Dada toka kwenye uislamu kabisa ni dini ya uwongo hiyo. Muhammad alikuwa nabii wa uwongo ndiyo maana uislamu umezaa matunda yasiyofaa!
Soma maneno ya hikma ya Yesu katika Mathayo 7:15-20
15. "Jihadharini na manabii wa uwongo ambao wanakuja kwenu katika mavazi ya kondoo, lakini ndani wao ni mbwa-mwitu wenye kunyafua. 16 Kwa matunda yao mtawatambua. Je, watu hukusanya zabibu kutoka kwenye miiba au tini kutoka kwenye michongoma? 17 Vivyo hivyo kila mti mzuri huzaa matunda mazuri, lakini kila mti uliooza huzaa matunda yasiyofaa; 18 mti mzuri hauwezi kuzaa matunda yasiyofaa, wala mti uliooza hauwezi kuzaa matunda mazuri. 19 Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa ndani ya moto. 20 Basi, kwa kweli kwa matunda yao mtawatambua watu hao.
Uislamu umeoza na matunda yake unayaona ya ugaidi, mauaji, uchinjaji, roho mbaya, nchi za kiislamu hazikaliki, uharamia, vita na udikteta. Wale wasiyo waislamu katika nchi za kiislamu wanauwawa ovyo na wabaguzi sana kwa watu weusi. Hiyo inadhihirisha kwamba dini ya kiislamu ina mashaka makubwa sana. TOKA HUKO DADA!