Kijana nazijua sana kanuni za kujadiliana.Siwezi kufanunua sehemu ambayo natakiwa kuuliza swali lisilotaka maelezo,ndio maana kuna kanuni moja ya msingi ambayo kila mtu mwenye akili timamu anatakiwa kuijua kanuni hiyo ameizungumzia vyema mwanachuoni bin Abdulwahaab katika kitabu chake kiitwacho "Usulu Thalatha (Misingi mitatu),anasema "Tambua Mola akuhurumie,na elimu ni kabla ya kauli na kutenda".Yaani jambo la kwanza ni kujifunza kwanza kabla ya kuongea au kutenda,sasa wa leo wanaenda kinyume na uhalisia ndio maana unakuta makosa mengi sana katika maandiko,si jambo jema kuzungumza ambalo hauna elimu nalo.
Nakuhusu uislamu,mimi bado ni mwanafunzi sana juu ya dini yangu ninajifunza na nitaendelea kujifunza mpaka naingia kaburini huo ndio utakuwa mwisho wangu.
Chukua akiba ya maneno hii,mjinga ni yule ambaye hajui kutofautisha baina ya vitu viwili vyenye kufanana.Sasa naona baada ya kushindwa kutoa hoja dhidi ya kile nilichokihudhurisha,unasingizia ya kuwa mimi naleta tambo...Je unajua maana ya tamko tambo.
Someni vijana...Hizo elimu za watu,msitake kupaa wakati hamna mbawa...Nimewasilisha.Ukitaka kujadiliana na mimi,toa hoja sio malalamiko.