kama hiki inabidi kihalalishwe Tanzania kwa ajili ya marais wetu waliopita.
 
Miarabu haina maana,mibaguzi na hata wa africa wanaofuata dini hiyo chaajabu hubaguliwa na hiyo mijamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
tofautisha kati ya uarabu na uislamu mkuu kwani hata kipindi cha mtume waarabu walijiona wao ndiyo chaguo la mungu kwa kuwa ni weupe nawalikuwa wanawabagua watu weusi hata kama ni waislamu wenzao na mtume muhammad (saw) alipinga sana hichi kitu kwa nguvu sana kwa mfano hai tu kuna kipindi swahaba mweusi aliyeitwa billal ibn raba alikwenda sehemu ambapo kulikuwepo na mdahalo mdogo wa masahaba wakiwa wanajadili mambo mawili matatu kuhusu dini baadhi ya maswahaba walipomuona walimfukuza kwa dharau nayr alipoenda kwa mtume muhammad(saw) na kumuelezea mtume alishikwa na hasira sana na alimfuata yule swahaba akiwa na bilal na kumuamrisha alale chali na bilal akaambiwa amkanyage kwenye paji la uso bilal akasita na mtume alipomuuliza kwa nn amesita akasema anaogopa kukanyaga paji la uso linalomsujudia allah kila siku na kila muda wa ibada kwa viatu ambavyo hupita kwenye kila uchafu hivyo amemsamehe.; na si hivyo tu mwenyezi mungu (sa) haangalii rangi wala kabila eti ndo uingie peponi bali huangalia AMALI za waja wake na mwenye darja kubwa kabisa ni yule aliyekaribu na mwenyezi mungu (sa) katika ibada..wabillah tawfiq

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Huu muda unaobwabwa hapa ungekanusha kwa Details ingekua bora kuliko kusema Makala imejaa uongo, ukweli unaohujua huweki, unaongea blah blah!
 
Huu muda unaobwabwa hapa ungekanusha kwa Details ingekua bora kuliko kusema Makala imejaa uongo, ukweli unaohujua huweki, unaongea blah blah!
Unajua nini tofauti kati ya kusoma na kusomeshwa.Nikisema makala imejaa uongo na makosa ya kielimu mengi ujue namaanisha,achilia mbali kosa la yaliyomo katika makala hiyo bali na udhaifu wa muandishi juu ya lugha ya kiswahili.

Ukiangalia kichwa cha makala yake kinaonyesha udhaifu mkubwa juu ya kilichomo,ni makosa kuanika "MBELE YA KADAMNASI..." kwa kiswahili sahihi na sanifu "KADAMNASI" ni tamko lenye asili ya kiarabu lililoundwa na maneno pweke mawili,neno la kwanza ni kadam kwa maana kilichotangulia,mbele au kilichopita na nas kwa maana ya unasi yaani watu.Kwa kile alichokiandika muwasilishaji wa makala ni "MBELE MBELE YA WATU.." kitu ambacho si sahihi.

Hata ukosoaji unataka elimu mzee...
 
So Mkuu huo ndo uongo ulokua unauzungumzia?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…